Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Tutapukutisha masalia yake yote kudadeki!Naona bado unaendelea kupambana na mzimu wa Mwenda zake.
Kwani wanakutesa?Tutapukutisha masalia yake yote kudadeki !
Watz wana akili mkuu,Umenena vema siasa hizi za kijinga zinaliumiza Taifa,mtu ni mtumishi na analipwa mshahara wewe hohe hahe unahangaika eti tutamlinda,upungufu wa akili.
Nani sasa mwenye wakati mgumu? Unaweza kuwataja hata kwa majina tuone wakati wao mgumu unatokana na nini?Hawa jamaa wana wakati mgumu sana hivi sasa...
Na wale wajawauzito wasipojifungua njiti, basi sio mimi!!!
Mbona kama unajishtukia Jombaa!!! Mada haijataja mtu bali imetaja:-Nani sasa nwenye wakati mgumu? Unaweza kuwataja hata kwa majina tuone wakati wao mgumu unatokana na nini?
Kwahiyo, nami hoja yangu imejikita hapo 👆 👆 !!Muda unaenda kasi sana ! Wale wapambe wa kusifia kulikozidi kuabudu na misamiati yao ya kishamba naona sasa wanapukutika utadhani mbelewele za Mtama wa Kongwa .
Kama kina Pascal, Musiba.Tutapukutisha masalia yake yote kudadeki !
[emoji23] [emoji23] Masikini!Mbona kama unajishtukia Jombaa!!! Mada haijataja mtu bali imetaja:-
Kwahiyo, nami hoja yangu imejikita hapo [emoji115] [emoji115] !!
Weee tuko vizuri tuko wengi 84% usitupuuze tuna jambo letu ni suala la muda tuWako hoi !
Huo ndio ubovu mlionao wivu tu kama wanawake waliolewa kwa mtu mmoja, mmehatarisha maisha ya Tundu Lissu kwa huu ujinga wa kusifia wengine na kubeza wengine kisa nguvu ya hela na madaraka pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama, sheria za haki na upendo hamzitaki kabisa kwa sababu mna maslahi kwenye siasa chafu.Watz wana akili mkuu,
Ni kama walivyompuuza yule mbelgiji aliposema waandamane ili kutetea ugali wak
[emoji23][emoji23]msamehe bure tu,ulishawahi kukutana na mtu anayeweweseka??Nani sasa nwenye wakati mgumu? Unaweza kuwataja hata kwa majina tuone wakati wao mgumu unatokana na nini?