Lugha za wasakatonge wa awamu ya 5 zilizoyeyuka mithili ya theluji wakati wa kiangazi

Lugha za wasakatonge wa awamu ya 5 zilizoyeyuka mithili ya theluji wakati wa kiangazi

Mbona mnateseka sana?

JPM aliwagaragaza akiwa hai, na atawagaragaza akiwa ma....!

JPM hajawahi kumgaragaza yoyote kisiasa maana hakuwa na uwezo wala mvuto wa kisiasa. Sana sana alikuwa na kiburi cha madaraka.

Ulitaka nini kifanyike cha maana labda ili uone hiyo 2025 kuna kilichofanyika, maana kama ni ushindani wa kisiasa kwa sasa ccm haiuwezi. Ama unataka wapinzani waingie msituni kuja kupambana na vyombo vya dola? Maana ccm kama chama hakipo tena, zaidi ni nguvu za dola ndio zinafanya siasa kwa niaba ya ccm.
 
Kama wanatoweka unatakiwa ukitulize chini na kujipongeza[emoji23][emoji23][emoji23].
unachofanya hapa tunaita mhaho.

Kama alitimiza kazi aliyopewa ndio jambo tunalomshukuru,maana wapo ambao waligoma kutekeleza na hakuna kitu tuliweza kuwafanya,zaidi ya kulia tu.

Erythrocyte , Umesikia kuna mtoto wa 17try amekutwa kwenye kiroba akiwa amefariki huko nyumbani kwenu!!!!au unapiga siasa za kunguni tu huku?
 
JPM hajawahi kumgaragaza yoyote kisiasa maana hakuwa na uwezo wala mvuto wa kisiasa. Sana sana alikuwa na kiburi cha madaraka.

Ulitaka nini kifanyike cha maana labda ili uone hiyo 2025 kuna kilichofanyika, maana kama ni ushindani wa kisiasa kwa sasa ccm haiuwezi. Ama unataka wapinzani waingie msituni kuja kupambana na vyombo vya dola? Maana ccm kama chama hakipo tena, zaidi ni nguvu za dola ndio zinafanya siasa kwa niaba ya ccm.

Sasa mnapambana na CCM huku mkijua inatumia dola!!!!

Mnahadaa wananchi kwamba mtashinda? Kwanini mnawaambia uongo?
 
Huo ndio ubovu mlionao wivu tu kama wanawake waliolewa kwa mtu mmoja,mmehatarisha maisha ya Tundu Lissu kwa huu ujinga wa kusifia wengine na kubeza wengine kisa nguvu ya hela na madaraka pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama,sheria za haki na upendo hamzitaki kabisa kwa sababu mna maslahi kwenye siasa chafu
mwendazake amefariki lissu ana mpango wa kurudi nyumbani au adui yake bado yupo[emoji23][emoji23][emoji23].
 
Watz wana akili mkuu,

Ni kama walivyompuuza yule mbelgiji aliposema waandamane ili kutetea ugali wake!
.
Wakajisemea huyu mbelgiji katoka wapi tena? Yani watu tuache shughuli zetu za kujiingizia kipto badala yake tuingie barabarani kumpigania yeye na amsterdam waende ikulu? Si upumbavu huu?

Akaondoka kajiinamia kichwa chini.

Kabla ya maandamano hao viongozi wote walikamatwa, na vyombo vya dola vilivyotumika kupora kura ndio vilikuwa vimejiandaa kufanya mauaji. Mbona wanaccm hamkujitokeza kupambana na hao waliotaka kuandamana, na vyombo vya dola vitazame kama watu wasingeandamana?
 
kabla ya maandamano hao viongozi wote walikamatwa, na vyombo vya dola vilivyotumika kupora kura ndio vilikuwa vimejiandaa kufanya mauaji. Mbona wanaccm hamkujitokeza kupambana na hao waliotaka kuandamana, na vyombo vya dola vitazame kama watu wasingeandamana?
Ni ujinga kudhani CCM chama dola hakitajinufaisha na vyombo vya dola.

Hata kwenda na CCM vitani bila kutambua hilo ni upumbavu.

Sijui unalia makusudi hapa,ama hufahamu hilo!!!!
 
Huo ndio ubovu mlionao wivu tu kama wanawake waliolewa kwa mtu mmoja,mmehatarisha maisha ya Tundu Lissu kwa huu ujinga wa kusifia wengine na kubeza wengine kisa nguvu ya hela na madaraka pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama,sheria za haki na upendo hamzitaki kabisa kwa sababu mna maslahi kwenye siasa chafu
Unataka kuniambia wananchi walikataa kuandamana kumpambania Lissu sababu wana hela na madaraka makubwa sana?
 
sasa mnapambana na ccm huku mkijua inatumia dola!!!!

mnahadaa wananchi kwamba mtashinda?kwanini mnawaambia uongo??

Sisi tunapambana na CCM, tunashangaa vyombo vya dola vinatokea wapi.

Tunawadanganya wananchi wakati wananchi wanajua uhalisia kuwa ccm huwa hawashindi, zaidi ya kushurutisha kutangazwa washindi?
 
JPM hajawahi kumgaragaza yoyote kisiasa maana hakuwa na uwezo wala mvuto wa kisiasa. Sana sana alikuwa na kiburi cha madaraka.

Ulitaka nini kifanyike cha maana labda ili uone hiyo 2025 kuna kilichofanyika, maana kama ni ushindani wa kisiasa kwa sasa ccm haiuwezi. Ama unataka wapinzani waingie msituni kuja kupambana na vyombo vya dola? Maana ccm kama chama hakipo tena, zaidi ni nguvu za dola ndio zinafanya siasa kwa niaba ya ccm.
Hajwahi kumagaragaza yeyote? Ndio mnavyojidanganya hivyo?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] Alafu ni mwezi wa pili huu toka afariki lakini hamuachi kuweweseka?!

2025 tuombe uzima tutakuja kukumbushana hapa
 
Sisi tunapambana na ccm, tunashangaa vyombo vya dola vinatokea wapi.

Tunawadanganya wananchi wakati wananchi wanajua uhalisia kuwa ccm huwa hawashindi, zaidi ya kushurutisha kutangazwa washindi?
Nyinyi ni matapeli.

Kwani huwa hamjui kama CCM inatumia dola, au huwa mnakuja kugundua baadae!!!!
 
ni ujinga kudhani ccm chama dola hakitajinufaisha na vyombo vya dola.

hata kwenda na ccm vitani bila kutambua hilo ni upumbavu.

sijui unalia makusudi hapa,ama hufahamu hilo!!!!
Sasa kama mnategemea kunufaika na mbeleko ya vyombo vya dola, ubora ama kukubalika kwenu mnakupimaje? Ccm ni sawa na mtoto wa mwalimu Mkuu anayejifanya ana akili kwa kuongoza darasani, kisa mzazi wake anampa majibu ya mtihani.
 
kabla ya maandamano hao viongozi wote walikamatwa, na vyombo vya dola vilivyotumika kupora kura ndio vilikuwa vimejiandaa kufanya mauaji. Mbona wanaccm hamkujitokeza kupambana na hao waliotaka kuandamana, na vyombo vya dola vitazame kama watu wasingeandamana?
Baada ya kukamatwa sasa si ndio ilikuwa starting point ya nyie wafuasi kuandamana? Hivi mlitaka Lissu aongee lugha gani ili muelewe kama anataka muende barabarani?

Ni hivi, wanachi waliwapuuza.

Any way, mwambie sasa mbaya wake hayupo arudi sasa aje achukue urais
 
Muda unaenda kasi sana ! Wale wapambe wa kusifia kulikozidi kuabudu na misamiati yao ya kishamba naona sasa wanapukutika utadhani mbelewele za Mtama wa Kongwa .

Eti Tunampambania , anatupambania ! Too low ! Hivi mtu anayetekeleza majukumu yake na analipwa pesa ndefu na nyingine anabeba na kugawa barabarani huyo anakupambania nini ? hivi mtakuwa watu duni hadi lini wanafiki nyie ! bora mmetoweka wenyewe , mlikuwa mnatia aibu sana !

View attachment 1783006View attachment 1783012
Mitano tena

IMG_20210508_225610.jpg

tapatalk_1523874451299.jpg
 
Sasa kama mnategemea kunufaika na mbeleko ya vyombo vya dola, ubora ama kukubalika kwenu mnakupimaje? Ccm ni sawa na mtoto wa mwalimu Mkuu anayejifanya ana akili kwa kuongoza darasani, kisa mzazi wake anampa majibu ya mtihani.
Nyie mnapimaje kukubalika kwenu!!

Maana kama ni watu kwenye mikutano wanajaa hata ccm pia,achana na zile story za kusomba na maroli.
 
Sisi tunapambana na ccm, tunashangaa vyombo vya dola vinatokea wapi.

Tunawadanganya wananchi wakati wananchi wanajua uhalisia kuwa ccm huwa hawashindi, zaidi ya kushurutisha kutangazwa washindi?
Unapambana na CCM ipi?

Mngekuwa na akili msingeshangilia kifo cha Magufuli kwamba sasa mambo ni safi mbaya wenu kaondoka. Badala yake mngejiuliza hivi mbaya akikuwa Magufuli au mfumo.

Hapo ndio mngepata sehemu ya kuanzia. Siyo mnashangilia tu kama mazuzu huku 2025 mtapigwa tena.

Mnakwama wapi mkuu?
 
Ndio hiyo tunawalambisha mchanga mpaka siku vyombo vya dola vitaamua vikae pembeni tuwashikishe ukuta vizuri.
Siku ukija kujua CCM ni zaidi ya chama cha siasa utaenda kulima tu.

Mbowe ni CCM pia.
 
Back
Top Bottom