Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Baada ya kukamatwa sasa si ndio ilikuwa starting point ya nyie wafuasi kuandamana? Hivi mlitaka Lisu aongee lugha gani ili muelewe kama anataka muende barabarani?
Ni hivi, wanachi waliwapuuza.
Any way, mwambie sasa mbaya wake hayupo arudi sasa aje achukue urais
Kila jambo lina wakati wake, hayo ya maandamano iko siku yatakuja tu, cha muhimu hiyo mbegu ya kuandamana imeshatangazwa. Uzuri sisi waandamanaji tunaongea na Mungu na tukamuomba ampeleke ibilisi motoni. Lissu atarudi kwa muda wake, na Urais akitaka atagombea kimpango wake.