Hata kisiasa hajawahi shinda chochote bila kubebwaJPM hajawahi kumgaragaza yoyote kisiasa maana hakuwa na uwezo wala mvuto wa kisiasa. Sana sana alikuwa na kiburi cha madaraka.
Ulitaka nini kifanyike cha maana labda ili uone hiyo 2025 kuna kilichofanyika, maana kama ni ushindani wa kisiasa kwa sasa ccm haiuwezi. Ama unataka wapinzani waingie msituni kuja kupambana na vyombo vya dola? Maana ccm kama chama hakipo tena, zaidi ni nguvu za dola ndio zinafanya siasa kwa niaba ya ccm.
Ninyi kina nani?
Ninyi ni vidagaa tu pale! Anachoamua yeye na genge lake hamna wa kupinga, kama unabisha niambie ulipopinga ujio wa Nyarandu na kupewa vyeo nani alikusikiliza? Ulipopinga ujio wa Lowasa nani alikusikiliza?
Bwashee usifikiri kila mtu ni mtoto humu.
Sasa ukitegemea Lisu asipate watu kabisa?
Mbona Magufuli alipofariki kuna maelfu ya watu walijipanga barabarani na kumsindikiza huku nyie mkisema alikuwa anachukiwa?
Kupata watu kwenye mikutano ni kitu kingine na kushinda ni kitu kingine.
Msiba wa Magufuli ulikuwa na propaganda?Unashinda bila watu? Kwa jinsi utawala wa jiwe ulivyomchafua na zile propaganda za kizee mlizokuwa mnapiga hamkutegemea kama atapata watu wa kiwango kile. Kwenye msiba wa Magufuli lazima kungejaa watu maana msiba wake ulikuwa na promo la hatari, na isitoshe wananchi hawakuwa na hofu yoyote ya kupigwa mabomu. Kupata watu ni dalili ya kushinda, ila mazingira ya uchaguzi sio mazuri kwa mshindi halali kutangazwa.
Pamoja na kelel zote lakini maamuzi ya Mbowe yalikuwa ndio final.Hiyo ndio demokrasia, sio lazima kila ninachopinga mimi kifuatwe. Alikuja Lowassa akapewa nafasi, tulipiga kelele kuhusu mwenendo ule, hatimaye uchaguzi huu mgombea wa Cdm alipatikana kwa kura za mkutano mkuu, na sio watu wachache. Nyalandu hakupewa nafasi kwa upendeleo, bali aligombea kwenye utaratibu wa chama akapata nafasi. Lakini kwa ule utaratibu wa watu wachache, Nyalandu angeweza kuwa mgombea wa Cdm. Kelele zetu ndio zinaamua mambo yaendeje, hizo nyingine ni porojo tu.
Wakati tulipogoma kujiandikisha kwenye uchaguzi wa SM za mitaa 2019 baada ya dhalimu kuwa na tabia ya kunajisi chaguzi, Mbowe na Halima Mdee walienda kujiandikisha wakidhani watatushawishi kushiriki ule upuuzi, tulichowaambia huku mitandaoni walijuta kwanini walienda kujiandikisha,na hatimaye walikitoa chama kushiriki ule ukhanithi. Hizo nguvu mnazoomini anazo dhidi yetu wafuasi kwenye mambo ya msingi ni upepo mnajilisha.
Sasa anayetia huruma ni nani kati yangu na wewe?! Mada imejitosheleza kabisa kwamba:-[emoji23] [emoji23] Masikini!
Hadi huruma
Hao hapo 👆 👆 👆 👆 👆 👆 👆...Wale wapambe wa kusifia kulikozidi kuabudu na misamiati yao ya kishamba naona sasa wanapukutika utadhani mbelewele za Mtama wa Kongwa.
Msiba wa Magufuli ulikuwa na propaganda?
Lisu alipigwa kihalali kabisa.
Na hata kabla ya kampeni nilikuwa naandika humu kila siku kwamba Lisu hatavusha 20% ya kura zote, na nilikupa sababu.
Hiyo tume huru inapatikana kwa kumpet pet mama ili kumkomoa marehemu kama mnavyofanya sasa hivi kweli?
Magufuli kajenga kibanda akilini mwako huwezi acha mtaja japo mara moja kwa siku. Anza kula kodi hawezi kaa bure kichwani mwako.Muda unaenda kasi sana! Wale wapambe wa kusifia kulikozidi kuabudu na misamiati yao ya kishamba naona sasa wanapukutika utadhani mbelewele za Mtama wa Kongwa.
Eti Tunampambania, anatupambania! Too low! Hivi mtu anayetekeleza majukumu yake na analipwa pesa ndefu na nyingine anabeba na kugawa barabarani huyo anakupambania nini? Hivi mtakuwa watu duni hadi lini wanafiki nyie! bora mmetoweka wenyewe, mlikuwa mnatia aibu sana!
Hata kura milioni 10 hazikufika wewe ndio tume?Kuna chochote kilikuwa kinafanyika nchi hii toka Magufuli ameingia madarakani bila kuwa na propaganda?
Ni kweli Lisu anaweza kuwa alishindwa kihalali, ila sio kwa kura zilizotangazwa, maana hata wapiga kura hawakufika 10m. Kura halali zingetangazwa nadhani leo ungekuwa na msongo wa mawazo, kuliko huu unaoupata sasa ukiwa unalinda kaburi hapo chattle. Ukitaka kujua kilochotangazwa sio kilichotokea kwenye vituo vya kura, ingia kwenye tovuti ya tume ya uchaguzi kama matokeo yako, au waombe tume ya uchaguzi wakupe matokeo yalivyokuwa kwenye vituo vya uchaguzi nchi nzima kama watakupa. Wanajua nini waliagizwa wafanye, hivyo hawathubutu kuweka aibu ile hadharani.
Huyo mama ameonyesha yuko tayari kwa mazungumzo, inabidi njia hiyo itumike, ili isitumike njia nyingine halafu ikaonekana watu walitaka kuvuruga amani ya nchi kwa jambo linalozungumzika. Japo kwa hapa tulipofika mimi binafsi siamini kama mazungumzo yanaweza kubadili lolote zaidi ya machafuko, hata kama watu ni waoga.
Siyo tu kibanda ila ana mimba yake kabisa ndio inafanya asimsahau.Magufuli kajenga kibanda akilini mwako huwezi acha mtaja japo mara moja kwa siku. Anza kula kodi hawezi kaa bure kichwani mwako.
Yalikuwa final kwenye nini? Maana kama ni mgombea wa urais alimtaka Nyalandu na sio Lisu, sasa final kwenye jambo gani?Pamoja na kelel zote lakini maamuzi ya Mbowe yalikuwa ndio final.
Chadema haikujitoa kwenye uchaguzi wa SM eti kwa sababu mlijitokeza kidogo kujiandikisha hapana.
Nenda kafuatilie vizuri sababu zilizofanga chadema ijitoe.
Sasa kama Lisu kumbe alikataliwa hata na Mbowe unategemea nani angemkubali?Yalikuwa final kwenye nini? Maana kama ni mgombea wa urais alimtaka Nyalandu na sio Lisu, sasa final kwenye jambo gani?
Ni kweli inawezekana cdm haikujitoa kwenye uchaguzi wa SM kwa ajili yetu kususia, lakini hata kama wangekubali kushiriki bado wapiga kura tusingejitokeza. Kwa taarifa yako hata uchaguzi mkuu kilichotufanya tujitokeze kupiga kura ni ujio wa Tundu Lisu, kama sio yeye wapiga kura kwenye vituo wasingefika hata 2m. Sasa kama uchaguzi wa SM cdm walijitoa kwa sababu alizokupa Polepole, sababu hizo mbona hazikuzuia wao kushiriki uchaguzi mkuu?
Walikuwa kama wamelishwa limbwata
Hata kura milioni 10 hazikufika wewe ndio tume?
Haya hebu weka wewe matokeo halisi tuone maana inaonekana ulikuwa unashiriki kuhesabu.
Niwe na tress kwani mimi chadema? Kwamba kila mwaka napigwa kwenye uchaguzi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu unaota?
Mama hataweka tume huru unayoitaka na hakuna kitu utafanya zaidi kualalmika tu kama hivi humu jf.
Tuombe uzima huu uzi tutaufufua ikifika 2025.
Yani tume yenye jukumu la kutangaza matokeo nisiiamini nije nikuamini wewe ambae huna hata ushahidi zaidi ya kusikia tu?Nilisikiliza matokeo na kufuatilia idadi ya wapiga kura kwa kila kituo, kila kituo kilikuwa na wapiga 400-450. Hakuna popote kituo kilikuwa na wapiga kura 200 au zaidi. Ndio maana nakuambia hiyo tume unayoiamini ww nipe link nione matokeo, au wapigie kura waambie ww ni mwanaccm unataka matokeo wakupe uyaweke hapa, kisha nikupe matokeo halisi baadhi ya vituo, ufananishe na yalitotangazwa na hiyo tume ya wahuni.
Cdm huwa hawashindwi kwenye uchaguzi na kila mwaka kura zao zinaongezeka. Hawatangazwi tu kuwa washindi maana hatuna uchaguzi wa haki. Sasa cdm wanatoa wapi stress kwa mfano?
Mama aweke tume asiweke hiyo ni kimpango wake, maana mimi sasa hivi sitegemei hisani yoyote ya ccm. Ila iko siku kila kitu kitakaa vizuri. Kwani hata dhalimu si alikuwa anadhani atakaa madarakani mpaka uzee umkute, mbona kachomoka na kuwa rais aliyetawala muda mfupi zaidi? Polepole na yeye si alijiona amefika mpaka akaanzisha na kipindi cha kudeal na shida za watu ndni ya channel 10, leo hii mpigie muulize kipindi kimeenda wapi, ama shida za watanzania zimeisha?
Sasa kama Lisu kumbe alikataliwa hata na Mbowe unategemea nani angemkubali?
Kwahiyo basi yale maneno ya NYARANDU kwamba alimgaragaza Lisu kwenye kamati kuu kumbe ni ya kweli?
Sasa kama mlijitokeza sababu ya Lisu mbona kwenye kuandamana hamkutokea?
Kumbe hata mchakato wa kwenye chama chako huujui.Mbowe ni nani, maamuzi ya wengi ndio mpango mzima. Nyalandu anasema alimgaragaza Lisu, idadi ya wajumbe walikuwa 30, Lisu akapata 24, unahitaji kuwa mjinga kuelewa ule utoto aliokuwa anaongea Nyalandu.
Kwani kwenye kupiga kura polisi walitangaza watashambulia watu? Hujui tofauti ya hayo mambo mawili, au hoja imekuzidi kimo?
Yani tume yenye jukumu la kutangaza matokeo nisiiamini nije nikuamini wewe ambae huna hata ushahidi zaidi ya kusikia tu?
Mungu wako kamuondoa dhalimu kwa maombi yako, omba sasa ili upate tume huru na Lisu arudishiwe kura zake alizoibiwa!
Au wewe unafikiri Magufuli ndio wa kwanza kufa pale ccm?
Kwahiyo kila mkitaka kudai kitu flani msipopewa mtakuwa mnashitaki kwa mungu wenu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole pole alikuwa anaenda pale kama katibu mwenezi, sasa hivi nafasi hiyo hana unataka aende kama nani sasa?
Ccm itaendelea kuwapiga kilaini sana kwa akili zenu hizi