Lugha za wasakatonge wa awamu ya 5 zilizoyeyuka mithili ya theluji wakati wa kiangazi

kwani mh mbowe alipewa shingapi za uma na lowasa??
Hivi wewe Lowassa unamjua au unamsikia tu? Ampe Mbowe fedha za nini? Lowasa alitumia fedha kugharamia kampeni zake. Nina uhakika 2015 Lowassa hakuwa na fedha zilizotengwa na Bunge kwa matumizi ya serikali, mwaka huo. Atakuwa alikuwa na pesa zilizotakatishwa, kama tunaamini aliziiba serikalini huko nyuma.
Hapa tunaongelea Magufuli anΓ yekwiba fedha za serikali na kuzitumia kutoa rushwa. Hata CAG amekosoa mara nyingi matumizi ya fedha za serikali bila kufuata taratibu.
 
unapigania kipi alichoharibu magufuli ambacho lowasa hakukifanya???
 
Sjajua ulini quote ili uzungumze nini...? Mbona hiyo Tbc hainihusu mkuu, au ulitaka kujenga hoja gani Yani??

Eebhana...! Uwe na jioni njema
Wewe unadai kwamba uzi huu hauna hoja. Mimi nasema hoja ipo. Lugha za kujipendekeza zimeadimika. Na nikatoa mfano wa TBC na Bunge. Ok?
 
Ooh, kwa hiyo tunakubaliana kwamba Magufuli alikuwa FISADI kama Lowassa? Hapo tumepiga hatua
hatukubaliani,najaribu kwenda sawa na nawewe unavyotaka ili nijue unachoyaka kuhalalisha.
 
Wewe unadai kwamba uzi huu hauna hoja. Mimi nasema hoja ipo. Lugha za kujipendekeza zimeadimika. Na nikatoa mfano wa TBC na Bunge. Ok?
Mkuu, umeona wapi ambapo nikekulazimisha useme Uzi huu Una maana au hauna maana?

Kama zilivyofikira za mtu Tajiri wa fikira na Masikini wa fikira kuzitumia kutatua Jambo lake, ndvyo tunavyoweza kutofautiana kuhusu huu Uzi!

Wakati wewe unaona ili utoke kimaisha, ni lazima ukope au uombe msaada ndio utoke, mwingine hatazami Hivyo!!

Wewe kakope ili utoke
 
hatukubaliani,najaribu kwenda sawa na nawewe unavyotaka ili nijue unachoyaka kuhalalisha.
Mbona ni rahisi sana. Mimi simtetei Lowassa. Huyo mtamtetea wenyewe. Kumbuka, CHADEMA walimtumia Lowassa kwenye uchaguzi wa 2015. Kama alikuwa na fedha za walipa kodi, fine, zilitumika kukiwezesha chama hicho kupata wabunge na madiwani wengi zaidi, ili kujenga hoja za wananchi bungeni na kwenye Halmashauri.
CHADEMA hawajatoa rushwa kwa yeyote.
Magufuli ametoa rushwa, tena kwa kutumia fedha za walipa kodi.
 
Muulize heri jemsi anaweweseka kwa kiwango gani?
 
Umesahau alichoandika mwenyewe? Hii ni khatari!
 
Umesahau kuwa uliandika haya kubeza uzi?
 
Na usubiri 2025 atakugaragaza tena akiwa kaburini
Ni kawaida ya CCM kuiba. Mbona hata Bashiru alitetea ccm kutumia polisi kuiba. Tena alisema vizuri sana, kwamba wao ni wezi, lazima watetee ulaji wao. Maneno ya hovyo kabisa. Samia, kama yupo na mawazo kama ya Kikwete, atachukia wizi aina hii. CCM Ni wezi toka zamani, ila Magufuli, hiyo ni kitu ingine kabisaaa.
Maana kumbuka tokea upinzani uanze, tumekuwa tukiongeza idadi ya wabunge mwaka baada ya mwaka. Magufuli akafuta kila kitu, sio kwa sababu alipendwa sana, no, sababu ni mporaji zaidi
 

kwahiyo chadema ilitumia pesa za lowassa aliyekuwa fisadi 2008 kujijenga.
2021 magufuli anaitwa fisadi kwa kutumia fedha za uma ktk rushwa za wabunge.

2035 magufuli anawezakuwa rais anayetajwa kama shujaa na chadema,kama itaendelea kuwapo.
chadema ina uwezo mkubwa sana wa kugeuka geuka kwa nyakati.
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Sasa kama hamjielewi kwanini msiibiwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…