Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
tunakubaliana ccm ni chama cha wahuni.
usizingatie mambo yao 100% tembea na 50%.
Ndio tunaanika uhuni wao hadharani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tunakubaliana ccm ni chama cha wahuni.
usizingatie mambo yao 100% tembea na 50%.
Hivi wewe Lowassa unamjua au unamsikia tu? Ampe Mbowe fedha za nini? Lowasa alitumia fedha kugharamia kampeni zake. Nina uhakika 2015 Lowassa hakuwa na fedha zilizotengwa na Bunge kwa matumizi ya serikali, mwaka huo. Atakuwa alikuwa na pesa zilizotakatishwa, kama tunaamini aliziiba serikalini huko nyuma.kwani mh mbowe alipewa shingapi za uma na lowasa??
hakikisheni mmetakata kabisa.Ndio tunaanika uhuni wao hadharani.
unapigania kipi alichoharibu magufuli ambacho lowasa hakukifanya???Hivi wewe Lowassa unamjua au unamsikia tu? Ampe Mbowe fedha za nini? Lowasa alitumia fedha kugharamia kampeni zake. Nina uhakika 2015 Lowassa hakuwa na fedha zilizotengwa na Bunge kwa matumizi ya serikali, mwaka huo. Atakuwa alikuwa na pesa zilizotakatishwa, kama tunaamini aliziiba serikalini huko nyuma.
Hapa tunaongelea Magufuli anàyekwiba fedha za serikali na kuzitumia kutoa rushwa. Hata CAG amekosoa mara nyingi matumizi ya fedha za serikali bila kufuata taratibu.
Wewe unadai kwamba uzi huu hauna hoja. Mimi nasema hoja ipo. Lugha za kujipendekeza zimeadimika. Na nikatoa mfano wa TBC na Bunge. Ok?Sjajua ulini quote ili uzungumze nini...? Mbona hiyo Tbc hainihusu mkuu, au ulitaka kujenga hoja gani Yani??
Eebhana...! Uwe na jioni njema
Ooh, kwa hiyo tunakubaliana kwamba Magufuli alikuwa FISADI kama Lowassa? Hapo tumepiga hatuaunapigania kipi alichoharibu magufuli ambacho lowasa hakukifanya???
hatukubaliani,najaribu kwenda sawa na nawewe unavyotaka ili nijue unachoyaka kuhalalisha.Ooh, kwa hiyo tunakubaliana kwamba Magufuli alikuwa FISADI kama Lowassa? Hapo tumepiga hatua
Mkuu, umeona wapi ambapo nikekulazimisha useme Uzi huu Una maana au hauna maana?Wewe unadai kwamba uzi huu hauna hoja. Mimi nasema hoja ipo. Lugha za kujipendekeza zimeadimika. Na nikatoa mfano wa TBC na Bunge. Ok?
Mbona ni rahisi sana. Mimi simtetei Lowassa. Huyo mtamtetea wenyewe. Kumbuka, CHADEMA walimtumia Lowassa kwenye uchaguzi wa 2015. Kama alikuwa na fedha za walipa kodi, fine, zilitumika kukiwezesha chama hicho kupata wabunge na madiwani wengi zaidi, ili kujenga hoja za wananchi bungeni na kwenye Halmashauri.hatukubaliani,najaribu kwenda sawa na nawewe unavyotaka ili nijue unachoyaka kuhalalisha.
Muulize heri jemsi anaweweseka kwa kiwango gani?nyie wapumbavu tuliwaambia,kifo cha JPM kitawawewesesha kuliko sisi tuliokuwa wafuasi wake.[emoji23][emoji23][emoji23].
hii ndio laana ya kushangilia kifo cha anayekupigania,lazima urukwe na akili.
sasa hivi hamjui hata mshike jambo gani mwende nalo,bi samia mnamwogopa maana ni kuungana na ccm,jpm mlimsimanga anawaumiza.
kilichobaki ni nyimbo zilizokosa mvuto kama hizi.
Umesahau alichoandika mwenyewe? Hii ni khatari!Mkuu, umeona wapi ambapo nikekulazimisha useme Uzi huu Una maana au hauna maana?
Kama zilivyofikira za mtu Tajiri wa fikira na Masikini wa fikira kuzitumia kutatua Jambo lake, ndvyo tunavyoweza kutofautiana kuhusu huu Uzi!
Wakati wewe unaona ili utoke kimaisha, ni lazima ukope au uombe msaada ndio utoke, mwingine hatazami Hivyo!!
Wewe kakope ili utoke
Umesahau kuwa uliandika haya kubeza uzi?Hatarii Sana, tulionya kitambo Sana, Kitendo cha shujaa kuimaliza kazi yake ya hapa duniani na kwenda huko Kwa njia ambayo kila mmoja ataipitia, hili jukwaa tusipoangalia litakosa hoja za maana kipindi kirefu Sana,
Kipindi chake, kila alilokuwa akilisema lilionekana ni kama geni masikioni mwa wengi hasa wapinzani wake, na ndio Maana kulikuwa kunazaliwa mijadara kibao, na Kwa sasa kumebakia mijadara ya kijinga tu kama Uzi huu, si ni upumbavu tu wala hakuna hoja yoyote
Kilichobaki Kwa wandishi wengi ni zile dhihaka zisizosaidia chochote!
Ni kawaida ya CCM kuiba. Mbona hata Bashiru alitetea ccm kutumia polisi kuiba. Tena alisema vizuri sana, kwamba wao ni wezi, lazima watetee ulaji wao. Maneno ya hovyo kabisa. Samia, kama yupo na mawazo kama ya Kikwete, atachukia wizi aina hii. CCM Ni wezi toka zamani, ila Magufuli, hiyo ni kitu ingine kabisaaa.Na usubiri 2025 atakugaragaza tena akiwa kaburini
Kinachonisikitisha ni pale mtu kama wewe kushindwa kabisa kuelewa kile kimeandikwa...,Umesahau alichoandika mwenyewe? Hii ni khatari!
Mbona ni rahisi sana. Mimi simtetei Lowassa. Huyo mtamtetea wenyewe. Kumbuka, CHADEMA walimtumia Lowassa kwenye uchaguzi wa 2015. Kama alikuwa na fedha za walipa kodi, fine, zilitumika kukiwezesha chama hicho kupata wabunge na madiwani wengi zaidi, ili kujenga hoja za wananchi bungeni na kwenye Halmashauri.
CHADEMA hawajatoa rushwa kwa yeyote.
Magufuli ametoa rushwa, tena kwa kutumia fedha za walipa kodi.
😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄Muda unaenda kasi sana! Wale wapambe wa kusifia kulikozidi kuabudu na misamiati yao ya kishamba naona sasa wanapukutika utadhani mbelewele za Mtama wa Kongwa.
Eti Tunampambania, anatupambania! Too low! Hivi mtu anayetekeleza majukumu yake na analipwa pesa ndefu na nyingine anabeba na kugawa barabarani huyo anakupambania nini? Hivi mtakuwa watu duni hadi lini wanafiki nyie! bora mmetoweka wenyewe, mlikuwa mnatia aibu sana!
heri james ni mwanasiasa katika uhalisia wa siasa.Muulize heri jemsi anaweweseka kwa kiwango gani?
Sasa kama hamjielewi kwanini msiibiwe?Ni kawaida ya CCM kuiba. Mbona hata Bashiru alitetea ccm kutumia polisi kuiba. Tena alisema vizuri sana, kwamba wao ni wezi, lazima watetee ulaji wao. Maneno ya hovyo kabisa. Samia, kama yupo na mawazo kama ya Kikwete, atachukia wizi aina hii. CCM Ni wezi toka zamani, ila Magufuli, hiyo ni kitu ingine kabisaaa.
Maana kumbuka tokea upinzani uanze, tumekuwa tukiongeza idadi ya wabunge mwaka baada ya mwaka. Magufuli akafuta kila kitu, sio kwa sababu alipendwa sana, no, sababu ni mporaji zaidi