Luhaga Mpina aenguliwa kwenye kinyang'anyiro cha kuwania nafasi ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC)

Asali tamu sana
 
Kuna watu watasikitika...

Kataa CCM uliokoe Taifa
Ukatae CCM (Samia) umpe nchi Mbowe na genge lake (Lema, Sugu, Heche, Msigwa!!!!!), to me hilo kundi la Mbowe kulipa nchi hii ni bora CCM iongoze miaka 200 ijayo. Nitakuwa na amani sana nchi ikiwa mikononi mwa Samia kuliko Mbowe
 
Mbowe na Lema wamewahi kuamrisha watu wauawe na kufungwa kwenye viroba?

Mbowe amewatimua wajasiriamali?

Mbowe alileta Tozo?

Mbowe amewahi kuvunja sheria ipi?

Wewe jifariji na amani ya bandia huku ukiujua ukweli kuwa CCM ndo majizi, wauaji na mafisadi....
 
Hahahahaha, Mkuu umemaliza kila kitu! Huyu Mpina hata haeleweki anataka nini, ndiyo maana kapuuzwa
 
So Mkuu utakuwa na amani kabisa hii nchi akipewa Mbowe na kundi lake?
 
So wewe upo tayari nchi hii apewe Mbowe?
 
Mkuu umejazwa machuki mengi mnoo, nilikuwa kama wewe zamani, baadaye nikaijua kweli!! Hivi nchi ya watu mil 60 kuwa chini ya mbowe or samia, utakuwa na amani kwa nani?
 
HONGERA SANA MPINA KWA KUISHI KWA VITENDO AHADI ZA MWANA TANU 'NITASEMA KWELI DAIMA FITINA KWANGU MWIKO'
 
Mkuu umejazwa machuki mengi mnoo, nilikuwa kama wewe zamani, baadaye nikaijua kweli!! Hivi nchi ya watu mil 60 kuwa chini ya mbowe or samia, utakuwa na amani kwa nani?
Haleluya
Polee sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…