Luhaga Mpina aenguliwa kwenye kinyang'anyiro cha kuwania nafasi ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC)

Inasikitisha hawa wapumbavu wanakata jina la Dr Mpina wanaacha majina ya vilaza (std VII) kama Kibajaji na Msukuma. Hivi hii nchi ni nani aliyeiroga?
 
Haleluya
Polee sana
Hahaha, tukabidhi nchi Mbowe na Lema? Tukakuwa vichaa wa mwisho kabisa wa dunia hii
Inasikitisha hawa wapumbavu wanakata jina la Dr Mpina wanaacha majina ya vilaza (std VII) kama Kibajaji na Msukuma. Hivi hii nchi ni nani aliyeiroga?
So wewe hivyo vi Dr. vina kumove sana? Unaweza kuta Std 7 ya kibajaji ina mchango mkubwa kuliko huo U Dr. wa jamaa yako, Acha dharau
 
CCM MBELE KWA MBELE
 
Kuwa na mawazo kinzani????Nape alifanywaje na mwendazake.
 
Mavichaa yanataka UNEC, Rais magufuli alishakutangaza kichaa, bado umekomaa
 
CCM yote ni hasara. Hakuna cha Magufuli wala Samia. Kila mmoja ameingia na kundi la wapigaji na wapambe wake. Tena sasa hivi fedha zinapigwa kweli kweli. Akiingia mwingine sasa hivi baada ya mwezi mmoja ataanza kumsuta Samia na kundi lake. Bila kuwa na mfumo ambao wananchi watachagua viongozi kwa uhuru ni bure.
 
Ungehoji mantiki ya hoja zake ungekuwa umetoa mchango kwenye platform ila kudai kuwa hata zamani mambo hayo yalikuwepo hujasema kitu
 
Sa100 nchi imemshinda anatapatapa
 
Huyu Mpina hana lolote ndio wale wale.

CCM wana mpango wa kuanzisha chama kingine cha upinzani kuelekea uchaguzi wa 2025, ili kupoteza wananchi maboya. Hivyo hao akina Mpina wanacheza hizo drama kisha ndio wajifanye kuhamia hicho chama kanyaboya. Watu inabidi wawe makini na huo mchezo.
 
CCM hawana utaratibu wa kukosoana, huwa wanasema hivyo hadharani lakini kiuhalisia hilo halipo.
 
Hahaha, tukabidhi nchi Mbowe na Lema? Tukakuwa vichaa wa mwisho kabisa wa dunia hii

So wewe hivyo vi Dr. vina kumove sana? Unaweza kuta Std 7 ya kibajaji ina mchango mkubwa kuliko huo U Dr. wa jamaa yako, Acha dharau
Ndugu yangu hujui hata unasimamia nini.

Lakini wewe ni case study ya madhara yatokanayo na sumu ya CCM.

Kataa CCM uliokke Taifa
 
Huyu Mpina hana lolote ndio wale wale.
Acha wivu wa kimalaya , tofautisha Mpina akiwa waziri na sasa ni mbunge,acheni afanye kazi ya kibunge,wewe ni [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706] kabisa,hutaki mbunge atimize majukumu yake?narudia tena wewe ni nyoko kabisa
 
Acha wivu wa kimalaya , tofautisha Mpina akiwa waziri na sasa ni mbunge,acheni afanye kazi ya kibunge,wewe ni [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706] kabisa,hutaki mbunge atimize majukumu yake?narudia tena wewe ni nyoko kabisa
 
Acha wivu wa kimalaya , tofautisha Mpina akiwa waziri na sasa ni mbunge,acheni afanye kazi ya kibunge,wewe ni [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706] kabisa,hutaki mbunge atimize majukumu yake?narudia tena wewe ni nyoko kabisa
 
Acha wivu wa kimalaya , tofautisha Mpina akiwa waziri na sasa ni mbunge,acheni afanye kazi ya kibunge,wewe ni [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706] kabisa,hutaki mbunge atimize majukumu yake?narudia tena wewe ni nyoko kabisa
 
Ungehoji mantiki ya hoja zake ungekuwa umetoa mchango kwenye platform ila kudai kuwa hata zamani mambo hayo yalikuwepo hujasema kitu
Reasoning capacity ya vijana wengi humu jukwaani ni zero kabisa,mfano ni huyo uliemjibu,wanapambana na Luhaga as personal badala ya hoja zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…