Luhaga Mpina akamatwe ahojiwe analeta chokochoko, kifo cha Hayati Magufuli hakina utata wowote

Ana haki ya kutoa maoni na mtazamo wake ahojiwe kwa kosa gani? Acha utoto
 
Kwanini Luhaga na siyo Mabeyo?
 
Closed βœ…
 
Amekosa nini/amevunja sheria ipi ili akamatwe au kushitakiwa?
 
Viongozi wa nchi nyingi duniani walikuwa wanachukua tahadhari na kujikinga mkuu, Tanzania haikuwa hivyo
Kwa hiyo wengi waliamini maneno ya Rais wakati huo na kujiachia kwa kupiga nyungu tu very strange lakini
Na wao ndio walikuwa wasomi na wazee
Ila ndio hivyo, kwa mimi nasema walikufa kwa wakati wao, ila wengine watasema ulikuwa uzembe wao
 
Punguza povu mkuu Mpina yuko sawa tunataka tujuwe na walio zuia kuapishwa kwa mama
 
Mimi CDF alipomtaja tu daktari fulani alikuwepo muda wote wakati wa kuugua kwa Magu nikajua kwa vyovyote vile asingepona. Na huyo daktari ni kama anahangaika hangaika sana kwa sasa kuhusu afya za watu wengine.
 
Ile I'd ya The Sunk Cost Fallacy 2 Bado unatumia?

Ilitumika sana kushangilia kifo Cha Magu.
Ilitumikankufanya Ugaidi. Hiyo Fallacy 2 ilikuwa na Fallacy 1.

Chini ni moja ya mjadala hapa jamvini. Na mnukuu mhudhuri mmoja hapa...


"Kwenye ishu ya Corona wakati dunia nzima ikijifungia na kufata njia isiyo sahihi kushughulika na janga lile.

Baba yetu Magufuli alisimama kama kiongozi akaja na njia ambayo dunia nzima sasa inaifata kwenye kukabiliana na corona.

Naamini hata kwenye hii ishu ya mafuta, Magufuli angekuja na njia sahihi ya kusaidia watu wake wasiteseke na ugumu wa maisha unaosababishwa na gharama za mafuta kuwa juu. Angetafuta njia sahihi za kumlinda mwananchi asiumizwe na kupanda kwa bei za mafuta

Magufuli alikuwa na maono sana na aliwapenda watu wake hakutaka kuona wanateseka. Angetuvusha"


Chini ni majibu ya ChoiceVariable aka The Sunk Cost Fallacy

Aliwavusha kutoka wapi kwenda wapi?

Kwa hiyo aliwavusha nyingi kwa corona afu yeye akashindwa kujivusha au? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..

Kwa hili la mafuta limefanyaje? Mtahangaika Sana na waliooza .
Ona Ugaidi wao na Utata waliouzusha na kifo chake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…