Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
- Thread starter
- #81
Utata wa kifo upo wapi?Watanzania walio wengi wanataka kifo kichunguzwe, wamekosa tu mahali pa kusemea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utata wa kifo upo wapi?Watanzania walio wengi wanataka kifo kichunguzwe, wamekosa tu mahali pa kusemea.
Viongozi wa nchi nyingi duniani walikuwa wanachukua tahadhari na kujikinga mkuu, Tanzania haikuwa hivyoHakika
Ila Dunia nzima pia hawakufa viongozi wengi kama Tz
Naongelea kufa kwa viongozi zaidi ya 10
Au unajua nchi iliyopoteza viongozi mashuhuri zaidi ya 10
Ana haki ya kutoa maoni na mtazamo wake ahojiwe kwa kosa gani? Acha utotoMagufuli aliugua kwa matatizo ya moyo yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu tangu akiwa Chuo Kikuu UDSM
Jenerali mstaafu Venance Mabeyo alieleza kwa uwazi mkubwa kuwa Magufuli aliugua akapelekwa hospitali ya Muhimbili baadae hali yake ikawa mbaya ikabidi wamhamishie Mzena ambapo ndipo umauti ulipomkuta, sijaona utata wowote hapo,
labda utata angeweza kuhoji kwenye chain ya utoaji taarifa baada ya Rais kufa, japo sioni ni utata wa kuundiwa tume, ila utata huu ulilletwa na serikali ya Magufuli iliyokuwepo kipindi hicho, ambaye Magufuli mambo mengi nyeti aliachwa yasimamiwe na jeshi mfano ni lile la kupora korosho za wakulima na la kupora fedha za bureau de change, hili halihitaji tume
Jingine lenye utata labda ni usiri wa kuugua kwa Magufuli, lakini hili linafahamika kuwa Magufuli alikuwa akiendesha serikali yake kwa usiri, propaganda na denial, hadi anafariki alikuwa akisema ugonjwa wa Corono ulikwishaondoka nchini kwa maombi, Maalim Seif ambaye alikuwa Makamu wa Rais Zanzibar alipougua hadi kufa serikali haikusema lolote alipokuwa akiugua
Mkapa alipougua Serikali haikusema chochohe hadi akafa
Linganisha na kipindi hiki cha Samia ambapo Mwinyi alipougua tulipewa taarifa
Mpina anataka kuaminisha wananchi kuna utata kifo cha Magufuli ila hakurejra chochote chenye utata katika hiyo hotuba yake.
Pia soma Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli
Kwanini Luhaga na siyo Mabeyo?Magufuli aliugua kwa matatizo ya moyo yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu tangu akiwa Chuo Kikuu UDSM
Jenerali mstaafu Venance Mabeyo alieleza kwa uwazi mkubwa kuwa Magufuli aliugua akapelekwa hospitali ya Muhimbili baadae hali yake ikawa mbaya ikabidi wamhamishie Mzena ambapo ndipo umauti ulipomkuta, sijaona utata wowote hapo,
labda utata angeweza kuhoji kwenye chain ya utoaji taarifa baada ya Rais kufa, japo sioni ni utata wa kuundiwa tume, ila utata huu ulilletwa na serikali ya Magufuli iliyokuwepo kipindi hicho, ambaye Magufuli mambo mengi nyeti aliachwa yasimamiwe na jeshi mfano ni lile la kupora korosho za wakulima na la kupora fedha za bureau de change, hili halihitaji tume
Jingine lenye utata labda ni usiri wa kuugua kwa Magufuli, lakini hili linafahamika kuwa Magufuli alikuwa akiendesha serikali yake kwa usiri, propaganda na denial, hadi anafariki alikuwa akisema ugonjwa wa Corono ulikwishaondoka nchini kwa maombi, Maalim Seif ambaye alikuwa Makamu wa Rais Zanzibar alipougua hadi kufa serikali haikusema lolote alipokuwa akiugua
Mkapa alipougua Serikali haikusema chochohe hadi akafa
Linganisha na kipindi hiki cha Samia ambapo Mwinyi alipougua tulipewa taarifa
Mpina anataka kuaminisha wananchi kuna utata kifo cha Magufuli ila hakurejra chochote chenye utata katika hiyo hotuba yake.
Pia soma Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli
Ni nini kinachoashiria kuwa aliuawa?Mpina kaleta jambo ambalo hata mtanzania mpiga kura wa kijijini anajua Dkt Magufuli aliuawa na sbuku na genge lake kisa alibana mianya ya wizi
Niambie utata uko wapi?Utata upo Tena uko wazi.
Bado wanamawazo ya enzi za TANU 1954 zidumu fikra za mwenyeki vilaza hawaHata mimi namshangaa huyo jamaa,
Kwanini hawataki mawazo mbadala?
Kwanini hawataki watu wawe na fikra huru?
Kwanini wanataka watu wa hewala hewala tu kama makondoo?
Ndio na hata Sasa nashangilia mbona
Mwenzake tezi dume alitibiwa wapi?Niambie utata uko wapi?
Huo ndio utata wenyewe?Mwenzake tezi dume alitibiwa wapi?
Yeye alitibiwa nzela dar🥺
Hii hapa
Umeniwahi, nilikuwa nafumua hizo posti zake.
Closed ✅Wewe ndio huelewi!!
Unamuona Mpina kama nani pale Bungeni!!?Mbunge au zaidi ya Mbunge!!?
Mpina ni Pace maker ya Bunge hili liliojaaa Chama kimoja!!
System ni kama inamuandaa kuwa hivyo alivyo umuonavyo!!
Ishu ya kifo Cha Rais ni ishu nyeti ukiona anaiongelea ujue ana baraka ya mfumo kuiongelea!!
Na kama system ikiwa serious utaona impact yake Kwa mwenendo was serikali hii!!
Kuna jambo linahalalishwa kufanyika kupitia hiyo move!!
Kwani we hujui "unatumika Ili uje uondolewe baada ya kutumika"
Nawaza kwa sauti!!
Amekosa nini/amevunja sheria ipi ili akamatwe au kushitakiwa?Mtoa hoja acha udikiteta na upumbavu wa kutojua sheria,fungua kwanza docket ya uchochozi police ,police wachunguze na DPP afikirie kama wana winnable case then ndio wafanye arrest,huwezi kumkamata suspect bila ya kuwa na docket(unless amekamatwa kwenye crime scene na akifikishwa kituoni lazima afunguliwe docket)
Kwa hiyo wengi waliamini maneno ya Rais wakati huo na kujiachia kwa kupiga nyungu tu very strange lakiniViongozi wa nchi nyingi duniani walikuwa wanachukua tahadhari na kujikinga mkuu, Tanzania haikuwa hivyo
Punguza povu mkuu Mpina yuko sawa tunataka tujuwe na walio zuia kuapishwa kwa mamaMagufuli aliugua kwa matatizo ya moyo yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu tangu akiwa Chuo Kikuu UDSM
Jenerali mstaafu Venance Mabeyo alieleza kwa uwazi mkubwa kuwa Magufuli aliugua akapelekwa hospitali ya Muhimbili baadae hali yake ikawa mbaya ikabidi wamhamishie Mzena ambapo ndipo umauti ulipomkuta, sijaona utata wowote hapo,
labda utata angeweza kuhoji kwenye chain ya utoaji taarifa baada ya Rais kufa, japo sioni ni utata wa kuundiwa tume, ila utata huu ulilletwa na serikali ya Magufuli iliyokuwepo kipindi hicho, ambaye Magufuli mambo mengi nyeti aliachwa yasimamiwe na jeshi mfano ni lile la kupora korosho za wakulima na la kupora fedha za bureau de change, hili halihitaji tume
Jingine lenye utata labda ni usiri wa kuugua kwa Magufuli, lakini hili linafahamika kuwa Magufuli alikuwa akiendesha serikali yake kwa usiri, propaganda na denial, hadi anafariki alikuwa akisema ugonjwa wa Corono ulikwishaondoka nchini kwa maombi, Maalim Seif ambaye alikuwa Makamu wa Rais Zanzibar alipougua hadi kufa serikali haikusema lolote alipokuwa akiugua
Mkapa alipougua Serikali haikusema chochohe hadi akafa
Linganisha na kipindi hiki cha Samia ambapo Mwinyi alipougua tulipewa taarifa
Mpina anataka kuaminisha wananchi kuna utata kifo cha Magufuli ila hakurejra chochote chenye utata katika hiyo hotuba yake.
Pia soma Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli
Ilitumikankufanya Ugaidi. Hiyo Fallacy 2 ilikuwa na Fallacy 1.
Ona Ugaidi wao na Utata waliouzusha na kifo chake.Aliwavusha kutoka wapi kwenda wapi?
Kwa hiyo aliwavusha nyingi kwa corona afu yeye akashindwa kujivusha au? 😂😂😂..
Kwa hili la mafuta limefanyaje? Mtahangaika Sana na waliooza .
Haa Tanzania Kuna Mengi SanaMagufuli aliwahi kujiita kichaa na akasema Luhaga Mpina, wakati ule akiwa waziri wa uvuvi, ni kichaa mwenzake.