Luhaga Mpina akamatwe ahojiwe analeta chokochoko, kifo cha Hayati Magufuli hakina utata wowote

Acha ubabe wa kishamba! Ujinga huo ndio mmetufanya tuzidi kuwa wajinga malofa na kuwa maskini!
 
Siungi mkono kuwa akamatwe ajibiwe kwa hoja tu.

Acha hiyo movement ianze pia ndio zitaibuliwa kesi nyingine pending na madhila mengine yaliyofanyika wakati huo na serikali kama imefumba macho.

Tujue ukweli kuhusu Ben Saanane na Azory Gwanda.

Kufariki kwa Leopold Lwajabe.

Kutekwa na kuteswa kwa Roma Mkatoliki(huyu alikimbilia uhamishoni kabisa hadi leo baada ya kuachiwa huru) , Mohamed Dewji

Pia tufahamu waliokuwa nyuma ya shambulio la Tundu Lissu pale Dodoma .

Uvamizi wa studio za Clouds Media Group

Na wafungwa wote wa kesi za kisiasa kuanzia 2016 mchakato wa kuzisikiliza uanze kwa kasi.

Pesa za plea bargain zilizokuwa zinachepushwa benki za Uchina (2019 na kuendelea ) kama alivyosema Samia mwaka jana.

Waliokuwa nyuma ya kesi za uhujumu uchumi ambazo DPP baadae aliweka mpira kwapani na kutimua mbio(hapa tuangalie namna gani wahusika waliochafuliwa majina yao wanarudishiwaje "reputation" zao kwenye jamii japo wengi baada ya kusota gerezani walipoachiwa walienda kuishi uhamishoni.

Familia za waliopoteza maisha kwenye ule "Ushenzi" mkuu 2020.

Na kesi nyingine nyingi ambazo hazikuwahi kutangazwa kutoka na ile sheria kandamizi ya mawasiliano ambayo ilipita kwa hati ya dharura ili kufanikisha mikakati ya watu wachache naamini watu watajitokeza.

Naamini tunatakiwa kuliita koleo kwa jina lake sio kijiko kikubwa .
Ni kweli kabisa, maana ukitaja tu bsaa8 basi mbowe ana hara hara au issue ya lisu basi mbowe uharo mwingi
 
Uandishi wa wapi huu mtekaji mbona ni wa hovyo sana au karma imeanza kuwashughulikia?

Unaweweseka sana , unajua ikija independent inquiry hamchomoki eh??

Ben Saanane hajatekwa na Mbowe uzi wake wa mwisho upo humu na alisema anatishiwa kuuwawa na namba inayomtisha aliiweka humu sasa nashangaa wewe na genge lenu humu na kina TumainiEl la kuteka watu mnahaha mnajua ikichunguzwa itajulikana kwahiyo mnafifisha ??

Hakuna mahali polisi waliact upon lile suala la Ben kuanzia kutishiwa hadi kupotea ukizingatia alihoji PhD ya kudurufu ya maganda ya korosho ya Magufuli .

Rekodi zote zipo humu ndani hivyo mkitaka haki itendeke kwa Magufuli nasi tunataka haki itendeke kwa wote..
 
Magufuli aliugua kwa matatizo ya moyo yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu tangu akiwa Chuo Kikuu UDSM

Jenerali mstaafu Venance Mabeyo alieleza kwa uwazi mkubwa kuwa Magufuli aliugua akapelekwa hospitali ya Muhimbili baadae hali yake ikawa mbaya ikabidi wamhamishie Mzena ambapo ndipo umauti ulipomkuta, sijaona utata wowote hapo,

labda utata angeweza kuhoji kwenye chain ya utoaji taarifa baada ya Rais kufa, japo sioni ni utata wa kuundiwa tume, ila utata huu ulilletwa na serikali ya Magufuli iliyokuwepo kipindi hicho, ambaye Magufuli mambo mengi nyeti aliachwa yasimamiwe na jeshi mfano ni lile la kupora korosho za wakulima na la kupora fedha za bureau de change, hili halihitaji tume

Jingine lenye utata labda ni usiri wa kuugua kwa Magufuli, lakini hili linafahamika kuwa Magufuli alikuwa akiendesha serikali yake kwa usiri, propaganda na denial, hadi anafariki alikuwa akisema ugonjwa wa Corono ulikwishaondoka nchini kwa maombi, Maalim Seif ambaye alikuwa Makamu wa Rais Zanzibar alipougua hadi kufa serikali haikusema lolote alipokuwa akiugua

Mkapa alipougua Serikali haikusema chochohe hadi akafa

Linganisha na kipindi hiki cha Samia ambapo Mwinyi alipougua tulipewa taarifa

Mpina anataka kuaminisha wananchi kuna utata kifo cha Magufuli ila hakurejra chochote chenye utata katika hiyo hotuba yake.

Pia soma Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli
Tena tume ya nje ya nchi ikiongozwa na Scotland Yard

Kqzee kaadui ka taifa ka mshoga lazima kaumbuke.
 
Uandishi wa wapi huu mtekaji mbona ni wa hovyo sana au karma imeanza kuwashughulikia?

Unaweweseka sana , unajua ikija independent inquiry hamchomoki eh??

Ben Saanane hajatekwa na Mbowe uzi wake wa mwisho upo humu na alisema anatishiwa kuuwawa na namba inayomtisha aliiweka humu sasa nashangaa wewe na genge lenu humu na kina TumainiEl la kuteka watu mnahaha mnajua ikichunguzwa itajulikana kwahiyo mnafifisha ??

Hakuna mahali polisi waliact upon lile suala la Ben kuanzia kutishiwa hadi kupotea ukizingatia alihoji PhD ya kudurufu ya maganda ya korosho ya Magufuli .

Rekodi zote zipo humu ndani hivyo mkitaka haki itendeke kwa Magufuli nasi tunataka haki itendeke kwa wote..
Ile ilikuwa namba ya genge la mbowe bosi, we acha tu yaani hii kitu mbowe hachomoki na genge lake. Yaani genge la ugaidi la mbowe walishirikiana na mabeberu kufanya uharifu ili nchi ichafuke. Pia mbowe ni fisadi, jizi, jambazi, malaya, huni huni etc.
 
Waku kamatwa kwanza ni makonda aliepigwa marufuku ya kuingia Marekani kwa makosa ya kunyima watu haki ya kuishi na kwa tuhuma za kushambuliwa Tundu Lisu na tuhuma zingine nyingi zinazo mkabili lakini pia bibi yenu wa kizimkazi ahojiwe kuhusiana na maneno yake kwamba pesa zilikua zinatoroshwa kwenda china alijua ni makosa yanafanyika lakini hakuthubutu kusema ukweli na yeye alishiriki huo ujambazi na uhujumu uchumi
 
Ile ilikuwa namba ya genge la mbowe bosi, we acha tu yaani hii kitu mbowe hachomoki na genge lake. Yaani genge la ugaidi la mbowe walishirikiana na mabeberu kufanya uharifu ili nchi ichafuke. Pia mbowe ni fisadi, jizi, jambazi, malaya, huni huni etc.
"Uharifu" ndio kitu gani ??
 
"Mliokuria"

"Kaliakoo"

"Kunua"

"Kiswahiri"

Naomba niishie hapa kufanya mjadala na wewe.
Hahaha yaani hutaji mjadara naona umeshondwa kabisa kusubutu hahaha yaani nyie chadema popaya kabisa
 
Aliongea ila isingeweza kuwa recorded for obvious reasons.Hata hivyo narudia, iundwe tume if there is nothing to hide,ikionekana there is nothing to hide the issue will have been laid to test.For now wananchi kama mimi hatuna uhakika na nini hasa kilitokea,hasa ukizingatiwa ushuhuda wenye utata wa Mabeyo.
Aliongea wapi? Kama haikurekodiwa wewe ulijuaje? Huo utata wa Mabeyo ni upi?
 
Dah umeona umekiri kushiriki mauaji ya mpendwa wety Dkt Magufuli. Halafu mkambatiza jina eti mwendazake, yaani hilo jina silipendi
Ni neno la Kiswahili halina shida, lipo kwenye kamusi
 
Badilisha kichwa cha habari iwe hivi “Aliyekuwa Makamu wa Rais kipindi Dkt Magufuli anafariki akamatwe ahojiwe maana alikiri kuupata urais kwa kudra za mwenyezi mungu kwa sababu alijua rais aliyepo madarakani akifa yeye atakuwa rais kupitia kijitabu chenye vikaratasi cha katiba”
Au Bibiye Kurembeua rembua😂😂
 
Magufuli aliugua kwa matatizo ya moyo yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu tangu akiwa Chuo Kikuu UDSM

Jenerali mstaafu Venance Mabeyo alieleza kwa uwazi mkubwa kuwa Magufuli aliugua akapelekwa hospitali ya Muhimbili baadae hali yake ikawa mbaya ikabidi wamhamishie Mzena ambapo ndipo umauti ulipomkuta, sijaona utata wowote hapo,

labda utata angeweza kuhoji kwenye chain ya utoaji taarifa baada ya Rais kufa, japo sioni ni utata wa kuundiwa tume, ila utata huu ulilletwa na serikali ya Magufuli iliyokuwepo kipindi hicho, ambaye Magufuli mambo mengi nyeti aliachwa yasimamiwe na jeshi mfano ni lile la kupora korosho za wakulima na la kupora fedha za bureau de change, hili halihitaji tume

Jingine lenye utata labda ni usiri wa kuugua kwa Magufuli, lakini hili linafahamika kuwa Magufuli alikuwa akiendesha serikali yake kwa usiri, propaganda na denial, hadi anafariki alikuwa akisema ugonjwa wa Corono ulikwishaondoka nchini kwa maombi, Maalim Seif ambaye alikuwa Makamu wa Rais Zanzibar alipougua hadi kufa serikali haikusema lolote alipokuwa akiugua

Mkapa alipougua Serikali haikusema chochohe hadi akafa

Linganisha na kipindi hiki cha Samia ambapo Mwinyi alipougua tulipewa taarifa

Mpina anataka kuaminisha wananchi kuna utata kifo cha Magufuli ila hakurejra chochote chenye utata katika hiyo hotuba yake.

Pia soma Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli
Hii ni nchi ya kikatiba na sheria. Kila mtanzania anao uwezo wa kuhoji na kuuliza. Lakin kama mlihusika na kumuua Rais, lazima upaniki na useme ujinga kama huo.
 
Tawile Tawileee Laana liwakute chama cha Mboga Mboga zilizooza Tawilee Chama Wagombane watupiane majini malaana Tawile Chama Kipate malaana kwa wananchi, Mizimu mpaka marehem Tawile yan CCM iangamie kama Sodoma na Gomora Tawile, ianaamie kama kipindi cha Nuhu Tawile, Viongozi wake nao waangamizwe kama Firauni bin Ibilis Shetan Tawile, Wavurugane kama Kuzimu na Moton alipotupwa Shetan Lusifa Ibiliisi Tawile Wavurugane wauane wakorogeane sumu Na iwe Hivyo.
 
Magufuli aliugua kwa matatizo ya moyo yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu tangu akiwa Chuo Kikuu UDSM

Jenerali mstaafu Venance Mabeyo alieleza kwa uwazi mkubwa kuwa Magufuli aliugua akapelekwa hospitali ya Muhimbili baadae hali yake ikawa mbaya ikabidi wamhamishie Mzena ambapo ndipo umauti ulipomkuta, sijaona utata wowote hapo,

labda utata angeweza kuhoji kwenye chain ya utoaji taarifa baada ya Rais kufa, japo sioni ni utata wa kuundiwa tume, ila utata huu ulilletwa na serikali ya Magufuli iliyokuwepo kipindi hicho, ambaye Magufuli mambo mengi nyeti aliachwa yasimamiwe na jeshi mfano ni lile la kupora korosho za wakulima na la kupora fedha za bureau de change, hili halihitaji tume

Jingine lenye utata labda ni usiri wa kuugua kwa Magufuli, lakini hili linafahamika kuwa Magufuli alikuwa akiendesha serikali yake kwa usiri, propaganda na denial, hadi anafariki alikuwa akisema ugonjwa wa Corono ulikwishaondoka nchini kwa maombi, Maalim Seif ambaye alikuwa Makamu wa Rais Zanzibar alipougua hadi kufa serikali haikusema lolote alipokuwa akiugua

Mkapa alipougua Serikali haikusema chochohe hadi akafa

Linganisha na kipindi hiki cha Samia ambapo Mwinyi alipougua tulipewa taarifa

Mpina anataka kuaminisha wananchi kuna utata kifo cha Magufuli ila hakurejra chochote chenye utata katika hiyo hotuba yake.

Pia soma Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli
Kuna jamaa alisema bahari imetulia, mwingine akasema wazuri hawafi,

Mpina kaja na facts , badala ya kufikiri kumkamata , kamati huru iandaliwe pia,
 
Back
Top Bottom