Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Asante Sana kwa kuzidi kujifunua kuwa kumbe mna ajenda yenu nyie kama nyie na wala hamna ajenda za kitaifa!mbona povu sana, tuliza mshono. vita ndio imeanza sasa hamtaki tutagawana nchi, nyie mbaki na bandari yenu na sisi tubaki na madini yetu.
This is fallacy!
Hakuna kitu kama icho!
Luhaga Mpina na Joseph Msukuma ajenda zao zinajulikana!
Utakuwa mgeni wa siasa za Tanzania kama hulijui hili
Mmetusumbua na kutuonea sana nyinyi awamu iliyopita! Na bado mnaendelea tu kutusumbua hata sasa. Jambo hili halikubaliki hata kidogo.Kwa hiyo wewe ndo mjana? Huyo Mpina anakuzidi kila kitu na ukoo wako wote. Ujanja sio kuvuka rami ni kutafuta fursa na kuiona ndo maana wengi wenye mafanikio mjini ni watu wa kuja.
Kwa hiyo umeamua kutukana wasukuma wote kisa uchwa kwa huyo bibi ako?Wasukuma ni wabinafsi na wakabila sana. Hii miaka sita miradi na pesa yote ilipelekwa Kanda ya ziwa. Pumbafu sana, wanahangaika Bure.
Wasukuma ni wabinafsi na wakabila sana. Hii miaka sita miradi na pesa yote ilipelekwa Kanda ya ziwa. Pumbafu sana, wanahangaika Bure.
Wewe mwenyeji sana wa hizi siasa inaonekana
Tangu Makamba umemjua kwny siasa kafanya jambo gani la maana?
Ukimuweka Makonda na January halafu utazame upande wa mazuri yao tu kwmy uongozi basi Paul kafanya mengi sana kuliko huyu Kijana …January alichofanikiwa ni kuji brand kama mtu smart sana kichwani ha
Tutakuja tutawafumua, mtakuwa kama ilivyo Kivu au gomambona povu sana, tuliza mshono. vita ndio imeanza sasa hamtaki tutagawana nchi, nyie mbaki na bandari yenu na sisi tubaki na madini yetu.
Ulimuona anashangilia?Jinga hadi kesho weye maboso!Laana ya kushangilia kifo cha Magufuli haitawaacha salama, walidhani kuongoza ni jambo rahisirahisi kama kujibatiza jina la kigogo2014 huko twita.
Wasukuma ndio wengi nchi hii na ndio wapiga kura wengi au nasema uongo ndg zanguuuuuuuuuuuuu?[emoji16][emoji16][emoji16]
Kuna saaa wanasema ukweli kuna saaa kichinaLuhaga Mpina Mbunge wa Kisesa amesema Rais Samia alitaka mawaziri wamsaidie katika kujibu hoja za wananchi, hata hivyo jambo hilo halionekani sana kwa sasa, ambapo amesema mawaziri wapo kimya katika kujibu hoja za wananchi...
Leo Kuna kikongwe gani mnamuua hapo Geita kwa kumuhisi mchawi?Haya ndiyo majibu ya hoja za Mpina?
Pumbavu zako kabisa
Unasema January na Makonda
Sawa tuwangalinganishe kwa vigezo
Mimi nitakwambia Makamba alisimamia zoezi la kuondoa vifungashio vya plastiki kwenye pombe na kuondoa mifuko ya plastiki
Sasa wewe Niambie Makonda kafanya nini pa maana lenye impact kwa jamii?
Kufuta tozo ya Tsh. 100 bila kufanya tathmini kumeipotezea Serikali Tsh. Bilioni 30. Hivyo, hakuwa na nia njema, achukuliwe hatua, atoa wito kwa TAKUKURU kumchukulia hatua. Amesema suala la kumchukulia hatua sio jambo la hiari, ni kwa mujibu wa sheria.
Wasukuma Wana roho mbaya sana. Ndio maana mnauwa vikongwe na ma zeruzeru.Kwa hiyo umeamua kutukana wasukuma wote kisa uchwa kwa huyo bibi ako?
2. Kusimamia Shule nalo jambo la kusema unapongeza? Kuna Mkuu wa Mkoa gani hajasimamia Shule na Madarasa hapa Tanzania?Hilo la vifungashio alishalitolea ufafanuzi hayati JPM kuwa ilibidi amshirikishe PM baada ya January kulega lega mara kadhaa
Ya Makonda
1) Katokomeza Panya Road waliokuwa tishio sana muda wa mwisho wa utawala wa JK
2) Kasimamia kwa ufanisi mkubwa ujenzi wa shule nyingi za Kata na nyumba za walimu Jijini Dar es salaam
3) aliweza kumaliza migogoro iliyokuwa ikiibuka mf. Wa Madereva kituo kikuu cha Ubungo
4) kusimamia na kupambana kudhibiti upigaji na hatiamae kubadili mkandarasi wa mchongo kwny soko la Kisutu na hatimae ujenzi ukaanza na kukamilika ndani ya kipindi kifupi na hatimae wafanyabiashara wote walioondolewa wakarudishwa bila ya malalamiko hata ya mtu mmoja kudhulumiwa pa kufanyia kazi
5) Kutokomeza kabisa rudia kabisa biashara ya madawa ya kulevya Jijini Dar es salaam
Kila binadam ana pande mbili
Kwny mazuri huwezi kumlinganisha January na Makonda
Mbona yeye Luhaga anewaibia sana wafugaji jamii ya wasukuma Ng'ombe zao wakati akiwa waziri wa mifugo na uvuvi,nenda Bariadi watakuambia habari zake,Luhaga Mpina Mbunge wa Kisesa amesema Rais Samia alitaka mawaziri wamsaidie katika kujibu hoja za wananchi, hata hivyo jambo hilo halionekani sana kwa sasa, ambapo amesema mawaziri wapo kimya katika kujibu hoja za wananchi.
Mpina amesema wapo mawaziri hawajibu hoja za wananchi au huwa wanajibu kwa hoja nyepesi malalamiko ya raia, hali ambayo ameitaja kuwa sio kumsaidia Rais kama inavyotarajiwa.
Ametoa mfano wa waziri wa Nishati alivyojibu kuhusu ucheleweshwaji wa mradi wa bwawa la Mwl Nyerere ambapo Waziri wa Nishati alianza kulaumu kuwa Wabunge hawakutaka yeye awe waziri badala ya kujibu hoja iliyokuwa mezani.
Waziri ametolea mfano suala la kufuta tozo ya Tsh. 100 katika mafuta bila kufuata utaratibu. Ambapo amesema maamuzi ya waziri kufuta tozo hiyo amekutaja ni sawa na uhujumu wa mapato ya Serikali kwa kuwa fedha ya tozo hiyo ilikuwa katika bajeti ya Serikali ya mwaka 2021/22.
Kwa kushindwa kufuata taratibu za kuondoa tozo, Luhaga Mpina amesema Waziri wa Nishati amekuwa amefanya kosa la Uhujumu Uchumi. Na ameshindwa kutafuta kukielewa chanzo cha upandaji wa bei za mafuta nchini.
Kufuta tozo ya Tsh. 100 bila kufanya tathmini kumeipotezea Serikali Tsh. Bilioni 30. Hivyo, hakuwa na nia njema, achukuliwe hatua, atoa wito kwa TAKUKURU kumchukulia hatua. Amesema suala la kumchukulia hatua sio jambo la hiari, ni kwa mujibu wa sheria.
Mambo mengine aliyoyataja katika taarifa yake aliyoitoa kwa vyombo vya habari ametaja kuwa Waziri Makamba ameshindwa kujibu kuhusu bei za mafuta na mfumuko wa bei.
Yaani kutwa mnamtukana Samia,halafu mnataka hamrudishe huyo mpuuzi mwenzenu kwenye hiyo wizara,,nyie kweli wapumbavu wakubwaKalemani arudi ili anyooshe mambo.
Umelinganisha kimlinganyo? Uchumi wa Tanzania unafanana na wa Marekani... Mbona wasomi mnatuangusha sanaMarekani bei ni kubwa kuliko Tanzania.