Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 3,482
- 4,673
Huyo dikteta kalaaniwa na kila kiumbe chenye uhai, laanaakum kabisa,Laana ya kushangilia kifo cha Magufuli haitawaacha salama, walidhani kuongoza ni jambo rahisirahisi kama kujibatiza jina la kigogo2014 huko twita.
Issue sio mlinganyo! Issue ni mafuta yamepanda kote duniani kwa iyo hadi Marekani nao wamlaumu Makamba?Umelinganisha kimlinganyo? Uchumi wa Tanzania unafanana na wa Marekani... Mbona wasomi mnatuangusha sana
Makamba kazi yake ni nini? Dhamana yake inampasa afanyaje?Issue sio mlinganyo! Issue ni mafuta yamepanda kote duniani kwa iyo hadi Marekani nao wamlaumu Makamba?
Hameni Nchi ,zama za dikteta zishapita, CCM imerudi kwa wenyeweAnayesaidiwa ndo kituko zaidi maana hajalalamika kuwa eti ameshindwa kusaidiwa
Wai chattle kapokee zamu ya kulinda kaburi dadaMakamba kazi yake ni nini? Dhamana yake inampasa afanyaje?
Kwa iyo kazi ya Makamba ni kushusha Bei ya mafuta wakati kwenye soko la Dunia na duniani kote mafuta yamepanda?Makamba kazi yake ni nini? Dhamana yake inampasa afanyaje?
Hoja yako ndiyo imeishia hapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unatia hurumaWai chattle kapokee zamu ya kulinda kaburi dada
Huyo Mpina 2025 Hana ubungeMpina alikuwa anachukua ng'ombe za wafugaji na kuzipeleka kwenye mazizi yake ? Huyu aliyefilisi wavuvi kwa sababu za kijingajinga kabisa?
Anamuota rafiki yake Kalemani, hatarudi pale nishati.
Huyu Mpina kama anauota uwaziri, asubiri usiku, ni kiongozi wa hovyo sana.
Luhaga Mpina anampinga sana mama Samia, asidhani 2025 ni mbali
Magufuli kashakufa,Kama hamtaki kuongozwa na Samia,hamieni Somalia mbuzi nyie,Hoja yako ndiyo imeishia hapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unatia huruma
Unafikiri wote wanaishi kama wewe kwa kutegemea kazi moja?Huyo Mpina 2025 Hana ubunge
Sindano imekuingiaMpina alikuwa anachukua ng'ombe za wafugaji na kuzipeleka kwenye mazizi yake ? Huyu aliyefilisi wavuvi kwa sababu za kijingajinga kabisa?
Anamuota rafiki yake Kalemani, hatarudi pale nishati.
Huyu Mpina kama anauota uwaziri, asubiri usiku, ni kiongozi wa hovyo sana.
Luhaga Mpina anampinga sana mama Samia, asidhani 2025 ni mbali
We kimada wa jobo Ndugai tuliza mshono!Ndo unaamua kunitukana we kilaza nini
Waziri Kalemeni alionewa bure baba wa watuLaana ya kushangilia kifo cha Magufuli haitawaacha salama, walidhani kuongoza ni jambo rahisirahisi kama kujibatiza jina la kigogo2014 huko twita.
Kwa iyo kazi ya Makamba ni kushusha Bei ya mafuta wakati kwenye soko la Dunia na duniani kote mafuta yamepanda?
Huyu makamba basi atakuwa Malaika sio binadamu [emoji23]
Ebu jaribuni kenge nyinyi, ex solder tunawavunja makalio hayombona povu sana, tuliza mshono. vita ndio imeanza sasa hamtaki tutagawana nchi, nyie mbaki na bandari yenu na sisi tubaki na madini yetu.
Nimegundua una matatizo ya akiliMagufuli kashakufa,Kama hamtaki kuongozwa na Samia,hamieni Somalia mbuzi nyie,
Huyo Kalemani wenu msitegemee kama atarudi nishati au kupewa Tena uwaziri,,msahau kabisa kabisa
Mchukueni akawe waziri wa usukumani, wapuuzi nyie,kwani alizaliwa hawe waziri,au iyo wizara ya baba yake,Waziri Kalemeni alionewa bure baba wa watu