Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TLS wapo likizoAmebakisha kumshtaki Mama Abuduli sasa au Jamhuri kwa ujumla.
Mkuu naamini maamuzi ya bunge ambayo hayawezi kuingiliwa na chombo chochote ni pale bunge linapofanya debates zake juu ya miswada mbalimbali ama mijadala ya kibunge lakini sio kila kitu kinachohusiana na ukiukwaji wa haki ya mbunge.Kwa nini Watanzania wengi inaonekana hawaelewi hii point ya msingi kabisa?
Hivi watu wetu hawajui basic separation of powers hivi?
Ila CCM wana Drama sanaTLS wapo likizo
Halijashitakiwa Bunge, wameshitakiwa viongozi wa bunge kwa ukiukwaji wa kanuni, mahakama inaenda kutoa tafsiri ya sheria kanuni hizoMahakama inaweza kutoa hukumu kuhusu uendeshwaji wa mhimili unaojitegemea wa Bunge na Spika?
Hukumu hiyo haitaharibu uhuru wa Bunge kama mhimili unaojitegemea?
Bora ya UWT kuliko TLSIla CCM wana Drama sana
Mfano wako si mzuri kwa sababu umeongelea mtu aliyeanzia kufukuzwa na mamlaka ya chini.Mfano Rais yupo muhimili wa Executive ambapo mwajiriwa aliyefukuzwa kazi na mwajiri wake anaweza kuanzia ngazi za usuluhishi kama CMA akakata rufaa hadi kwa Rais akitka arejeshwe kazini lakini Rais anaweza kushikilia msimamo wa mtu huyo kutorejeshwa kazini.
Mtu huyo akienda mahakamani (Labour division) kudai haki yake ya kurejeshwa kazini haina maana kwamba mahakama itakataa kusikiliza shauri lake kisa tu muhimili mwingine ulishamfukuza kazi.
Shauri litasikilizwa na kama mtu huyo ana haki basi atarejeshwa kazini.
Rejea mamlaka ya kuteua ambayo yapo vested to the President.
Rais anaweza kumteua mtu yeyote kushika madaraka ya ofisi yoyote ya umma lakini kama kuna ukiukwaji uliofanyika kwenye zoezi zima la uteuzi labda mtu huyo kukosa sifa fulani basi mtu yeyote anaweza kwenda mahakamani kupinga uteuzi huo.
Rejea kesi ya Addo Shaibu dhidi ya Rais Magufuli na mwanasheria mkuu wa serikali ambapo Addo Shaibu alipinga uteuzi wa Ardelarus Kilangi kuteuliwa kuwa mwanasheria mkuu wa serikali.
Ety mahakama inatafsiri sheria za nchi tu, vipi kesi ya magoma na yanga au mwabukusi na TLS zote wameshinda.Kesi ya Mpina ni kuhusu nini?
Kanuni na sheria za Bunge zinapokiukwa hilo ni jambo la Bunge, mwenye mamlaka ya kuzitafsiri ni muhimili wa Bunge, si Mahakama. Mahakama inatafsiri sheria za nchi, si kanuni za Bunge.
Mawakili wanaweza kujazana hata 1,000 kuonesha solidarity na Mpina kwamba kaonewa, au hata kula hela za Mpina, au hata kusikia Mahakama itasemaje, wakijua kwamba kesi haina mashiko Mahakamani na itakataliwa.
Na kwa mawakiki wetu hawa wengine siwezi jushangaa hata wakiamininkwamba wana kesi wanayoweza kushinda, tuangalie mahakama itasemaje.
Mimi natabiri kuwa, kwenye hoja yoyote ya kumshtaki Spika kwa jinsi alivyoliendesha Bunge, mahakama itatupilia mbali shauri hilo, kwa kisema haiwezi kuingilia suala la Spika anavyoendesha Bunge, hilo ni suala la kumalizwa Bungeni.
Hizi kesi nyingine ni za kisiasa za kujenga sympathy kwenye public opinion kuliko kutafuta ushindi Mahakamani.
Kwani wapi nimesema limeshitakiwa Bunge?Halijashitakiwa Bunge, wameshitakiwa viongozi wa bunge kwa ukiukwaji wa kanuni, mahakama inaenda kutoa tafsiri ya sheria kanuni hizo
Mpina angerudi vipi bungeni kupiga kura na kasimamishwa?Mahakama inafuata sheria. Usifanye kosa la kuchanganya sheria na haki.
Mahakama zishawahi kutupa kesi za mashauri ya bunge kwa msingi wa kutenganisha nguvu za Bunge na Mahakama.
Nimeuliza swali hujanijibu, sijui kama hata umelielewa.
Mahakama haiingilii Bunge. Hii ni mihimili tofauti na yote inajitegemea. Sijui watu hawaelewi hii kanuni au vipi?
Hii kesi ya Spika na masuala ya Bunge linavyoendeshwa itasikilizwaje na Mahakama bila Mahakama kuingilia uhuru wa Bunge?
Huoni kwamba Mpina alitakiwa kwenda Bungeni na kuweka motion ya kumpigia Spika kura ya kukosa imani, Spika awe impeached? Wabunge wamalize mambo yao Bungeni bila ya kuingia kwenye mtego wa kupeleka kesi Mahakamani halafu Mahakama ikatae kusikikiza kesi kwa sababu ni jambo la uendeshwaji wa Bunge, na Mahakama haiwezi kuingilia mambo ya uendeshwaji wa Bunge?
Mtu wa programming na huku upo kumbe?Mahakama itasema fuatisheni kanuni zenu za kibunge za kuwajibishana ndani ya Bunge, hili si suala la Mahakama, ni suala la Bunge.
Vipi kesi ya chadema dhidi ya covid 19 mbona haijatupiliwa mbali bado inasikilizwa na mahakamaKwani wapi nimesema limeshitakiwa Bunge?
Nakwambia hivi, suala lolote la kuhusu Spika anavyoendesha Bunge halitolewi hukumu na Mahakama.
Ukipeleka kesi hiyo Mahakamani, Mahakama itakwambia hilo ni suala la Bunge, Mahakama haihusiki, lirudishe suala hilo Bungeni mkalimalize Bungeni.
Kwa sababu, kanuni za separation of powers zinaikataza Mahakama kutoa hukumu kwenye mambo ya jinsi gani muhimili wa Bunge unajiendesha.
Kama Spika kakosea, kuna mpaka mchakato wa kumuondoa Spika Bungeni na kumpigia kura ya kutokuwa na imani naye.
Mahakama itasema fuatisheni kanuni zenu za kibunge za kuwajibishana ndani ya Bunge, hili si suala la Mahakama, ni suala la Bunge.
Tangu mwanzo nilijua unazungumzia separation of power, hii bongo haipoHao wanasheria wengine hata kama wanajua hapa hakuna kesi, wanaweza kumjaza ujinga Mpina ili wale pesa zake tu.
Ila kiukweli hapa Mahakama itaitupilia mbali hii kesi kabla hata ya kuisikikiza kwa kina.
Kwa sababu ya "separation of powers".
How do people not see something that is so obvious?
Kwani hatarudi Bungeni? Kafukuzwa milele?Mpina angerudi vipi bungeni kupiga kura na kasimamishwa?
Kwani wapi nimesema Spika hashitakiwi mahakamani?Mtu wa programming na huku upo kumbe?
===
Tunaomba vifungu vya sheria ama katiba vinavyozuia Spika na wengine wasishitakiwe kwenye mahakama.
Una maana gani kwamba separation of powers Bongo haipo?Tangu mwanzo nilijua unazungumzia separation of power, hii bongo haipo
Jioni NjemaKwani wapi nimesema Spika hashitakiwi mahakamani?