Luhaga Mpina: Deni la Serikali lapaa kutoka Trillion 62.4 mwaka 2021, Hadi kufikia Trillion 96.9 mwaka 2024 !!

Sasa shida Iko wapi? Amewaelezea kwamba na Uchumi umepata?

Kwani amewaambia kuna shida gani ,mbona Kuna Hawa wenye madeni makubwa umeona ni maskini? πŸ‘‡πŸ‘‡View attachment 3217925
Ujinga ni MZIGO MKUBWA sana .

Hizo nchi ulizotaja zinafanana hata robo na hiyo vegetable country yako? nyie deni linapanda mbona nchi ipo vile vile ?
 
Hivi ela za kununua magoli na zile 700ml za taifa stars zinatokaga wapi,? any way si wamilizie izo 4 ili iwe 100 wagawane vizuri keki ya taifa
Kwani si bado mnampa mi 5 Tena, subiri tu usiwe na mashaka, litagonga mpk 150 trail.
 
Bila kumsahau mastermind Mzee wa msoga!
 
Yetu sisi yako wapi?
 
Kwamba hujui matumizi yake au unasumbuliwa na chuki? Haya hapa πŸ‘‡ πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DFYNGLaMfaC/?igsh=N2h4dmlsbnZxNms3
Usikimbilie kutuletea picha ya miradi uchwara hapa!
Hata Heche jana alisema bado tunahangaika na mambo ya vyoo vitu vya kijinga kabisa ndani ya miaka 60 ya Uhuru!
Huyo Bibi yako kakopa sana na huku ukijinadi kukusanya kodi kwa wingi lakini matokeo yake ni kiduchu sana!
Wakandarasi wa ndani bado hawalipwi pesa zao kwa wakati!
Ujenzi wa barabara unasuasua kila kona ya nchi harafu wewe kichwa nazi unakuja kutetea ujinga hapa!
Hii serkali ilofeli haiwezi kuwa na matokeo chanya kwa wananchi wake!
 
Hizi ni dalili za Baba Jeni baibai! Ngoja tusubiri wajumbe kwenye kura za maoni!!
 
Miradi uchwara ndii inakuaje?

Ulitaka Watoto wanye Nje kama hakuna vyoo hasa huko kwenu Usukuma?

Kama wakandarasi hawalipwi wako site kufanya nini? Wanatumia hela zipi kufanya kazi? Suala la Barabara kusuasua lipo hivyo miaka yote by the way Samia amerithi utitiri wa madeni ya wakandarasi na wazabuni,madeni yalitoka wapi kama mlikuwa mnawalipa Kwa wakati?

Serikali ilisema ilikuwa inamalizana na wakandarasi wa miradi mikubwa ya Mwendazake iliyoanzishwa bila utaratibu ila Kwa Sasa flow ya hela imerudi.

Mwisho Serikali iliyofeli haiwezi kufanya mambo makubwa ambayo yamefanyika ambayo wewe na unaowatumikia mnayajua eg πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DFVWmVYNQdl/?igsh=ZXhocjA3NTU4dzZh
 
Walivyo wapumbavu wanaficha nje ya nchi. Na wengine kufanya mambo ya hovyo kama kutoka na mademu na machoko.
Ni upumbavu mkubwa uliopo sasa.
Mungu tu ndie atakayetuokoa
Wanaoficha Nchi gani na mifano ya hao ni kina nani nyie sukuma gang mbona hamuwataji mnalishana upumbavu?
 
Kwani deni likipaa zaidi na Uchumi kupata zaidi Kuna shida gani? Hawa wenye madeni makubwa uchumi wao kukoje?

Nadhani wewe ndio mpumbavu Kwa sababu CCM wame gauge kinachoitwa deni kubwa vs matokeo ya Hilo deni kubwa πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DFcB6jRNfxE/?igsh=YmdsaThjY2ZyZm56
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…