Luhaga Mpina hamia CHADEMA, CCM hapakufai

Bro. Naomba leo tuwe wakweli.
CDM imeuawa na maridhiano, wamekuwa voiceless...., amebaki Lissu na watu wachache, Mbowe sijui amekuwaje yuko kimya, mambo mazito yanatokea kama mwenyekiti yuko kimya.

2025 itaongea ukweli wote kuhusu upinzani
Mambo gani yameharibika kisa tu cdm imeingia kwenye maridhiano ebu twambie ndugu hayo mambo
 
Walamba asali walisha hukumiwa na Mungu sasa hivi wapo burigi
CHADEMA haiaminiki Tena ngoja ni kuulize tangu walivyoingia kwenye maridhiano na CCM ya Mama Samia umeona umewahi kumuona au kumsikia mwenyekiti wako Mbowe anamkoa Mama Samia?
 
Wewe Mmawia wewe! Umekuaje leo? Mpina anatumia advantage ya uwazi aliouruhusu mama kusema anayoyasema. Mangapi yalifanyika awamu iliyopita lakini akapiga kimya? Mimi namuona kama mnafiki tu anayetafuta attention baada ya kukosa uwaziri. Mwanaume ni Bashe tu aliyeweza kuichallenge serikali hata wakati wa Magufuli.
 
Ok wacha nikukubalie sasa niambie ni mambo gani hayo yameharibika?
Kuna mambo mengi sana ya kukemea.
Hii taarifa ya CAG ni jambo kubwa na nyeti lililobeba maslahi ya taifa.
Haikupaswa kumtuma Mnyika kutoa taarifa nusunusu bali alitakiwa ajitokeze akemee vikali hili jambo la ufisadi, ahamasishe maandamano kushinikiza serikali ichukue hatua kali
 
Mbona cdm kila kukicha wanalikemea na kulitolea ushauri wa nini kufanyike?

Mnyika ni katibu mkuu na ndiye mtendaji wa shughuli zote za chama hivyo hiyo ni moja ya kazi zake.
 
Mpina ndicho anachofanya anajiandalia mazingira ya kugombea kupitia upinzani 2025 ubunge
Akina Mbowe na Lisu jiandaeni kumpokea
 
Mpina ndicho anachofanya anajiandalia mazingira ya kugombea kupitia upinzani 2025 ubunge
Akina Mbowe na Lisu jiandaeni kumpokea
Kwani kuna ubaya gani kwa mbunge anayejitambua kuhamia chama kikuu cha upinzani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…