Kama utarudia kusoma kwenye bandiko vizuri nafikiri utaelewa vema.Wewe Mmawia wewe! Umekuaje leo? Mpina anatumia advantage ya uwazi aliouruhusu mama kusema anayoyasema. Mangapi yalifanyika awamu iliyopita lakini akapiga kimya? Mimi namuona kama mnafiki tu anayetafuta attention baada ya kukosa uwaziri. Mwanaume ni Bashe tu aliyeweza kuichallenge serikali hata wakati wa Magufuli.
Nimesema hoja za mpina mbona upo Moto sana vp una comment huku umeshika mswaki nnKwani umelazimishwa kushiriki wenye hii thread?
Unafatilia siasa za upinzani kweli ww??mana huwez kusema wamefungwa midomo km ni mfuatiliaji wa siasa za chademaWamefungwa midomo
Kwa sasa kwa hilo mtatusamehe kidogo maana tulifanya majaribio kidogo tu kumkabidhi nchi sukuma gang tumeona kilichotokea.Luhaga mpina anafaa kuwa rais kwa sasa ili nchi ainyooshe.Mama, wtz tunakuomba umkabidhi mpina ili tuwadhibiti wa kina mwigulu na magisadi wengine.
Hata mimi nieshangaa kwa hilo bandiko lake huyo ndug yetuUnafatilia siasa za upinzani kweli ww??mana huwez kusema wamefungwa midomo km ni mfuatiliaji wa siasa za chadema
Get ur facts straight Mkuu,usiforwad message za vijiwe vya kahawa ukaleta humu
Sema tunaweza kukubaliana wote kuwa m/kiti karudi hatua kadhaa nyuma afu kawaweka mbele wakina Lema na Mnyika,ila kusema wapinzani wamefungwa midomo sio kweliHata mimi nieshangaa kwa hilo bandiko lake huyo ndug yetu
Luhaga Mpina ameamua kujivua gamba.
Inawezekana ni kwakuwa yupo nje ya 18 za upigaji maana alipokuwa waziri sikuwahi kumsikia akiwa na akili kiasi hiki.
Anashangaa hadi leo hii kumuona Mwigulu Nchemba na Makame Mbarawa na Kadogosa wakiwa bado mitaani badala ya kuwa nyuma ya nondo za gereza la ukonga.
Kama akili zimemrudia hivi namshauri aombe kujiunga na cdm.View attachment 2584960View attachment 2584961
Unataka kusema kwasababu wameruhusiwa kufanya mikutano ndio hawajafungwa midomo?Unafatilia siasa za upinzani kweli ww??mana huwez kusema wamefungwa midomo km ni mfuatiliaji wa siasa za chadema
Get ur facts straight Mkuu,usiforwad message za vijiwe vya kahawa ukaleta humu
Chadema ni matapeliAkienda cdm ataungana na team yenye kupigania haki badala ya kubakia kwenye team ya mafisi
SijuiUnajua maana ya serious?