Luhaga Mpina hamia CHADEMA, CCM hapakufai

Luhaga Mpina hamia CHADEMA, CCM hapakufai

CCM na CHADEMA tumeunganishwa na maridhianao. So hata akiwa CCM ni sahihi tu maana anawakilisha CCM na CHADEMA. Wenyeviti wetu wanaelewana sana.
 
Luhaga Mpina ameamua kujivua gamba.

Inawezekana ni kwakuwa yupo nje ya 18 za upigaji maana alipokuwa waziri sikuwahi kumsikia akiwa na akili kiasi hiki.

Anashangaa hadi leo hii kumuona Mwigulu Nchemba na Makame Mbarawa na Kadogosa wakiwa bado mitaani badala ya kuwa nyuma ya nondo za gereza la ukonga.

Kama akili zimemrudia hivi namshauri aombe kujiunga na cdm.View attachment 2584960View attachment 2584961
Unazungumzia Chadema ipi hii ya walamba asali?
 
Akienda cdm ataungana na team yenye kupigania haki badala ya kubakia kwenye team ya mafisi
Bro. Naomba leo tuwe wakweli.
CDM imeuawa na maridhiano, wamekuwa voiceless...., amebaki Lissu na watu wachache, Mbowe sijui amekuwaje yuko kimya, mambo mazito yanatokea kama mwenyekiti yuko kimya.

2025 itaongea ukweli wote kuhusu upinzani
 
Njaa mbaya sana,Huyu ndio alitaka mwendazake aongezewe Muda wa kukaa madarakani.

Leo Hana njia ya ulaji anaharibu Kwa walaji wenzake wa zamani.
 
Back
Top Bottom