SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Mambuzi yanajikaanga kwa mafuta yaoSasa kama akienda Chadema si ndio atathibitisha ameenda kwa sababu amekosa ulaji CCM?
Mimi naona bora abaki hapo hapo, awaache hao jamaa wajikaange kwa mafuta yao wenyewe, wakionekana kumtenga tu, tutajua ni kwasababu anawaambia ukweli wasiopenda kuusikia.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app