Luhaga Mpina hamia CHADEMA, CCM hapakufai

Luhaga Mpina hamia CHADEMA, CCM hapakufai

Sasa kama akienda Chadema si ndio atathibitisha ameenda kwa sababu amekosa ulaji CCM?

Mimi naona bora abaki hapo hapo, awaache hao jamaa wajikaange kwa mafuta yao wenyewe, wakionekana kumtenga tu, tutajua ni kwasababu anawaambia ukweli wasiopenda kuusikia.
Mambuzi yanajikaanga kwa mafuta yao
tapatalk_1575089448362.jpg


Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Huyo ni takataka kama kina Kangi Lugola..., Mwanasiasa anayekosoa serikali akiwa nje ya ulaji wakati enzi za uwaziri wake ameiba na kuhongwa sana rubondo na wavuvi.
 
Kazi unayo chama kinachukua ruzuku tunahitaji kujua matumizi yake!
Kama ccm mlishidwa kujua 1.5 trillion zilienda wapi cdm wataweza wapi maana hawana jeshi wala magereza
 
Hivi kabla ya kundika hiki ulichokiandika umejiuliza?
Nikuulize wewe unajua hata unachokiandika ? kwa mtizamo wako wewe naomba nikuulize...

Tofauti ya CHADEMA NA CCM ni nini Itikadi, au herufi za Majina ? Sababu kama ni Itikadi mtu atoke kule ahamie huku kutafuta nini wakati fikra zinatofautiana ? _ Ni nini kilimpeleka kule in the first place....

Au ni kwamba ukiwa CCM huwezi kufanya mema au CCM sio watu wa kufanya nao kazi wala haiwezekani kufanya nao kazi..., If that is the case Kwenye issue za sasa mbona CHADEMA wanafanya nao kazi ?

Kama CCM na CHADEMA wapo similar kiasi kwamba kuhamia A kwenda B ni kama mtu kubadilisha Soksi...... why do we even have Multiparty Systems ?
 
Back
Top Bottom