Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Mwigulu ni mwanadamu anaweza kuteleza na ni kweli ameteleza, waelewa tunafahamu hilo lakini lisiwe nongwa, kwani wewe binafsi ujawahi kuchapwa maswali ukaghafirika?, tumsamehe, yapite, tumuombee mungu, apigane miradi iishe!Mkuu maneno yako haya means unaunga mkono majibu ya Waziri Madelu ya wabunge kuacha kuhoji mambo muhimu ya uchumi bali wahoji na kujadili uganga maana ndiyo hadhi yao??????
Ni kweliMaarifa ya kujadili hoja hayapo Kwa watanzania ni aibu sana,, Luhaga Mpina ana hoja nzito na yenye Nia njema kwa Taifa.
It's not who I am , it's not who I once was, it's not about my past deeds but it's about my points today, discuss my points first then bring other issues later
Huwa tunajifunza kutokana na makosa ! Kama tulikosea huko nyuma sasa basi tufungue ukurasa mpya !! Sio kwamba kwa kuwa tulizowea kufanya vile hata kama inatuathiri basi tuendelee na shida ile ile ! Tunajifunza kutokana na makosa ! Tubadilike. !!Kwenye uteuzi wake alikumbuka hayo maneno yake?
Kughafilika ni mara moja ! Sio mara watu wahamie Burundi !!Mwigulu ni mwanadamu anaweza kuteleza na ni kweli ameteleza, waelewa tunafahamu hilo lakini lisiwe nongwa, kwani wewe binafsi ujawahi kuchapwa maswali ukaghafirika?, tumsamehe, yapite, tumuombee mungu, apigane miradi iishe!
Ana kiburi Cha noti. Mama nae mdhaifu Sana, anamwogopa Mwigulu. Alitakiwa apigwe chini, atamkosanisha rais na wabungeKughafilika ni mara moja ! Sio mara watu wahamie Burundi !!
Na ni lazima itakuwa taasisi huru !!Itategemea na taasisi inayohusika kufanya usaili,kama itakuwa taasisi huru sio rahisi
No muongozo from Kiti ??!! Kumbe wajadili na kuhoji uganga ?!Mkuu maneno yako haya means unaunga mkono majibu ya Waziri Madelu ya wabunge kuacha kuhoji mambo muhimu ya uchumi bali wahoji na kujadili uganga maana ndiyo hadhi yao??????
alikuwa sawa kbsAkiwa nje ya Box ndio anaona hayo,alipokua ndani ya system aliwahi kudai hivyo?!!
Huyo ndiye aliyepima "SAMAKI KWA RULA"
mnabwabwaja sana sasaDR.S.S.H UMETUTOA NYUZI MIDOMONI MWETU,SASA TUNAENENDA KUPONA KIDONDA CHA KUZIBWA MIDOMO.
Mungu mtu alikuwa yule bwana aliyekuwa hashauriki na aliogopwa na ndio maana hata hao wanaororoma nyakati hawakuthubutu maana wangewezwa kupotezwa mazimaMpina ni kingunge wa kisukuma.. Mwigulu na uchawi wako hapo hufanyi kitu. Ukijaribu utaumia. Hongera Mpina kwa kumchana Mungu mtu Mwigulu
Toka nyuzi zifumuliwe midomoni mmekuwa roporopo ni kero sanamnabwabwaja sana sasa
Crimea mbona waliambiwa lowassa ni fisadi na hao hao waliomwita Lowassa wakampokea kwenye chama na wakasema kwa yoyote anayesema Lowassa aende mahakamani lakini pamoja na hayo yote hao viongozi still wanasikilizwa inakuaje huyu mpina iwe nongwa?Kwanini usishambulie hoja yake?
Kwanini watz wengi mna udumavu wa akili kiasi hiki?
Shida ni ushabiki wa vyama ndio changamoto kubwa unafikiri hawajui yote hayoMaarifa ya kujadili hoja hayapo Kwa watanzania ni aibu sana,, Luhaga Mpina ana hoja nzito na yenye Nia njema kwa Taifa.
It's not who I am , it's not who I once was, it's not about my past deeds but it's about my points today, discuss my points first then bring other issues later
Haya anayaona baada ya kuporwa sahani iliyojaa keki na bakuli lililojaa asali!.Wakuu,
Leo tarehe 09.02.2023 Luhaga Mpina akihojiwa katika kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM amesema kwamba dharau anazoonesha Waziri wa Fedha Mwigulu Nchembe dhidi ya wabunge ni matokea ya matobo ya Katiba ambayo yanatakiwa kushughulikiwa.
"Waziri anaulizwa maswali anajibu anavyotaka kwamba nyinyi mkajadili Unganga,sijui Mimi nimesomea PhD sijapewa,haya yote ni udhaifu wa Katiba.
Pia aliendelea kuhoji kwanini mpaka sasa hakuna ratiba ya kujua Katiba inapatikanaje," Mpaka sasa ilitakiwe tuwe na jopo la wataalamu wawe wameanza kupitia Katiba Mpya kujua wapi pa kufanya marekebisho"alisema.
Pia alisisitiza kwamba Viongozi wasiteuliwe kwa kuangalia alisoma wapi na wapi au alipata A na B ndio maana tunapata Viongozi wasio na sifa kwa kuangalia vyeti pekee.
"Hili la kuteua tu mtu kwa kuangalia alisoma chuo fulani na chuo fulani au alipata A kweye cheti kisha unamteua ndio inafanya tunapata incompetent leaders,lazima tuanze kufanya usaili" Alisema.
Maoni yangu;
Hapa nawapongeza CHADEMA kwa kuipigania Katiba kwa maumivu naona somo lenu limeanza kueleweka kwa wana CCM
Msukuma typical anasumbuliwa na superiority complex, huwa hawajui kuwa kuna wakati inabidi ujishushe hata kama marafiki zako wanakwambia kuwa una haki zote.haya ndiyo malipo ya unafiki, wakati jiwe anateua kwa kufuata ukanda, ukabila alikaa kimyaa. jiwe akakataa kuuendeleza mchakato wa katiba mpya alioukuta unaendelea huyu mnafiki hakuliona hili, leo hayupo kwenye utawala, hana favour kama tulivyokuwa wengine sasa anakumbuka shuka kumepambazuka. MCHUMA JANA HULA NA WA KWAKE. Atulie sindano imwingine
Hapo ulipo ukiulizwa kuhusu katiba mpya utasema hakuna namna nilazima iwepo.Alipokuwa waziri wa Jiwe aliwahi kushari haya.
Huyu mnafiki sana, TENA amepungukiwa akili.
Zumbukuku.
Hawa ndio watu Walipokuwa wanamuabudu Binadamu na si Mungu.
MASIKINI TANZANIA YANGU.
Jadili hojayake,achana na hao samaki.Akiwa nje ya Box ndio anaona hayo,alipokua ndani ya system aliwahi kudai hivyo?!!
Huyo ndiye aliyepima "SAMAKI KWA RULA"