Luhaga Mpina: Katiba iliyopo ina matobo ndio maana Viongozi kama Waziri wa Fedha wanalichezea Bunge. Viongozi wasiteuliwe bali wafanyiwe Usaili

Luhaga Mpina: Katiba iliyopo ina matobo ndio maana Viongozi kama Waziri wa Fedha wanalichezea Bunge. Viongozi wasiteuliwe bali wafanyiwe Usaili

Mkuu maneno yako haya means unaunga mkono majibu ya Waziri Madelu ya wabunge kuacha kuhoji mambo muhimu ya uchumi bali wahoji na kujadili uganga maana ndiyo hadhi yao??????
Mwigulu ni mwanadamu anaweza kuteleza na ni kweli ameteleza, waelewa tunafahamu hilo lakini lisiwe nongwa, kwani wewe binafsi ujawahi kuchapwa maswali ukaghafirika?, tumsamehe, yapite, tumuombee mungu, apigane miradi iishe!
 
Maarifa ya kujadili hoja hayapo Kwa watanzania ni aibu sana,, Luhaga Mpina ana hoja nzito na yenye Nia njema kwa Taifa.
It's not who I am , it's not who I once was, it's not about my past deeds but it's about my points today, discuss my points first then bring other issues later
Ni kweli
 
Mpina ni kingunge wa kisukuma.. Mwigulu na uchawi wako hapo hufanyi kitu. Ukijaribu utaumia. Hongera Mpina kwa kumchana Mungu mtu Mwigulu
 
Mkuu maneno yako haya means unaunga mkono majibu ya Waziri Madelu ya wabunge kuacha kuhoji mambo muhimu ya uchumi bali wahoji na kujadili uganga maana ndiyo hadhi yao??????
No muongozo from Kiti ??!! Kumbe wajadili na kuhoji uganga ?!
 
Mpina ni kingunge wa kisukuma.. Mwigulu na uchawi wako hapo hufanyi kitu. Ukijaribu utaumia. Hongera Mpina kwa kumchana Mungu mtu Mwigulu
Mungu mtu alikuwa yule bwana aliyekuwa hashauriki na aliogopwa na ndio maana hata hao wanaororoma nyakati hawakuthubutu maana wangewezwa kupotezwa mazima
 
Kwanini usishambulie hoja yake?

Kwanini watz wengi mna udumavu wa akili kiasi hiki?
Crimea mbona waliambiwa lowassa ni fisadi na hao hao waliomwita Lowassa wakampokea kwenye chama na wakasema kwa yoyote anayesema Lowassa aende mahakamani lakini pamoja na hayo yote hao viongozi still wanasikilizwa inakuaje huyu mpina iwe nongwa?
 
Maarifa ya kujadili hoja hayapo Kwa watanzania ni aibu sana,, Luhaga Mpina ana hoja nzito na yenye Nia njema kwa Taifa.
It's not who I am , it's not who I once was, it's not about my past deeds but it's about my points today, discuss my points first then bring other issues later
Shida ni ushabiki wa vyama ndio changamoto kubwa unafikiri hawajui yote hayo
 
Wakuu,

Leo tarehe 09.02.2023 Luhaga Mpina akihojiwa katika kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM amesema kwamba dharau anazoonesha Waziri wa Fedha Mwigulu Nchembe dhidi ya wabunge ni matokea ya matobo ya Katiba ambayo yanatakiwa kushughulikiwa.

"Waziri anaulizwa maswali anajibu anavyotaka kwamba nyinyi mkajadili Unganga,sijui Mimi nimesomea PhD sijapewa,haya yote ni udhaifu wa Katiba.

Pia aliendelea kuhoji kwanini mpaka sasa hakuna ratiba ya kujua Katiba inapatikanaje," Mpaka sasa ilitakiwe tuwe na jopo la wataalamu wawe wameanza kupitia Katiba Mpya kujua wapi pa kufanya marekebisho"alisema.

Pia alisisitiza kwamba Viongozi wasiteuliwe kwa kuangalia alisoma wapi na wapi au alipata A na B ndio maana tunapata Viongozi wasio na sifa kwa kuangalia vyeti pekee.

"Hili la kuteua tu mtu kwa kuangalia alisoma chuo fulani na chuo fulani au alipata A kweye cheti kisha unamteua ndio inafanya tunapata incompetent leaders,lazima tuanze kufanya usaili" Alisema.

Maoni yangu;
Hapa nawapongeza CHADEMA kwa kuipigania Katiba kwa maumivu naona somo lenu limeanza kueleweka kwa wana CCM
Haya anayaona baada ya kuporwa sahani iliyojaa keki na bakuli lililojaa asali!.

Kajiunga na waliozoeleka kuyasema haya miaka na miaka tofauti wao wanazo sababu zao zenye mashiko za kudai katiba mpya.
 
haya ndiyo malipo ya unafiki, wakati jiwe anateua kwa kufuata ukanda, ukabila alikaa kimyaa. jiwe akakataa kuuendeleza mchakato wa katiba mpya alioukuta unaendelea huyu mnafiki hakuliona hili, leo hayupo kwenye utawala, hana favour kama tulivyokuwa wengine sasa anakumbuka shuka kumepambazuka. MCHUMA JANA HULA NA WA KWAKE. Atulie sindano imwingine
Msukuma typical anasumbuliwa na superiority complex, huwa hawajui kuwa kuna wakati inabidi ujishushe hata kama marafiki zako wanakwambia kuwa una haki zote.
 
Alipokuwa waziri wa Jiwe aliwahi kushari haya.

Huyu mnafiki sana, TENA amepungukiwa akili.
Zumbukuku.

Hawa ndio watu Walipokuwa wanamuabudu Binadamu na si Mungu.

MASIKINI TANZANIA YANGU.
Hapo ulipo ukiulizwa kuhusu katiba mpya utasema hakuna namna nilazima iwepo.

Mpina naye anasema katiba mpya inahitajika,wewe unasema amepungukiwa akili, ivi unajuwa unacho taka kweli ama unahasira za kipumbavutu.

Kuna kipindi mlikuwa mkilalamikia ufisadi na ubadhilifu wa malizauma.
Magufuli alipokuwa akipambana na mafisadi mkaanza kusema eti hana uhalali kwasababu nayeye ni ccm na ufisadi ulifanyika wakati yupo humohumo serikali.

You guys are very careless.
 
Akiwa nje ya Box ndio anaona hayo,alipokua ndani ya system aliwahi kudai hivyo?!!
Huyo ndiye aliyepima "SAMAKI KWA RULA"
Jadili hojayake,achana na hao samaki.

Sema kama hoja aliyo itoa kuhusu katiba kwamba ndio chanzo cha hayo yote ni sawa ama sio sawa.
Na je, katiba mpya inahitajika kweli kama alivyo sema ama hapana.

Kama yupo sahihi kwanye hoja ya katiba then mpongeze, usiwe na Roho ya kichawi mkuu,jifunze kuwa huru na mkweli.

Usishikiwe akili na Chiba.
 
Back
Top Bottom