Luhaga Mpina: Katiba iliyopo ina matobo ndio maana Viongozi kama Waziri wa Fedha wanalichezea Bunge. Viongozi wasiteuliwe bali wafanyiwe Usaili

Nikuulize na mimi swali kama unavyouliza hapa, samaki na swala nani ana mbio zaidi ya mwenzake?
Unauliza maswali yanayokosa context...Mtu kupata zero ni subject to marking scheme ya msahihishaji. Mfano, aliyesema dunia ni duara wakati ule ambapo dunia yote inajua ni mstatili kwenye mtihani wa wakati huo nani angepata 100 na nani angepata sifuri?

Hapo sasa nikulize ungependa kufanya kazi na yupi?
Kweli ZERO ni SIFURI nimeamini
 
Wakuu,

Leo tarehe 09.02.2023 Luhaga Mpina akihojiwa katika kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM amesema kwamba dharau anazoonesha Waziri wa Fedha Mwigulu Nchembe dhidi ya wabunge ni matokea ya matobo ya Katiba ambayo yanatakiwa kushughulikiwa.

"Waziri anaulizwa maswali anajibu anavyotaka kwamba nyinyi mkajadili Unganga,sijui Mimi nimesomea PhD sijapewa,haya yote ni udhaifu wa Katiba.

Pia aliendelea kuhoji kwanini mpaka sasa hakuna ratiba ya kujua Katiba inapatikanaje," Mpaka sasa ilitakiwe tuwe na jopo la wataalamu wawe wameanza kupitia Katiba Mpya kujua wapi pa kufanya marekebisho"alisema.

Pia alisisitiza kwamba Viongozi wasiteuliwe kwa kuangalia alisoma wapi na wapi au alipata A na B ndio maana tunapata Viongozi wasio na sifa kwa kuangalia vyeti pekee.

"Hili la kuteua tu mtu kwa kuangalia alisoma chuo fulani na chuo fulani au alipata A kweye cheti kisha unamteua ndio inafanya tunapata incompetent leaders,lazima tuanze kufanya usaili" Alisema.

Maoni yangu;
Hapa nawapongeza CHADEMA kwa kuipigania Katiba kwa maumivu naona somo lenu limeanza kueleweka kwa wana CCM

Habari hii ni mbaya mno Kwa wale chawa wenye harufu kali
 
Saa Mbovu Kuna wakati husoma Majira sahihi
 
Hujamulewa,anataka hizo nafasi ziwe zinaombwa au hata kama umesoma vizuri lazima pawepo ushindani baina ya watu kadhaa kwa njia ya usaili ili kupata mtu bora
Kwa style hii ya kujuana si atapitishwa kilaini tu na wengine mtatoswa hata kama alifeli maelezo.
 
Huyu bwana kauli yake ya kusema phd yake "'siyo ya heshima bali ya darasani"
Niliona hiyo kauli kuna watu imewakosea adabu,japo wanauwezo wa kumpa au kumnyima hiyo nafasi ya kuwananga jukwaani.Lakini kwa kuwa nimeliona mimi tuu
naomba tuwe watulivu. tuendelee kunawa mikono kwa maji tiririka.
Hapo kamsema hadi mama
 
Wakuu,

Leo tarehe 09.02.2023 Luhaga Mpina akihojiwa katika kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM amesema kwamba dharau anazoonesha Waziri wa Fedha Mwigulu Nchembe dhidi ya wabunge ni matokea ya matobo ya Katiba ambayo yanatakiwa kushughulikiwa.

"Waziri anaulizwa maswali anajibu anavyotaka kwamba nyinyi mkajadili Unganga,sijui Mimi nimesomea PhD sijapewa,haya yote ni udhaifu wa Katiba.

Pia aliendelea kuhoji kwanini mpaka sasa hakuna ratiba ya kujua Katiba inapatikanaje," Mpaka sasa ilitakiwe tuwe na jopo la wataalamu wawe wameanza kupitia Katiba Mpya kujua wapi pa kufanya marekebisho"alisema.

Pia alisisitiza kwamba Viongozi wasiteuliwe kwa kuangalia alisoma wapi na wapi au alipata A na B ndio maana tunapata Viongozi wasio na sifa kwa kuangalia vyeti pekee.

"Hili la kuteua tu mtu kwa kuangalia alisoma chuo fulani na chuo fulani au alipata A kweye cheti kisha unamteua ndio inafanya tunapata incompetent leaders,lazima tuanze kufanya usaili" Alisema.

Maoni yangu;
Hapa nawapongeza CHADEMA kwa kuipigania Katiba kwa maumivu naona somo lenu limeanza kueleweka kwa wana CCM
haya ndiyo malipo ya unafiki, wakati jiwe anateua kwa kufuata ukanda, ukabila alikaa kimyaa. jiwe akakataa kuuendeleza mchakato wa katiba mpya alioukuta unaendelea huyu mnafiki hakuliona hili, leo hayupo kwenye utawala, hana favour kama tulivyokuwa wengine sasa anakumbuka shuka kumepambazuka. MCHUMA JANA HULA NA WA KWAKE. Atulie sindano imwingine
 
Alipokuwa waziri wa Jiwe aliwahi kushari haya.

Huyu mnafiki sana, TENA amepungukiwa akili.
Zumbukuku.

Hawa ndio watu Walipokuwa wanamuabudu Binadamu na si Mungu.

MASIKINI TANZANIA YANGU.
Ndiyo maana Nchi gaiendelei kwa sababu ya ujinga kama huu. Yani kiongozi aliyetoka madarakani haruhusiwi kutoa maoni juu ya nafasi aliyekuwa ameshikiria?
 
Maarifa ya kujadili hoja hayapo Kwa watanzania ni aibu sana,, Luhaga Mpina ana hoja nzito na yenye Nia njema kwa Taifa.
It's not who I am , it's not who I once was, it's not about my past deeds but it's about my points today, discuss my points first then bring other issues later
 
Vitobo viko vingi mbona!! Imagine kwenye katiba eti ikitokea Rais aliyeko madaraka kafariki basi basi makamu wa Rais atachukuwa madaraka ya rais bila kupigiwa Kura na wananchi!! Hawakuona kuwa makamu wa Rais anaweza kufanya yake au kundi fulani kufanya yake Ili awe Rais!! Waliyoandika kipengele Hiki sijui walikuwa wanafikia nini?waziri anateuliwa na si kwafanyishwa interview?yako mengi ya kutekebisha
 
Maarifa ya kujadili hoja hayapo Kwa watanzania ni aibu sana,, Luhaga Mpina ana hoja nzito na yenye Nia njema kwa Taifa.
It's not who I am , it's not who I once was, it's not about my past deeds but it's about my points today, discuss my points first then bring other issues later
Kabisa
 
Mh.dr. Mwigulu songa mbele, pigana miradi iishe kama nilivyowahi kusema kuna Vita wako wasiopenda miradi hii iishe! aidha wanaumia wakiona jinsi inavyotekelezwa kwa kasi, Mbona kwenye awamu ya tano hawakuthubutu kuhojihoji!
Mkuu maneno yako haya means unaunga mkono majibu ya Waziri Madelu ya wabunge kuacha kuhoji mambo muhimu ya uchumi bali wahoji na kujadili uganga maana ndiyo hadhi yao??????
 
Back
Top Bottom