Pre GE2025 Luhaga Mpina kufungua Kesi zote ndani ya masaa 24

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbunge wa CCM, Luhaga Mpina amedhamiria kweli kweli, anasema anafungua kesi ila naomba nimkumbushe kesi hizi zikawe na maslahi kwa Taifa na sio political mileage yake!

Naona wakulima WA miwa waligoma ili kumuunga mkono kimtindo, moshi unaofuka huko chini ni zaidi ya volcano hai.

 
Ingenoga sana Only if Rule of law ingekuwa inafanya kazi TZ
 
Luhaga Mpina anatumika tu na Super Doll kama mdoli
 
Safi luhanga mpina pigana hukohuko
We ndo mwenye akili uliyebaki ccm

Ccm wakikufukuza tutaconclude hawataki wazalendo na wasema kweli
 
Zenjbar = Zenjibar?

Historia ya Zenjibar ya nini tena enzi hizi? Hiyo 'nostalgia' inayo wasumbua nyinyi kwa wengine haina maana yoyote.
Wewe kwenu wapi?

Kama ni Mtanganyika basi wewe ulipachikwa Utanganyika na bwana mkubwa wako wa Kijerumani. Kabla hajakupachika jina hilo la ajabu ulikuwa ni Mzenjbar.
 
Zao la Muwa halijawacha kuwa zao la kisiasa, duniani. Siyo Tanzania tu.

"cartel" wakishirikiana na team sukuma wanamtumia huyo poyoyo.
Acha upotoshaji we
Bashe na wenzie walikiuka taratibu za utoji wa vibali vya sukari na
Kusabisha uhaba wa sukari, huku

kwetu namanyere tulinunua sukari 10,000

Safi mpina hili issue tunasukumwa na uzalendo na uchawa mungu

Tuliowaamini ni Wacha mungu wanatetea ufisadi
 
Sijui kwanini Kila Uchaguzi Mkuu ukikaribia lazima CCM italeta drama za hivi ili kuwaruhusu members zao waende upinzani halafu baada ya Uchaguzi Mkuu, wanarudi zao tena CCM 🙌

Wapinzani wawe macho, hasa CDM

Huyu ni chambo kwenye ndoana
 
Hapo ndiyo harudi tena bungeni.
Ile Timu yenu, Timu Msoga imesambaratishwa.

Tuliwaambia kwamba mtarudi tu Kwa Timu Jiwe. Mjomba wako tajiri wa meno ya Tembo ndo hivyo Tena!!

Na Kwa taarifa yako, Bashe pia tunamla kichwa wiki HII!! Dadadeki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…