Luhaga Mpina: Kuna watendaji wa Serikali katika ngazi za maamuzi ambao sio raia wa Tanzania

Hao wahamiaji haramu mbona hata Mkuu wa Majeshi alishawahi kulizungumzia ndio hao wanaweka kodi za hovyo hovyo kila kukicha bila hata kuwa na huruma watu wengi wapo Uhamiaji pia sio Watanzania wanawasumbua sana watoto kupata passport huku wageni wakizipata kwa njia ya rushwa kirahisi sana..
 
Nani? Watajeni.
Inashangaza ni kwanini hawatajwi !!
Kama hawatajwi basi kale kamsemo ka wajomba zangu katakuwa na nguvu ya hoja “ rumours is carried by haters …. !
Watajwe ili nao wapate kujitetea !

Maana wapo watu wamezaliwa miaka ya 1950 huko lakini wakitaka passports wanaambiwa ulete na cheti cha kuzaliwa cha Baba ! 😳😱😅
 
Yaani kwa pigo hizi tutavamiwa kirahis sana mpaka watu wanapewa nafansi nyeti kama zile halafu sio MTZ bas tushauzwa sana
 
What matters is your loyalty and abiding with constitution procedures. FBI director's parents live in India, they are Indians. Yet, their son pleads loyal to American values and citizenship. These Tutsi, abide with Kigali.
Check what happened last month in Uganda. They want to start the same thing M23 are doing in Congo.
 
Ile Kigoma wengi Sana Sio wa kwetu
M23 ilianza hivi hivi kwa prejudices za namna hii. Mara makamo sio raia na wengi wengineo. Ukiitaka Kigoma kwenye Tanzania ni lazima uwakubali wenyeji wake pamoja na utamaduni wao.... Vinginevyo kinachotokea Goma sasa hivi ambapo M23 ndio "The new sheriff in town" kinaweza kutokea magharibi ya Tanganyika. 😲
 
Kuna watu tiss wako loyal na nchi hawakubaliani na yanayoendelea ila hawana nguvu ya kupindua meza naona wameamua kumpa mpina declassified files zote
Could possible, bado kuna watu na mapenzi yao kwa nchi lakini hawana pa kwenda since bosses wao ndio wako corrupted,
Aint know way normal politician kama huyu anapata classified info
 
Sis watanganyika wa asili tunao ona kuna wageni wamepewa madaraka/vyeo serikalini tupambanie katiba mpya na bora ili kuziba mianya ya hao tunaodai wahamiaji waliopewa vyeo vikubwa serikalini wasitupige! Tusikubali kuishia kulalamika tu huku wapigaji wakiendelea kuneemeka. TUDAI KATIBA MPYA KWA NGUVU ZOTE bila kujali itikadi za vyama. Tuwe na document 'very comprehensive' inayo cover kila aina ya ufisadi na udanganyifu hasa wa viongozi wa kiserikali na taasisi zake wanaokabidhiwa majukumu ya kuiongoza nchi.
 
Luhaga amejichanganya hakuna mtu anaweza kupewa cheo au kuwa kiongozi bila kuwa raia wa Tanzania tuna uraia wa kuzaliwa, kujiandikisha na tajnisi wote hao ni raia. labda aseme siyo watu wa asili ya hapa nchini. ni walowezi kutoka Rwanda, Burundi nk hao wote ni raia kwa namna moja au nyingine kisheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…