MONEY IS NOT EVERYTHING
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 424
- 765
Sure..Nani? Watajeni.
Kweli wewe ni Bufa 😃CDF alipuyanga na Mpina nae mpenda sifa za kijinga za watu wajinga nae anarudia yale yale. Okoa nguvu na muda wataje. Kuverify uraia wa mtu ni kazi rahisi sana sijui huu ujinga mitanganyika utawaisha lini.
Mtu kuwa na asili ya nje hakumfanyi kuwa less of a citizen. Trump kamfanya mhindi mmarekani kuwa director of FBI, Musk mzaliwa wa South Africa kuwa head of Doge nk. Kwa nchi yenye watu wengi wajinga kama TZ wangeongea hadi wakauke mate. Ujinga ni utamaduni bongo.
Watu wasikisia viongozi wasio raia wanawaza warundi, wanyarwanda na waganda.Wakuu. Kwa namna ambavyo Mpina ameendelea kuwa mwiba mkali kwa serikali ya CCM, nashauri angekuwa na tiketi ya ndege na passport kabisa.
=========================================================
Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina akizungumza hivi karibuni na vyombo vya habari na wanahabari hivi karibuni amegusia kuwa Tanzania kwa sasa kuna watu ambao wana vyeo vikubwa serikalini na watu hao sio Watanzania
"Kuwepo kwa viongozi na watendaji wa serikali katika ngazi za maamuzi ambao sio raia wa Tanzania kunachangia kwa sehemu kubwa kukosekana kwa uzalendo na kuchochea ubadhirifu wa fedha za umma na kwakuwa taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama CDF. Jenerali Jacob Mkunda alitutolea taarifa kuwa wapo viongozi na watendaji wa serikali ambao sio raia wa nchi hii”.
View attachment 3219836
Cdf ndio alitakiwa awatajeNani? Watajeni.
Huu ni upuuzi, kusema kwamba Mambo yq nchi hii ni mabovu na ufosadi umejaa,eti kisa kuna watu wasio Raia, kwenye hizo nafasi, ni, upuuzi, na ni spinning tu ya kishenzi,aliqezaakuu. Kwa namna ambavyo Mpina ameendelea kuwa mwiba mkali kwa serikali ya CCM, nashauri angekuwa na tiketi ya ndege na passport kabisa.
=========================================================
Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina akizungumza hivi karibuni na vyombo vya habari na wanahabari hivi karibuni amegusia kuwa Tanzania kwa sasa kuna watu ambao wana vyeo vikubwa serikalini na watu hao sio Watanzania
"Kuwepo kwa viongozi na watendaji wa serikali katika ngazi za maamuzi ambao sio raia wa Tanzania kunachangia kwa sehemu kubwa kukosekana kwa uzalendo na kuchochea ubadhirifu wa fedha za umma na kwakuwa taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama CDF. Jenerali Jacob Mkunda alitutolea taarifa kuwa wapo viongozi na watendaji wa serikali ambao sio raia wa nchi hii”.
View attachment 3219836
Mtamalizana ccm wenyewe bwana sisi wanyonge hayatuhusuCDF alipuyanga na Mpina nae mpenda sifa za kijinga za watu wajinga nae anarudia yale yale. Okoa nguvu na muda wataje. Kuverify uraia wa mtu ni kazi rahisi sana sijui huu ujinga mitanganyika utawaisha lini.
Mtu kuwa na asili ya nje hakumfanyi kuwa less of a citizen. Trump kamfanya mhindi mmarekani kuwa director of FBI, Musk mzaliwa wa South Africa kuwa head of Doge nk. Kwa nchi yenye watu wengi wajinga kama TZ wangeongea hadi wakauke mate. Ujinga ni utamaduni bongo.
Vetting ndio taasisi gani Mkuu?Ni aibu kubwa kama taifa kuendelea kusema uzembe wetu hadharani!!
Wangeshughulika nalo kimya kimya kijasusi kuliko kuja kwa wananchi na kelele kama hizi hii inaonyesha taasisi zifuatazo ni dhaifu!
1.uhamiaji2.Vetting 3. jeshi kwa ujumla yaani typo uchi kabisa!
Mtu ni CDF, eti na ye ye analalamika kuwa kuna watu sio Raia wa nchi hii, na, wapo serikalini!Cdf ndio alitakiwa awataje
Hilo jinga limechanganyikiwa linaokoteza kila uchafuWakuu. Kwa namna ambavyo Mpina ameendelea kuwa mwiba mkali kwa serikali ya CCM, nashauri angekuwa na tiketi ya ndege na passport kabisa.
=========================================================
Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina akizungumza hivi karibuni na vyombo vya habari na wanahabari hivi karibuni amegusia kuwa Tanzania kwa sasa kuna watu ambao wana vyeo vikubwa serikalini na watu hao sio Watanzania
"Kuwepo kwa viongozi na watendaji wa serikali katika ngazi za maamuzi ambao sio raia wa Tanzania kunachangia kwa sehemu kubwa kukosekana kwa uzalendo na kuchochea ubadhirifu wa fedha za umma na kwakuwa taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama CDF. Jenerali Jacob Mkunda alitutolea taarifa kuwa wapo viongozi na watendaji wa serikali ambao sio raia wa nchi hii”.
View attachment 3219836
Wengine ni wakubwa sana kule benki kubwaa ya watanganyika
Yule Rais mzilankende aliyevutishwa si alikuwa mrundi
Kwani chui jike ni mtanzania yule?
Yule bibi profesa asiyejua kutema yai
Na huyu anayetaka kuishi muda mrefu mliyemtemesha mzigo juzi
Umeandika point kabisa,tuepuke dhambi hii ya ubaguziM23 ilianza hivi hivi kwa prejudices za namna hii. Mara makamo sio raia na wengi wengineo. Ukiitaka Kigoma kwenye Tanzania ni lazima uwakubali wenyeji wake pamoja na utamaduni wao.... Vinginevyo kinachotokea Goma sasa hivi ambapo M23 ndio "The new sheriff in town" kinaweza kutokea magharibi ya Tanganyika. 😲
Mpina ana ugomvi na Bashe.CDF aliyesena kuna viongozi wakubwa serikarini si raia wa nchi hii alikua na ugomvi na nani?
Mtu anapozungumza anatakiwa kujibiwa kwa hojaMpina ni wa kupigwa pini haraka vinginevyo akichekewa ataleta shida kwenye amani ya nchi hii. Vyombo vinavyohusika vimshughulikie.
Kwa hiyo ajenda ya raia feki kushika dola ya Tanzania inasukwa mpaka jeshini kwa ukamilifu ....ni kweli ajenda ya raia feki kushika nchi yetu dhidi ya wazawa ni REAL ...na tunako kwenda kutakuwa kubaya zaidi ..bungeni kuliwai kuwa hadi na singasinga kaingizwa na genge la raia feki ...kitu pekee ambacho kilikuwa bado kudhibitiwa kikamilifu ni jeshi letu ambalo ajenda ya raia feki imefanikiwa kwa asilimia 10% jeshiniMpina ana ugomvi na Bashe.
CDF hana ugomvi na mtu.
Lakini CDF anaitwa "Nkunda" halafu yupo Kamanda mmoja maarufu wa Wapiganaji wa msituni Zaire naye pia alikuwa anaitwa "Nkunda" au jina kama hilo.
Sasa akili kichwani kwako bwana.
Put two and two together.
CCM ndio imeleta watu wote hao,CCM ni kifo cha Taifa letu,NI CHAMA CHA KIHUNI HUNI sana.CCM tuipumzishe tena chini ya huyu mama mwenye dharau ni kabisa CCM imebaki kama choo tu.Wakuu. Kwa namna ambavyo Mpina ameendelea kuwa mwiba mkali kwa serikali ya CCM, nashauri angekuwa na tiketi ya ndege na passport kabisa.
=========================================================
Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina akizungumza hivi karibuni na vyombo vya habari na wanahabari hivi karibuni amegusia kuwa Tanzania kwa sasa kuna watu ambao wana vyeo vikubwa serikalini na watu hao sio Watanzania
"Kuwepo kwa viongozi na watendaji wa serikali katika ngazi za maamuzi ambao sio raia wa Tanzania kunachangia kwa sehemu kubwa kukosekana kwa uzalendo na kuchochea ubadhirifu wa fedha za umma na kwakuwa taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama CDF. Jenerali Jacob Mkunda alitutolea taarifa kuwa wapo viongozi na watendaji wa serikali ambao sio raia wa nchi hii”.
View attachment 3219836
Mtu anaweza kuwa siyo raia wa Tanzania ila akawa ni kiongozi mzalendo kwa tanzania ila hapa tunawazungumzia raia feki wasio wazalendo wenye ajenda ovu na nchi yetu.C
Hapo Umewataja
0. Marehemu jiwe
1. Bwana kuoga pale byotii
2. Bi chakoNiChako
3. Bwana kigoma
Na hao ndiyo wabaya haswa kwa taifa letu kina muisral rostam azizi na majambazi wenzie...Watu wasikisia viongozi wasio raia wanawaza warundi, wanyarwanda na waganda.
Hawafikirii kabisa anaweza kuwa Mwarabu, Mhindi, Mzungu
Inatakiwa azimwe ni kirusi kwa usalama wa taifaMpina ni wa kupigwa pini haraka vinginevyo akichekewa ataleta shida kwenye amani ya nchi hii. Vyombo vinavyohusika vimshughulikie.