Luhaga Mpina: Mfumuko wa bei umetengenezwa. Ataka uchunguzi kilichojificha Symbion na mikataba mibovu ikafutwe bungeni

Hatuna muda wa kujiunga na wazalendo wakatili. Mikataba ya manunuzi ya ndege iko wazi? Ujenzi wa reli, bwawa iko wazi? Hatuingi mkono wizi ndani ya nchi yetu, lakini hatuungani na wanafiki walioshiriki uovu wa Magufuli dhidi yetu.
Kwa lugha nyepesi kwa hiyo wakae kimya? Nani ayaseme? Hebu jaribu basi kuwa unatafakari kidogo kabla ya kuchangia!
 
Anayosema ni kweli, lakini kwanini alikaa kimya awamu yao?

awamu ya tano waliyakataa haya na walikataa kumlipa sybion na hawakuleta mikataba mibovu. sasa wamerudi wenyewe wa awamu ya 4 wenye mikataba yao
 
Nchi za kiafrika zinatembea kwenye laana, sio bure!

YESU NI MWOKOZI
 
Hatujakuelewa unalalamika, unachangia au unatoa mada?????.Hebu jipambanue, this is GT avenue, acha blabla u kn. Jibuni hoja za Luhaga ak.a kibano
 
Hatujakuelewa unalalamika, unachangia au unatoa mada?????.Hebu jipambanue, this is GT avenue, acha blabla u kn. Jibuni hoja za Luhaga ak.a kibano
Hii ndio shida yenu" hatujakuelewa jibuni" kwani tumekuwa wangapi? kweli kwa hili muote tu kuchukuwa nchi hii halafu imekuwa kama issue ya wasukuma ni kama kuna watu wana hasira. Wasukuma walipewa nchi miaka 6 lakini majanga waliyoacha utasema walitawala miaka 60. Nyerere alikuwa na akili kuhusu hawa jamaa.
 
Safi mkuu

Ujumbe kama huu ausome kwa herufi kubwa ndugu SALARY SLIP
 
Pitia post zangu uone kama kuna popote niliunga mkono ujio was lile zee tapeli la siasa. Nawasikiliza viongozi wa cdm maana wote hatuwezi kuongea, ila maamuzi nafanya mimi wao wakishaongea. Una lingine nikusaidie?
 
Serikali ipo pale kwa kazi gani, nini majukuku ya serikali makini?

Unafikiri JPM angeruhusu huu ujinga, asingeweka mikakati.

Hii serikali kila kitu wanaongeza, wanasingizia Corona, Vita. Hawana uchungu na maisha ya Watz wa kawaida.
 
awamu ya tano waliyakataa haya na walikataa kumlipa sybion na hawakuleta mikataba mibovu. sasa wamerudi wenyewe wa awamu ya 4 wenye mikataba yao

Wapinzani wote huwasikii kuhusu mkataba wa Symbion na mikataba mingine ya hovyo. Wanashangilia uhuni huu, Raia, Wananchi kuporwa mali zao mchana kweupe.

Watakuambia yeye sio kama JPM hata akiiuza nchi nzima kwa UAE. Loliondo,Bagamoyo pia zitauzwa.
 
Mpina amekosea nini mkuu?!

Nyerere alisema nini kuhusu wasukuma ebu tujuze
 
Hapo amekula kiporo Cha maharage, ana pass wind tu
 
Jiwe alivunja mkataba wa Symbion kihuni na sasa tunalipa mabilioni.
 
Wote ni walewale tu ni hasira ya kukosa uwaziri
 
Pitia post zangu uone kama kuna popote niliunga mkono ujio was lile zee tapeli la siasa. Nawasikiliza viongozi wa cdm maana wote hatuwezi kuongea, ila maamuzi nafanya mimi wao wakishaongea. Una lingine nikusaidie?
Mbona unafiki wa viongozi wako wa chadema uzungumzii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…