Lutandagula
JF-Expert Member
- Apr 8, 2018
- 1,762
- 2,154
Kwa lugha nyepesi kwa hiyo wakae kimya? Nani ayaseme? Hebu jaribu basi kuwa unatafakari kidogo kabla ya kuchangia!Hatuna muda wa kujiunga na wazalendo wakatili. Mikataba ya manunuzi ya ndege iko wazi? Ujenzi wa reli, bwawa iko wazi? Hatuingi mkono wizi ndani ya nchi yetu, lakini hatuungani na wanafiki walioshiriki uovu wa Magufuli dhidi yetu.