Luhaga Mpina, mmoja wa Wana CCM waliochukizwa Samia kuwa Rais, awaita Mawaziri awamu ya 6 matapeli

Sikubaliani na Luhanga Mpina. Lakini wewe ulipaswa kupelekwa Ukraine mstari wa mbele ukaokoe Kyev
 
Kazi imeanza!

Upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM by Nyerere!
Huo utabiri wa Nyerere kuwa upinzani wa kweli ungetokea ndani ya ccm ulishatimia siku nyingi. Kwani akina Mtei, Mrema, Marando, Barongo, Ngwilulupi, Dkt. Slaa, Lowasa, Sumaye, nk si walitokea huko ccm? Hata akina Mwakyembe, Sitta, Nape, na wengine wengi walikuwa njani kuondoka ccm wakawahiwa na kuzuiwa. Kama 2015 ccm iliponea chupuchupu na ikaasisi mkakati wa kuhujumu upinzani kwa njia zote halali na haramu ili kujinusuru. Hata hivyo pamoja na uharamia wote wa miaka 5 bado mwaka 2020 waliamua kujivika uchizi kabisa na kufuta uchaguzi ili kujitangazia ushindi.
 
Wewe nawe hovyo tu
 
Mtu kama wewe unatakiwa kufutika kabisa katika uso wa dunia,unafitinisha watu!
 
Kinembe mlamba Asali!
 
Mawaziri asilimia kubwa wa sasa ni mafisadi luhanga yupo sahihi
 
Acha majungu fanya kazi kibaraka wa kipara wewe, tuweke hapa takwimu kuwa Luhaga Mpina anachukiwa na wakazi wa kanda ya ziwa?
Huyo takataka akitokea hapa nkome jimboni kwa msukuma tutampasuaa mapua!!
 
Bhangi kweli haijawahi kumwacha mtu salama?,kosa la mpina ni kuusema ukweli?,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…