Luhaga Mpina, mmoja wa Wana CCM waliochukizwa Samia kuwa Rais, awaita Mawaziri awamu ya 6 matapeli

Luhaga Mpina, mmoja wa Wana CCM waliochukizwa Samia kuwa Rais, awaita Mawaziri awamu ya 6 matapeli

Luhaga Mpina, mmoja kati ya Mawaziri waliochukiwa sana hasa Kanda ya ziwa, alichukizwa sana kuona Samia Suluhu Hassan anaapishwa kuwa Rais.

Yeye na kundi la akina Polepole na Ndungai, Kalemani kwa pembeni walijipanga vilivyo kuhakikisha bajeti ya mama Samia 2022/2023 haipiti, lengo lao lile lile kuangushwa serikali kwa sababu Wana chuki kubwa sana na uraisi wa Samia.

Hotuba yake ya Leo kaandikiwa na Kalemani, waliiandaa pamoja na Polepole na Ndungai. Ndungai bado hajaridhishwa kuondolewa Bungeni, hivyo ameacha ma parody yake, na amepanga kuyatumia kutimiza lengo lake la kumtikisa Samia.

Mama, shughulika naye huyu, wanazunguka tu, lakini lengo ni wewe mama yetu. Tunaapa kukulinda, kama ni uhalifu, hakuna muhalifu kama Luhaga Mpina.
Kwanza wewe ndiye mharifu namba moja na majizi wenzio kutwa kucha macho na masikio yenu mnahangaika kwenye makundi sogozi kupambana aliyewapa nafasi kulamba asali asikosolewe. Kama mmepanga njama za kiharifu dhidi yao mjiandae na dhoruba isiyo kifani.
Wametumia haki yao ya kuhoji na kukosoa kwa lengo la kujenga kwa maslahi ya wananchi sio ya watawala na na mashabiki wao wasiojali dhiki wanazopata wananchi pasipo utetezi wowote.

Msiirogwe kuanza visasi vyenu mtajuta kuzaliwa..................................mstishie watu kana kwamba ninyi ndio nchi na wamiliki wake hili haliwezekani wamewavumilia vya kutosha sasa jichanganyeni muanze kumgusa yeyote miongoni mwa hao uliowataja na wengine ambao huwajui ili upate ujira wako mapema. Heshimu wenzio ili uheshimiwe sio kubagazana kwa inda. Kazi kutishia wengine huku ukiwa nyuma ya msimbo fiche. Kwa kutimbulia mwenendo wako inaonesha wewe ni msalata tu wa watu fulani waliojificha kwamba wao ndo wenye chuki dhidi ya wengine kwa kuwa wanatambua matendo yao ya kiharifu hivyo kuwa na hofu ya siri zao kuwa hadharani.
 
Back
Top Bottom