Mtumishiwetu
Senior Member
- Jul 13, 2022
- 196
- 346
Sidhani kama unafuatilia vizuri michango yake bungeniIla mbona anaendelea huko huko kulamba asali?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani kama unafuatilia vizuri michango yake bungeniIla mbona anaendelea huko huko kulamba asali?
Kwanza wewe ndiye mharifu namba moja na majizi wenzio kutwa kucha macho na masikio yenu mnahangaika kwenye makundi sogozi kupambana aliyewapa nafasi kulamba asali asikosolewe. Kama mmepanga njama za kiharifu dhidi yao mjiandae na dhoruba isiyo kifani.Luhaga Mpina, mmoja kati ya Mawaziri waliochukiwa sana hasa Kanda ya ziwa, alichukizwa sana kuona Samia Suluhu Hassan anaapishwa kuwa Rais.
Yeye na kundi la akina Polepole na Ndungai, Kalemani kwa pembeni walijipanga vilivyo kuhakikisha bajeti ya mama Samia 2022/2023 haipiti, lengo lao lile lile kuangushwa serikali kwa sababu Wana chuki kubwa sana na uraisi wa Samia.
Hotuba yake ya Leo kaandikiwa na Kalemani, waliiandaa pamoja na Polepole na Ndungai. Ndungai bado hajaridhishwa kuondolewa Bungeni, hivyo ameacha ma parody yake, na amepanga kuyatumia kutimiza lengo lake la kumtikisa Samia.
Mama, shughulika naye huyu, wanazunguka tu, lakini lengo ni wewe mama yetu. Tunaapa kukulinda, kama ni uhalifu, hakuna muhalifu kama Luhaga Mpina.