Pre GE2025 Luhaga Mpina: Nchi sita za Afrika zilizopindua Serikali zao zilikuwa sahihi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Jamaa ana njaa mbaya yaani akipewa tu uwaziri utasikia mashairi yote mazuri ya kupongeza utawala wa awamu ya sita.
Kinachokusumbua ni kifungo Cha uchama na kuamini kuwa CCM wote wameoza na upinzani wote ni Malaika.

Ukitoka nje ya gereza Hilo, utayaona mengi katika usahihi wake.
 
Kinachokusumbua ni kifungo Cha uchama na kuamini kuwa CCM wote wameoza na upinzani wote ni Malaika.

Ukitoka nje ya gereza Hilo, utayaona mengi katika usahihi wake.
Hapana mkuu bahati mbaya CCM kuna makundi matatu(i)Mafisadi(ii)Madikteta(iii)Wajinga.Katika makundi haya yote matatu kila kundi lina wafuasi wake.Mpina yuko kundi namba mbili ambalo analipenda sana kwa hiyo mimi siwezi unga mkono mtu mkabila,mkanda,mchama na mlafi wa madaraka.Napenda mtu anayeheshimu Katiba ya nchi na Watanzania wote bila kujali jinsia,umri,elimu,rangi,chama,kabila,kanda na ukoo.
 
Judge Warioba, Yuko kundi lipi kati ya hayo matatu?
 
Hata JONAS SAVIMBI na UNITA yake walikiwa sahihi walishtukia huu ujinga kitambo sn...
 
Utakuja kugundua baadae kuwa ni BIG Mistake.
Kwa namna Fulani uko sahihi,

Kuziondoa Serikali ovu Kwa njia ya maandamano ni njia Bora na sahihi inayoruhusiwa kikatiba,

Wanaoogopa kulipa gharama, ndio hao wanawaza kusaidiwa na Majeshi.

Utawala wa kijeshi ni mbaya sana.

Muhimu hapo CCM na Serikali ilio madarakani izibue masikio na kukubali KATIBA mpya na Tume huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi wowote Ili kuondoa hizo possibilities.
 
Hata JONAS SAVIMBI na UNITA yake walikiwa sahihi walishtukia huu ujinga kitambo sn...
Watawala Huwa Wana dharau sana Kwa wananchi,

Wanasahau chanzo Cha mamlaka waliyonayo yametokea Kwa wananchi.
 
 
La mwisho. Kwa sababu alipigwa makofi na Makonda halafu Rais wa wakati huo Kikwete akamteua Makonda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni na baadaye Magufuri akamteua kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,halafu yeye Mzee Warioba anabakia upuuzi wa wanachama wenzake.
Judge Warioba, Yuko kundi lipi kati ya hayo matatu?
 
Uchambuzi wako juu ya makundi hayo ni hafifu sana.

Wazalendo ndani ya CCM huwezi kuwatia wajinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…