WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Wewe punguza upumbavu.Unavyoona wewe kwa akili yako tunasonga mbele au tunarudi nyuma kidemokrasia ?NKatiba Mpya inazuia wizi wa kura? How?
Maono ya Machadema sio Wananchi hata 3% hawafiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe punguza upumbavu.Unavyoona wewe kwa akili yako tunasonga mbele au tunarudi nyuma kidemokrasia ?NKatiba Mpya inazuia wizi wa kura? How?
Maono ya Machadema sio Wananchi hata 3% hawafiki
Kinachokusumbua ni kifungo Cha uchama na kuamini kuwa CCM wote wameoza na upinzani wote ni Malaika.Jamaa ana njaa mbaya yaani akipewa tu uwaziri utasikia mashairi yote mazuri ya kupongeza utawala wa awamu ya sita.
Hao viongozi walio wachagua ilikuwaje wananchi wakatamani waondoke?Wananchi wataweza kuwapata Viongozi wawatakao.
Hapana mkuu bahati mbaya CCM kuna makundi matatu(i)Mafisadi(ii)Madikteta(iii)Wajinga.Katika makundi haya yote matatu kila kundi lina wafuasi wake.Mpina yuko kundi namba mbili ambalo analipenda sana kwa hiyo mimi siwezi unga mkono mtu mkabila,mkanda,mchama na mlafi wa madaraka.Napenda mtu anayeheshimu Katiba ya nchi na Watanzania wote bila kujali jinsia,umri,elimu,rangi,chama,kabila,kanda na ukoo.Kinachokusumbua ni kifungo Cha uchama na kuamini kuwa CCM wote wameoza na upinzani wote ni Malaika.
Ukitoka nje ya gereza Hilo, utayaona mengi katika usahihi wake.
Mapinduzi ya Nchi za Sahel yalifanywa kwa kisingizio cha kumuondoa Mkoloni wa Kifaransa na sasa Mfaransa anaondoka.Hao viongozi walio wachagua ilikuwaje wananchi wakatamani waondoke?
Judge Warioba, Yuko kundi lipi kati ya hayo matatu?Hapana mkuu bahati mbaya CCM kuna makundi matatu(i)Mafisadi(ii)Madikteta(iii)Wajinga.Katika makundi haya yote matatu kila kundi lina wafuasi wake.Mpina yuko kundi namba mbili ambalo analipenda sana kwa hiyo mimi siwezi unga mkono mtu mkabila,mkanda,mchama na mlafi wa madaraka.Napenda mtu anayeheshimu Katiba ya nchi na Watanzania wote bila kujali jinsia,umri,elimu,rangi,chama,kabila,kanda na ukoo.
Utakuja kugundua baadae kuwa ni BIG Mistake.Kwa CCM hii acha wanajeshi watusaidie
Mimi napinga Utawala wa Kijeshi bora hilo Zimwi la CCM tulijualo.bora wanajeshi waibe lakini CCM iondoke mimi hata shetani nitamuunga mkono dhidi ya CCM
Hata JONAS SAVIMBI na UNITA yake walikiwa sahihi walishtukia huu ujinga kitambo sn...Salaam, Shalom!!
Akiongea kupitia press aliyoitisha nje ya Bunge amedai kuwa UMOJA wa Afrika haupasi kuzisimamisha uanachama Nchi 6 zilizopindua Serikali zao kwa sababu Watawala waliopinduliwa hawakujali sauti na matakwa ya wananchi.
Amedai kuwa RUSHWA ikitamalaki, ukiukwaji wa HAKI za binadamu ukiota mizizi, Wizi wa kura ukitamalaki, wizi wa Raslimali za umma ukitamalaki, dhuluma ikizidi katika JAMII, hakuna njia ingine wananchi wanaweza kufanya zaidi ya kupindua Serikali zao Kwa njia mbalimbali.
Ndugu Mpina ameitaka Serikali ya Rais Samia Kutoa tamko kushauri Nchi hizo zisizuiliwe uanachama katika ushirika wa AU.
Mungu ambariki na kumlinda ndugu Mpina,
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
HAKI ikatawale katika Taifa. Amen
Chanzo: Uhondo Tv.
Karibuni 🙏
Kwa namna Fulani uko sahihi,Utakuja kugundua baadae kuwa ni BIG Mistake.
Mimi na umri huu unirushe kichura churaUtawala wa kijeshi ni mbaya sana.
Watawala Huwa Wana dharau sana Kwa wananchi,Hata JONAS SAVIMBI na UNITA yake walikiwa sahihi walishtukia huu ujinga kitambo sn...
Kichura chura ni mazoezi tu kama mazoezi mengine 😀Mimi na umri huu unirushe kichura chura
Huyu Mpina anatafuta Kiki tu hazijui tawala za Kijeshi zilivyo katili.Kichura chura ni mazoezi tu kama mazoezi mengine 😀
Mbaya ni kuamrishwa kulala saa 12 kama mifugo.
Salaam, Shalom!!
Akiongea kupitia press aliyoitisha nje ya Bunge amedai kuwa UMOJA wa Afrika haupasi kuzisimamisha uanachama Nchi 6 zilizopindua Serikali zao kwa sababu Watawala waliopinduliwa hawakujali sauti na matakwa ya wananchi.
Amedai kuwa RUSHWA ikitamalaki, ukiukwaji wa HAKI za binadamu ukiota mizizi, Wizi wa kura ukitamalaki, wizi wa Raslimali za umma ukitamalaki, dhuluma ikizidi katika JAMII, hakuna njia ingine wananchi wanaweza kufanya zaidi ya kupindua Serikali zao Kwa njia mbalimbali.
Ndugu Mpina ameitaka Serikali ya Rais Samia Kutoa tamko kushauri Nchi hizo zisizuiliwe uanachama katika ushirika wa AU.
Mungu ambariki na kumlinda ndugu Mpina,
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
HAKI ikatawale katika Taifa. Amen
Chanzo: Uhondo Tv.
Karibuni 🙏
Judge Warioba, Yuko kundi lipi kati ya hayo matatu?
Uchambuzi wako juu ya makundi hayo ni hafifu sana.La mwisho. Kwa sababu alipigwa makofi na Makonda halafu Rais wa wakati huo Kikwete akamteua Makonda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni na baadaye Magufuri akamteua kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,halafu yeye Mzee Warioba anabakia upuuzi wa wanachama wenzake.
Hekma imeenda likizoPoint taken.
Rejea kauli ya KIKWETE!!
Wanashinda uchaguzi hawatangazwi, ila walioshindwa ndio wanatangazwa!!