Hizo nchi anazozitaja Mpina ni jeshi ndio limepindua serikali sio wananchi waliofanya mapinduzi.Nchi inayonajisi Sanduku la kura na kudharau maamuzi ya wananchi, wananchi Wana HAKI kuziondoa Serikali za namna hiyo madarakani.
Ukiona mwenzio ananyokewa, tia maji!!
Nani amekuambia katiba mpya ni unga Hadi ilete ugali mezani?Wanaodai Katiba Mpya ndio hao hao wanatumia Rushwa na ngumu kuchaguana ,mpaka hapo hao wanataka madaraka ya Umma Kwa malengo binafsi.
Mwisho Katiba Mpya haijawahi leta ugali walakutatua shida za watu ila ni njia ya Wanasiasa walioko Nje ya serikali kuingia humo wapate ulaji
Unaonekana kiazi kwenye historia.Waliopindua mbona wanaendelea kufanya hayo hayo anayoyasema Mpina?
Utawala upi wa Kijeshi ambao jmewaletea Neema Wananchi? Na mbaya zaidi wanajeshi huwezi walalamikia kwamba umekosa Haki unapigwa tuu.
So hakuna uhalali wa kupindua Wala haijawahi kuwa na faidia popote zaidi ya kuongeza umaskini Kwa watu
Jambo muhimu hapo ni kutafiti ikiwa wananchi waliofurahia MAPINDUZI au waliyapinga?Hizo nchi anazozitaja Mpina ni jeshi ndio limepindua serikali sio wananchi waliofanya mapinduzi.
Tusubiri press ingine,Sababu zilizotajwa na Mpina zisipokuwa ni sababu za kufanya hivyo, basi mtueleze sababu zinazoweza kupelekea kufanya hivyo ni zipi
Luaga amechoka kukuvuta oxgen,awaishwe haraka safari yakeKutumia Demokrasia ni bora kuliko kupinduana.
Ni kweli lakini uzoefu unatuonyesha kwa Africa ni ngumu sana, imagine uchaguzi na MobutuKutumia Demokrasia ni bora kuliko kupinduana.
Nakuelewa Sana...Jambo muhimu hapo ni kutafiti ikiwa wananchi waliofurahia MAPINDUZI au waliyapinga?
CCM ilifanya MAPINDUZI pia, na MAPINDUZI hayo yanaitwa " Mapinduzi matukufu".
Nia ikiwa njema, njia yoyote ni sawa!!
Watainuka akina Mpina milioni Moja,Luaga amechoka kukuvuta oxgen,awaishwe haraka safari yake
Funzo hapo ni kuwa,Nakuelewa Sana...
Ila historia inaendelea kuonyesha hakuna mapinduzi ya kijeshi hapa Africa yaliyoziletea nchi hizo suluhisho la matatizo yao mengi ya kijamii na kiuchumi.
Ila wanapinduzi wapya baada ya muda na wao hugeuka madikteta, mafisadi na ving'ang'anizi vya madaraka
Wangefanya maendeleo wangepinduliwa? Si wangeliliwa kama.Rais wa Brazil?Unaonekana kiazi kwenye historia.
Gamal Nasser Hussein,Muamar Gadaffi,Napoleon Bonaparte na Vladimir Lenin wote walifanya mapinduzi na maendeleo waliyofanya kwenye nchi zao ni undisputable.
Hii serikali ya mama yako Samia inatakiwa kupinduliwa ASAP.
Unatakiwa ueleze, nini Hasa sababu kuu ya nchi hizo kupindua Serikali zao kabla ya kuelezea faida na HASARA za baada ya MAPINDUZI.Wangefanya maendeleo wangepinduliwa? Si wangeliliwa kama.Rais wa Brazil?
Hawa ndio mnawataka πππππ
View: https://www.instagram.com/p/C7lhSqAo8ks/?igsh=NW9rdjl3MTJiaHo3
Iwapo walioko madarakani hawaendi kinyume na misingi ya demokrasia, mfano, eti matokeo ya mshindi wa uchaguzi wa Rais hayahojiwi na chombo chochote cha serikali!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Halafu, eti hata TUME haishitakiwi wakiwemo watumishi wake!!!!!!!Kutumia Demokrasia ni bora kuliko kupinduana.
Wanajeshi wakwetu naona wapo kimya tu sjui wanasubilia nini,nchi hii inanuka rushwa sana kila mahali matumizi ya nguvu ya baadhi ya vyombo dhidi ya Raia..kwakweli nashangaa kuona sisi ni masikini sana wakati tuna kila rasilimali ya kutupatia utajiri.Waliopindua mbona wanaendelea kufanya hayo hayo anayoyasema Mpina?
Utawala upi wa Kijeshi ambao jmewaletea Neema Wananchi? Na mbaya zaidi wanajeshi huwezi walalamikia kwamba umekosa Haki unapigwa tuu.
So hakuna uhalali wa kupindua Wala haijawahi kuwa na faidia popote zaidi ya kuongeza umaskini Kwa watu
Uroho wa madaraka kama walionnao Chadema,wanatafuta weak reason wanapindua nao wanaendelea kufanya Yale Yale.Unatakiwa ueleze, nini Hasa sababu kuu ya nchi hizo kupindua Serikali zao kabla ya kuelezea faida na HASARA za baada ya MAPINDUZI.
Huu ni ukweli unao umiza..........alichoongea ni ukweli mtupu.Salaam, Shalom!!
Akiongea kupitia press aliyoitisha nje ya Bunge amedai kuwa UMOJA wa Afrika haupasi kuzisimamisha uanachama Nchi SITA zilizopindua Serikali zao Kwa sababu Watawala waliopinduliwa hawakujali sauti na matakwa ya wananchi.
Amedai kuwa RUSHWA ikitamalaki, ukiukwaji wa HAKI za binadamu ukiota mizizi, Wizi wa kura ukitamalaki, wizi wa Raslimali za umma ukitamalaki, dhuluma ikizidi katika JAMII, hakuna njia ingine wananchi wanaweza kufanya zaidi ya kupindua Serikali zao Kwa njia mbalimbali.
Ndugu Mpina ameitaka Serikali ya Rais Samia Kutoa tamko kushauri Nchi hizo zisizuiliwe uanachama katika ushirika wa AU.
Chanzo: Uhondo Tv.
Mungu ambariki na kumlinda ndugu Mpina,
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA πΉπΏ
HAKI ikatawale katika Taifa. Amen
Karibuni π
Serikali za Kijeshi ndio Wauwaji wakubwa.demokrasia ikigoma njia mbadala ndio kupindukiana mkuu
Sababu kuu za mapinduzi ni RUSHWA kutamalaki, wizi wa kura na WA raslimali za nchi.Uroho wa madaraka kama walionnao Chadema,wanatafuta weak reason wanapindua nao wanaendelea kufanya Yale Yale.
Yaani wewe Kwa akili Yako unadhani wanajeshi watapindua wewe upate maisha? ππ
Labda uwe sehemu ya Utawala husika.
Kwani wao hawanuki Rushwa? Putin tuu amejaribu kuwadaka na kuwatia ndani Kwa sababu za Rushwa.Wanajeshi wakwetu naona wapo kimya tu sjui wanasubilia nini,nchi hii inanuka rushwa sana kila mahali matumizi ya nguvu ya baadhi ya vyombo dhidi ya Raia..kwakweli nashangaa kuona sisi ni masikini sana wakati tuna kila rasilimali ya kutupatia utajiri.
One man one vote system hatutaki Serikali za Kijeshi Tanzania.Demokrasia unaijua bwashee? π