Pre GE2025 Luhaga Mpina: Nchi sita za Afrika zilizopindua Serikali zao zilikuwa sahihi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mpina sasa anakuja kuja.......alili zimerejea.
 
K
Kakosa tu fursa,ni walewale sema nn ni sukuma gang 😂
 
Sahihi kabisa.Hiyo inayoitwa Demokrasia barani Afrika ni UNYANG'AU mtupu.Tunaongozwa na vichwa maji wasiojua hata wasimamie nini.
Nilimsikia M7 analalamikia Wazungu kushindqa kuleta maendeleo Uganda wakati yuko Madarakani over 30yrs.

Nikajua hapa kuna depe tupu.
 
Hivi kwa mfano JWTZ ikipindua Serikali ya CCM ambayo wakati wote imetegemea wizi wa kura, na wananchi wote wanajua, nani atasikitika, zaidi ya majizi yenyewe?

Mapinduzi ya namna yoyote ile, ikiwa ni pamoja na mapinduzi ya kijeshi, ni sahihi na ni halali kabisa kama matakwa ya wananchi hayawezi kufikiwa kupitia mifumo ya kidemokrasia.

AU ni taasisi takataka kwa sababu inasimama na watawala wa wasio na msaada kwa wananchi wao. Ingekuwa AU ipo kwaajili ya maendeleo na ustawi wa mataifa ya Afrika ingejishughulisha zaidi kujenga mifumo inayohakikisha nchi wanachama wote wanalazimika kuzingatia utawala bora unaozingatia haki, demokrasia na utawala wa sheria na katiba.
 
Jamaa watamuua muda siyo mrefu
 
Inatakiwa ivunjwe haraka haina maana yoyote
 
Huyu naona akiwania ubunge kupitia upinzani... Hanaga hoja za maana but anawavuruga sn wenzie wakijani wanaomtaka kusifiwa Kila dakika
 
Kwa Mfano🤔
 
Mbona wakati wa jiwe na wenyewe walikuwa hivyohivyo.
 
Mnaogopa kupinduliwa,acheni watu wapindue meza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…