Pre GE2025 Luhaga Mpina: Nchi sita za Afrika zilizopindua Serikali zao zilikuwa sahihi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Salaam, Shalom!!

Akiongea kupitia press aliyoitisha nje ya Bunge amedai kuwa UMOJA wa Afrika haupasi kuzisimamisha uanachama Nchi 6 zilizopindua Serikali zao kwa sababu Watawala waliopinduliwa hawakujali sauti na matakwa ya wananchi.

Amedai kuwa RUSHWA ikitamalaki, ukiukwaji wa HAKI za binadamu ukiota mizizi, Wizi wa kura ukitamalaki, wizi wa Raslimali za umma ukitamalaki, dhuluma ikizidi katika JAMII, hakuna njia ingine wananchi wanaweza kufanya zaidi ya kupindua Serikali zao Kwa njia mbalimbali.

Ndugu Mpina ameitaka Serikali ya Rais Samia Kutoa tamko kushauri Nchi hizo zisizuiliwe uanachama katika ushirika wa AU.

Mungu ambariki na kumlinda ndugu Mpina,
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
HAKI ikatawale katika Taifa. Amen

Chanzo: Uhondo Tv.

Karibuni 🙏
Mpina sasa anakuja kuja.......alili zimerejea.
 
K

Kakosa tu fursa,ni walewale sema nn ni sukuma gang 😂
 
Sahihi kabisa.Hiyo inayoitwa Demokrasia barani Afrika ni UNYANG'AU mtupu.Tunaongozwa na vichwa maji wasiojua hata wasimamie nini.
Nilimsikia M7 analalamikia Wazungu kushindqa kuleta maendeleo Uganda wakati yuko Madarakani over 30yrs.

Nikajua hapa kuna depe tupu.
 
Hivi kwa mfano JWTZ ikipindua Serikali ya CCM ambayo wakati wote imetegemea wizi wa kura, na wananchi wote wanajua, nani atasikitika, zaidi ya majizi yenyewe?

Mapinduzi ya namna yoyote ile, ikiwa ni pamoja na mapinduzi ya kijeshi, ni sahihi na ni halali kabisa kama matakwa ya wananchi hayawezi kufikiwa kupitia mifumo ya kidemokrasia.

AU ni taasisi takataka kwa sababu inasimama na watawala wa wasio na msaada kwa wananchi wao. Ingekuwa AU ipo kwaajili ya maendeleo na ustawi wa mataifa ya Afrika ingejishughulisha zaidi kujenga mifumo inayohakikisha nchi wanachama wote wanalazimika kuzingatia utawala bora unaozingatia haki, demokrasia na utawala wa sheria na katiba.
 
Salaam, Shalom!!

Akiongea kupitia press aliyoitisha nje ya Bunge amedai kuwa UMOJA wa Afrika haupasi kuzisimamisha uanachama Nchi 6 zilizopindua Serikali zao kwa sababu Watawala waliopinduliwa hawakujali sauti na matakwa ya wananchi.

Amedai kuwa RUSHWA ikitamalaki, ukiukwaji wa HAKI za binadamu ukiota mizizi, Wizi wa kura ukitamalaki, wizi wa Raslimali za umma ukitamalaki, dhuluma ikizidi katika JAMII, hakuna njia ingine wananchi wanaweza kufanya zaidi ya kupindua Serikali zao Kwa njia mbalimbali.

Ndugu Mpina ameitaka Serikali ya Rais Samia Kutoa tamko kushauri Nchi hizo zisizuiliwe uanachama katika ushirika wa AU.

Mungu ambariki na kumlinda ndugu Mpina,
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
HAKI ikatawale katika Taifa. Amen

Chanzo: Uhondo Tv.

Karibuni 🙏
Jamaa watamuua muda siyo mrefu
 
Hivi kwa mfano JWTZ ikipidua Serikali ya CCM ambayo wakati imetegemea wizi wa kura, nani atasikitika, zaidi ya majizi yenyewe?

Mapinduzi ya namna yoyote ile, ikiwa ni pamoja na mapinduzi ya kijeshi, ni sahihi kabisa kama matakwa ya wananchi hayawezi kufikiwa kupitia mifumo ya kidemokrasia.

AU ni taasisi takataka kwa sababuinasimama na watawala wa hivyo wasio na msaada kwa wananchi wao. Ingekuwa AU ipo kwaajili ya maendeleo na ustawi wa mataifa ya Afrika ingejishughulisha zaidi kujenga mifumo inayohakikisha nchi wanachama wote wanalazimika kuzingatia utawala bora unaozingatia haki, demokrasia na utawala wa sheria na katiba.
Inatakiwa ivunjwe haraka haina maana yoyote
 
Huyu naona akiwania ubunge kupitia upinzani... Hanaga hoja za maana but anawavuruga sn wenzie wakijani wanaomtaka kusifiwa Kila dakika
 
Hivi kwa mfano JWTZ ikipidua Serikali ya CCM ambayo wakati imetegemea wizi wa kura, nani atasikitika, zaidi ya majizi yenyewe?

Mapinduzi ya namna yoyote ile, ikiwa ni pamoja na mapinduzi ya kijeshi, ni sahihi kabisa kama matakwa ya wananchi hayawezi kufikiwa kupitia mifumo ya kidemokrasia.

AU ni taasisi takataka kwa sababuinasimama na watawala wa hivyo wasio na msaada kwa wananchi wao. Ingekuwa AU ipo kwaajili ya maendeleo na ustawi wa mataifa ya Afrika ingejishughulisha zaidi kujenga mifumo inayohakikisha nchi wanachama wote wanalazimika kuzingatia utawala bora unaozingatia haki, demokrasia na utawala wa sheria na katiba.
Kwa Mfano🤔
 
Salaam, Shalom!!

Akiongea kupitia press aliyoitisha nje ya Bunge amedai kuwa UMOJA wa Afrika haupasi kuzisimamisha uanachama Nchi 6 zilizopindua Serikali zao kwa sababu Watawala waliopinduliwa hawakujali sauti na matakwa ya wananchi.

Amedai kuwa RUSHWA ikitamalaki, ukiukwaji wa HAKI za binadamu ukiota mizizi, Wizi wa kura ukitamalaki, wizi wa Raslimali za umma ukitamalaki, dhuluma ikizidi katika JAMII, hakuna njia ingine wananchi wanaweza kufanya zaidi ya kupindua Serikali zao Kwa njia mbalimbali.

Ndugu Mpina ameitaka Serikali ya Rais Samia Kutoa tamko kushauri Nchi hizo zisizuiliwe uanachama katika ushirika wa AU.

Mungu ambariki na kumlinda ndugu Mpina,
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
HAKI ikatawale katika Taifa. Amen

Chanzo: Uhondo Tv.

Karibuni 🙏
Mbona wakati wa jiwe na wenyewe walikuwa hivyohivyo.
 
Waliopindua mbona wanaendelea kufanya hayo hayo anayoyasema Mpina?

Utawala upi wa Kijeshi ambao jmewaletea Neema Wananchi? Na mbaya zaidi wanajeshi huwezi walalamikia kwamba umekosa Haki unapigwa tuu.

So hakuna uhalali wa kupindua Wala haijawahi kuwa na faidia popote zaidi ya kuongeza umaskini Kwa watu
Mnaogopa kupinduliwa,acheni watu wapindue meza
 
Back
Top Bottom