Pre GE2025 Luhaga Mpina: Nchi sita za Afrika zilizopindua Serikali zao zilikuwa sahihi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wanaodai Katiba Mpya ndio hao hao wanatumia Rushwa na ngumu kuchaguana ,mpaka hapo hao wanataka madaraka ya Umma Kwa malengo binafsi.

Mwisho Katiba Mpya haijawahi leta ugali walakutatua shida za watu ila ni njia ya Wanasiasa walioko Nje ya serikali kuingia humo wapate ulaji
Gabon pia waliopinduliwa walitoa kauli hizo hizo kuwa KATIBA mpya haileti ugali mezani.

Tusubiri.
 
Salaam, Shalom!!

Akiongea kupitia press aliyoitisha nje ya Bunge amedai kuwa UMOJA wa Afrika haupasi kuzisimamisha uanachama Nchi SITA zilizopindua Serikali zao Kwa sababu Watawala waliopinduliwa hawakujali sauti na matakwa ya wananchi.

Amedai kuwa RUSHWA ikitamalaki, ukiukwaji wa HAKI za binadamu ukiota mizizi, Wizi wa kura ukitamalaki, wizi wa Raslimali za umma ukitamalaki, dhuluma ikizidi katika JAMII, hakuna njia ingine wananchi wanaweza kufanya zaidi ya kupindua Serikali zao Kwa njia mbalimbali.

Ndugu Mpina ameitaka Serikali ya Rais Samia Kutoa tamko kushauri Nchi hizo zisizuiliwe uanachama katika ushirika wa AU.

Chanzo: Uhondo Tv.

Mungu ambariki ndugu Mpina,

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

HAKI ikatawale katika Taifa. Amen

Karibuni 🙏
kwa maoni na mtazamo wake, ni haki na uhuru wake kuona mapinduzi yale kama alivyosema kwenye maoni yake,

lakini hayawezi kiathiri wala kudhoofisha kwa namna yoyote ile msimamao wa Tanzania, sambamba na msimamo wa umoja wa Africa...

taasisi hiyo kubwa barani Africa, inaendeshwa kwa kanuni, taratibu na sheria za kimataifa walizo kubaliana kiziheshimu na kuzifuata collectively wanachama wote....

hata hivyo,
nchi hizo haziwezi kufungiwa nje ya umaja huo daima. Yapo mazungumzo yanaendelea hivi sasa miongoni mwao, hatimae kurejea kwenye utawala wa kiraia. Matumani ni makubwa nchi hizo kurejeshewa uanachana wao wa AU, ulio sitishwa au kusimamishwa kwa muda........

Mataifa mbalimbali ulimwenguni, mathalani Russia wanakusidia kufungua balozi zao katika nchi hizo hivi karibuni :BASED:
 
"Njia pekee ambayo Wananchi wataitumia katika kuzungumza au kujadiliana na Watawala wao ambao ni madikteta ili kufikia muafaka wenye maslahi kwa pande zote mbili ni kwa KUPITIA MTUTU WA BUNDUKI."

Jeff's O'Brien.
 
Salaam, Shalom!!

Akiongea kupitia press aliyoitisha nje ya Bunge amedai kuwa UMOJA wa Afrika haupasi kuzisimamisha uanachama Nchi SITA zilizopindua Serikali zao Kwa sababu Watawala waliopinduliwa hawakujali sauti na matakwa ya wananchi.

Amedai kuwa RUSHWA ikitamalaki, ukiukwaji wa HAKI za binadamu ukiota mizizi, Wizi wa kura ukitamalaki, wizi wa Raslimali za umma ukitamalaki, dhuluma ikizidi katika JAMII, hakuna njia ingine wananchi wanaweza kufanya zaidi ya kupindua Serikali zao Kwa njia mbalimbali.

Ndugu Mpina ameitaka Serikali ya Rais Samia Kutoa tamko kushauri Nchi hizo zisizuiliwe uanachama katika ushirika wa AU.

Chanzo: Uhondo Tv.

Mungu ambariki ndugu Mpina,

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

HAKI ikatawale katika Taifa. Amen

Karibuni 🙏
Hapo kwenye wizi wa kura Tanzania itahusika soon kama CCM wasipoacha uharamia wao kwenye sanduku la kura.
 
Wanaodai Katiba Mpya ndio hao hao wanatumia Rushwa na ngumu kuchaguana ,mpaka hapo hao wanataka madaraka ya Umma Kwa malengo binafsi.

Mwisho Katiba Mpya haijawahi leta ugali walakutatua shida za watu ila ni njia ya Wanasiasa walioko Nje ya serikali kuingia humo wapate ulaji

Katiba haileti ugali mezani ni kweli. Lakini katiba ikiwalinda wezi, lile gap la pesa wanazoiba hususani kama ni za misaada au madeni ya nchi,

Mwisho wa siku, mwananchi wa kawaida ndio hupandishiwa kodi kwenye bidhaa ili pesa zipatikane kwa ajili ya kulipa madeni na kuendesha nchi.

kitakachotokea ni nini zaidi ya wananchi kuishi kwenye lindi la umaskini.

Na pesa za kodi zisipotosha unategemea kitatokea nini zaidi ya bater system, ambayo nyie mtatoa rasilimali zenu kwa mikataba mibovu ili muhurumiwe kwa kupata chochote kitu.

Viongozi wa upinzani kuomba katiba mpya ambayo hata Nyerere aliona ina umuhimu maana iliyopo ni mbovu, wala hakuna ubaya.. Ubaya ni pale wanaposhindwa kuongea na common mwananchi ili wajue umuhimu wa katiba katika maisha yao ya kawaida
 
kwa maoni na mtazamo wake, ni haki na uhuru wake kuona mapinduzi yale kama alivyosema kwenye maoni yake,

lakini hayawezi kiathiri wala kudhoofisha kwa namna yoyote ile msimamao wa Tanzania, sambamba na msimamo wa umoja wa Africa...

taasisi hiyo kubwa barani Africa, inaendeshwa kwa kanuni, taratibu na sheria za kimataifa walizo kubaliana kiziheshimu na kuzifuata collectively wanachama wote....

hata hivyo,
nchi hizo haziwezi kufungiwa nje ya umaja huo daima. Yapo mazungumzo yanaendelea hivi sasa miongoni mwao, hatimae kurejea kwenye utawala wa kiraia. Matumani ni makubwa nchi hizo kurejeshewa uanachana wao wa AU, ulio sitishwa au kusimamishwa kwa muda........

Mataifa mbalimbali ulimwenguni, mathalani Russia wanakusidia kufungua balozi zao katika nchi hizo hivi karibuni :BASED:
Umenena vyema.

Putin asaidie kunyoosha Afrika tujitambue.
 
Katiba haileti ugali mezani ni kweli. Lakini katiba ikiwalinda wezi, lile gap la pesa wanazoiba hususani kama ni za misaada au madeni ya nchi,

Mwisho wa siku, mwananchi wa kawaida ndio hupandishiwa kodi kwenye bidhaa ili pesa zipatikane kwa ajili ya kulipa madeni na kuendesha nchi.

kitakachotokea ni nini zaidi ya wananchi kuishi kwenye lindi la umaskini.

Na pesa za kodi zisipotosha unategemea kitatokea nini zaidi ya bater system, ambayo nyie mtatoa rasilimali zenu kwa mikataba mibovu ili muhurumiwe kwa kupata chochote kitu.

Viongozi wa upinzani kuomba katiba mpya ambayo hata Nyerere aliona ina umuhimu maana iliyopo ni mbovu, wala hakuna ubaya.. Ubaya ni pale wanaposhindwa kuongea na common mwananchi ili wajue umuhimu wa katiba katika maisha yao ya kawaida
Katiba ya Nchi hailindi wezi.Kenya **** Katiba Mpya wizi na Ufisadi umeongezeka,acheni upotoshaji

Kama Nyerere aliona Ina umuhimu Kwa nini hakuileta?
 
Wanaodai Katiba Mpya ndio hao hao wanatumia Rushwa na ngumu kuchaguana ,mpaka hapo hao wanataka madaraka ya Umma Kwa malengo binafsi.

Mwisho Katiba Mpya haijawahi leta ugali walakutatua shida za watu ila ni njia ya Wanasiasa walioko Nje ya serikali kuingia humo wapate ulaji
Unasemaje kuhusu wizi wa kura? Kupuuza maoni na matakwa ya wananchi nayo huchochea mapinduzi.
 
Katiba haileti ugali mezani ni kweli. Lakini katiba ikiwalinda wezi, lile gap la pesa wanazoiba hususani kama ni za misaada au madeni ya nchi,

Mwisho wa siku, mwananchi wa kawaida ndio hupandishiwa kodi kwenye bidhaa ili pesa zipatikane kwa ajili ya kulipa madeni na kuendesha nchi.

kitakachotokea ni nini zaidi ya wananchi kuishi kwenye lindi la umaskini.

Na pesa za kodi zisipotosha unategemea kitatokea nini zaidi ya bater system, ambayo nyie mtatoa rasilimali zenu kwa mikataba mibovu ili muhurumiwe kwa kupata chochote kitu.

Viongozi wa upinzani kuomba katiba mpya ambayo hata Nyerere aliona ina umuhimu maana iliyopo ni mbovu, wala hakuna ubaya.. Ubaya ni pale wanaposhindwa kuongea na common mwananchi ili wajue umuhimu wa katiba katika maisha yao ya kawaida
KATIBA inateta ugali mezani indirectly.

KATIBA mpya ndio dira ya Sera na namna Gani KILIMO kama mojawapo ya kichagiza Uchumi wa Nchi, KATIBA mpya unatoa dira ya mfumo Bora wa KILIMO,

Ubovu wa mfumo wa KATIBA ndio chanzo Cha sera mbovu za KILIMO, Bei ya mbolea kuwa ghali, RUSHWA kutamalaki hivyo kusababisha wananchi kukosa pesa ya kununua chakula.

Conclusion: Katiba mpya inaleta ugali mezani indirectly.
 
Mpe cheo kama utamsikia
Ukombozi wa Nchi hauletwi na Mpina pekee,

Sauti hizi hazitakoma Hadi pale Nchi yetu itakapofaidisha wananchi wote, Si kundi dogo pekee.
 
Back
Top Bottom