Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
Toka China imeanza kuua wabadhirifu, kuna mwaka ulipita bila kuua??...Katiba ya Nchi hailindi wezi.Kenya **** Katiba Mpya wizi na Ufisadi umeongezeka,acheni upotoshaji
Kama Nyerere aliona Ina umuhimu Kwa nini hakuileta?
Haya utafananisha nafasi ya mkenya wa kawaida na mtanzania wa kawaida katika maamuzi ya serikali kuu.
Umeona Kenya baada ya kufanya decentralization imewasaidia kwa kiasi gani
Au unadhani imekuwa the next Africa's multinationals HQ kwa kucheka na kima..
Usifananishe state ya Tanzania na Kenya kwenye masuala ya politics, japo huko wana ukabila Ila huku kwetu tuna uchama ambao hauwezi kuda kwa system iliyopo..