Pre GE2025 Luhaga Mpina: Nchi sita za Afrika zilizopindua Serikali zao zilikuwa sahihi

Pre GE2025 Luhaga Mpina: Nchi sita za Afrika zilizopindua Serikali zao zilikuwa sahihi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kutumia Demokrasia ni bora kuliko kupinduana.
Ni kweli lakini njia hiyo inakuwa bora iwapo watawala wanaheshimu demokrasia.Kwa jinsi watawala wa kiafrika wanavyominya demokrasia mapinduzi ni njia muafaka licha ya kwamba gharama yake ni kubwa yakifeli
 
Uroho wa madaraka kama walionnao Chadema,wanatafuta weak reason wanapindua nao wanaendelea kufanya Yale Yale.

Yaani wewe Kwa akili Yako unadhani wanajeshi watapindua wewe upate maisha? 😁😁

Labda uwe sehemu ya Utawala husika.
Chadema na uroho wa madaraka au unaongelea CCM, wewe jitoe akili tuu maana kutokuwa na akili ni qualification number moja ya uchawa
 
Waliopindua mbona wanaendelea kufanya hayo hayo anayoyasema Mpina?

Utawala upi wa Kijeshi ambao jmewaletea Neema Wananchi? Na mbaya zaidi wanajeshi huwezi walalamikia kwamba umekosa Haki unapigwa tuu.

So hakuna uhalali wa kupindua Wala haijawahi kuwa na faidia popote zaidi ya kuongeza umaskini Kwa watu
Libya ya Gadfi
 
Bora lakini haya majangili ya CCM yasiwepo
 
Nakuelewa Sana...

Ila historia inaendelea kuonyesha hakuna mapinduzi ya kijeshi hapa Africa yaliyoziletea nchi hizo suluhisho la matatizo yao mengi ya kijamii na kiuchumi.

Ila wanapinduzi wapya baada ya muda na wao hugeuka madikteta, mafisadi na ving'ang'anizi vya madaraka
Heri tung'ang'aniwe na hao ambao tutakuwa tunajua 100 percent ni wanajeshi kuliko kufanyiwa hivyo na hawa tunaowaona ni wa serikali ya kiraia ambapo kipindi cha uchaguzi kikifika mchakato wa uchaguzi unajaa mafekenye ya kufa mtu mpaka mgombea anapita eti bila kupingwa.God have mercy on us
 
Waliopindua mbona wanaendelea kufanya hayo hayo anayoyasema Mpina?

Utawala upi wa Kijeshi ambao jmewaletea Neema Wananchi? Na mbaya zaidi wanajeshi huwezi walalamikia kwamba umekosa Haki unapigwa tuu.

So hakuna uhalali wa kupindua Wala haijawahi kuwa na faidia popote zaidi ya kuongeza umaskini Kwa watu
Rwanda.
 
Back
Top Bottom