Luhaga Mpina ndiye mbunge mojawapo kati ya wazalendo anayeweza kushinda bila kufanya compaign 2025.

Luhaga Mpina ndiye mbunge mojawapo kati ya wazalendo anayeweza kushinda bila kufanya compaign 2025.

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
21,625
Reaction score
33,688
Salaam, Shalom!!

Lissu, Lema,Heche, Mpina,Mbowe, Mnyika, Ole Sendeka, Mwabukusi, Dr Slaa, ni baadhi ya watu ambao wanaweza kugombea na wasipige compaign na wakashinda Nchi hii Jimbo lolote.

Ndugu Mpina haihitaji hata kujitambulisha Kwa wananchi, na anaweza kugombea Jimbo lolote, Kwa chama chochote na asifanye compaign na akashinda.

Anayepinga hili, apinge Kwa HOJA.

Karibuni.
 
Hao wanasiasa mnawa -overrated Sana hao jamaa wamechagua njia ya kufanikiwa kupitia siasa na sio kuíkomboa nchi dhidi ya umasikini , njaa na maradhi.


Ntashangaa Sana 2025 MTU kupoteza muda kwenda kuwasilikiza wanasiasa wa Tz ambao mpaka muda huu wame-prove wrong kuwa hawana uwezo wa kuikomboa nchi yetu.
 
Watu wenye akili huwa hawataki siasa maana siasa zimejaa uongo Sana .
 
Watu wenye akili huwa hawataki siasa maana siasa zimejaa uongo Sana .
Siasa ni maisha,

Sasa unataka watu wakatae maisha?

Maji ni siasa, KAZI ni siasa, ajira ni siasa, KILIMO ni siasa,nk nk
 
Siasa ni maisha,

Sasa unataka watu wakatae maisha?

Maji ni siasa, KAZI ni siasa, ajira ni siasa, KILIMO ni siasa,nk nk

Hakuna kitu Kama icho mwanasiasa hana uwezo wowote wa kumtoa MTU katika umasikini

Siasa sio maisha maana maisha yanaibeba siasa Ila siasa haina uwezo wa kubeba maisha.

Tazama mambo yote yalitokana na siasa then uone Kama siasa ni maisha.
 
Back
Top Bottom