Luhaga Mpina: Pesa za Kununua Mashine za Kuongeza Makalio Mloganzila zimetoka wapi?

Luhaga Mpina: Pesa za Kununua Mashine za Kuongeza Makalio Mloganzila zimetoka wapi?

Mpina anachanganya mambo sana, sasa tunaongelea Mapinduzi ya Zanzibar, yeye analeta mada tofauti, eti hela za kununua mashine za kuongeza makalio zimetoka wapi? Mpina tulia, sisi tumeomba wadada wetu watengenezwe zaidi, wavutie, kwani hiyo sio sehemu ya tiba? Alafu 2025 jiandae tu uende upinzani, CCM ndio kwakheri kwako, utake usitake, huna adabu wala shukrani wewe..
Mapinduzi yashapita

Ova
 
"Hospitali za Serikali kuacha jukumu lake la msingi na kuanza kufanya kazi za anasa kama kuongeza ukubwa wa makalio badala ya kujishughulisha kikamilifu kutibu maradhi yanayosumbua wananchi, tunao uhaba mkubwa wa raslimali fedha katika kutatua matatizo ya huduma za afya, mfano leo ni zaidi ya miaka 3 tumeshindwa kutoa mtaji kwa MSD wa takribani Shilingi Bilioni 500 kwa ajili ya kununulia dawa na vifaa tiba kutokana na ukosefu wa fedha, hizi fedha za kununua mitambo na vifaa vya kuongeza ukubwa wa makalio zimetoka wapi?" -Mpina

Luhaga Mpina ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Kisesa (CCM) amezungumza hayo alipokutana na Wanahabari kwenye Uwanja wa New Amani Complex, Zanzibar wakati wa maadhimisho ya miaka Sitini (60) ya Mapinduzi ya Zanzibar
Mbunge huyu alikuwa bungeni akasoma bajeti? Au anathibitisha upumbavu wake?

Yeye ndio alisema ndiyooooo, bajeti ikapita
 
Luhaga Mpina waliisha mshindwa, kumfukuza hawawezi na kumzuia wameshindwa. Adui wa Mwigulu na wapambe wake.
 
Back
Top Bottom