denoo JG
JF-Expert Member
- Oct 27, 2023
- 2,701
- 9,759
Mpina ndie pekee aliyebaki anayejielewa kule bungeni kwa sasa.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🚮Mpina anachanganya mambo sana, sasa tunaongelea Mapinduzi ya Zanzibar, yeye analeta mada tofauti, eti hela za kununua mashine za kuongeza makalio zimetoka wapi? Mpina tulia, sisi tumeomba wadada wetu watengenezwe zaidi, wavutie, kwani hiyo sio sehemu ya tiba? Alafu 2025 jiandae tu uende upinzani, CCM ndio kwakheri kwako, utake usitake, huna adabu wala shukrani wewe..
Hii habari mbona ipo kitambo?Kumbe mwanasiasa hugeuka kuwa mkweli pale ambapo ugali wake unakatwa na kubakiwa na robo...
Nampongeza kada mwenzangu Luhanga kwa kujivika ujasiri.
Mfano ni spika mstaafu kipindi cha mwendazake akakata mpaka posho za Tundu lisu kipindi cha mama akaponda utaratibu wa kukopa nje wakati watanzania wanakamuliwa kwa tozo!!!!Kumbe mwanasiasa hugeuka kuwa mkweli pale ambapo ugali wake unakatwa na kubakiwa na robo...
Nampongeza kada mwenzangu Luhanga kwa kujivika ujasiri.
Naibu Waziri wa Afya kamjibu vizuri tu, nadhani uelewa wake kuhusu plastic surgery ulikuwa mdogo na nina imani baada ya maelezo ya Naibu Waziri ameelewa vilivyo, hatapotosha tena."Hospitali za Serikali kuacha jukumu lake la msingi na kuanza kufanya kazi za anasa kama kuongeza ukubwa wa makalio badala ya kujishughulisha kikamilifu kutibu maradhi yanayosumbua wananchi, tunao uhaba mkubwa wa raslimali fedha katika kutatua matatizo ya huduma za afya, mfano leo ni zaidi ya miaka 3 tumeshindwa kutoa mtaji kwa MSD wa takribani Shilingi Bilioni 500 kwa ajili ya kununulia dawa na vifaa tiba kutokana na ukosefu wa fedha, hizi fedha za kununua mitambo na vifaa vya kuongeza ukubwa wa makalio zimetoka wapi?" -Mpina
Luhaga Mpina ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Kisesa (CCM) amezungumza hayo alipokutana na Wanahabari kwenye Uwanja wa New Amani Complex, Zanzibar wakati wa maadhimisho ya miaka Sitini (60) ya Mapinduzi ya Zanzibar
Nenda kaongezwe kalio utaziona.Kuna mashine za kuongeza makalio kumbe?
Kuna mwenye picha ya hizo mashine?
Uelewa kiduchu kwakeYaani sidhani hata kama anajua anachoongea
Jikite kwenye hoja yake,achana na Luhaga Mpina as personKumbe mwanasiasa hugeuka kuwa mkweli pale ambapo ugali wake unakatwa na kubakiwa na robo...
Nampongeza kada mwenzangu Luhanga kwa kujivika ujasiri.
Anaongea ukweliJikite kwenye hoja yake,achana na Luhaga Mpina as person
Kwanini huwa mnakwepa hoja?
Samia anatafuta Kik tu, chochote, kinachomletea cheap popularity, ye ye ni huko huko, upuuzi wa mpira,kununua kila gori kwa milioni moja, kutoa milioni 500! Kwa taifa star, na upuuzi mwingine,"Hospitali za Serikali kuacha jukumu lake la msingi na kuanza kufanya kazi za anasa kama kuongeza ukubwa wa makalio badala ya kujishughulisha kikamilifu kutibu maradhi yanayosumbua wananchi, tunao uhaba mkubwa wa raslimali fedha katika kutatua matatizo ya huduma za afya, mfano leo ni zaidi ya miaka 3 tumeshindwa kutoa mtaji kwa MSD wa takribani Shilingi Bilioni 500 kwa ajili ya kununulia dawa na vifaa tiba kutokana na ukosefu wa fedha, hizi fedha za kununua mitambo na vifaa vya kuongeza ukubwa wa makalio zimetoka wapi?" -Mpina
Luhaga Mpina ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Kisesa (CCM) amezungumza hayo alipokutana na Wanahabari kwenye Uwanja wa New Amani Complex, Zanzibar wakati wa maadhimisho ya miaka Sitini (60) ya Mapinduzi ya Zanzibar
Hapana, kumbe mashine ipo na imewekwa hapo juu, nilikuwa sielewi piaUelewa kiduchu kwake
Hii nchi kuna watu ni wabinafsi sana utafikiri wao wanalipa kodi zaidi kuliko wengine.Kitu Mpina anashindwa kuelewa ni kwamba katika utabibu kuna tawi la "plastic surgery" na walengwa wa utabibu huu ni makundi mawili....
1. Wanaotaka kufanya skin reconstruction baada ya kupatwa na madhara kama kuungua, kumwagiwa tindikali, ngozi kukaka kwa sababu za kijenetiki n.k
2. Wanaotaka kufanya skin reconstruction kwa sababu za urembo (cosmetic reconstruction) baada ya deformations zilizosababishwa na unene kupitiliza n.k
Madaktari wa namba 1 ndio hao wa namba 2, baadhi ya vifaa vya namba 1 vinatumika pia kwa namba 2...
Utabibu si pekee kwa ajili ya watu wanaojiita "wanyonge toka wamepata uhuru" bali pia ni kwa ajili ya wenye pesa ambao ni wachache...
Hizo mashine anazolalama bwana Mpina, mathalani bei ya liposuction machine ni sawa na mshahara wa mbunge huyo wa miezi kadhaa...