nicholasmari
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 630
- 583
Angeachana nao tu km hana mbinu yyte. Km huwezi kushindana nao ungana nao tu. Alipokuwa waziri mbn alicheza rafu nyingi? Busara ni kujua useme nini wakati gani na wapi. Wazee km David Cleopa Msuya, John Malecela wana mengi sana ya kusema unafikiri kwanini wako kimya. "BUSARA"Kwamba anatupotezea muda tu, wakati cha kufanya anakijua? ila mkuu si unajua hata hizo mahakama zenyewe zinapokea maagizo kutoka juu
Wajirudi waache ufisadi hawatutendei ipasavyo !Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ameeleza kuwa baadhi ya viongozi serikalini wamekuwa wakitumia mizengwe dhidi ya watu wanaoibua ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Soko la Idarafuma kata ya Nyakafuru Wilaya ya Mbogwe Mkoani Geita, Mpina amesema kuwa viongozi hao hutumia mbinu za kujihami dhidi ya wale wanaosema ukweli.
Mpina amefafanua kuwa kila anapojaribu kuzungumzia suala la ufisadi, hukutana na kashfa inayosema kuwa hana mapenzi na chama cha CCM.
View attachment 3258485
Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
hekali 1000 kwa mbunge mbona inawezekana si ananunua toka kwenye mamlaka ya kijijiHata yeye mwenyewe Luhaga Mpina ni mwizi ANAROPOKA hivi kwa kuwa yuko nje ya MFUMO. Ana ekari zaidi ya 1,000 Mvomero tuambieni alizipataje kama siyo ufisadi. ??
Mfumo ukiku eject basi kwisha kazi
Mmh, NENO !CCM na ufisadi ni kama chupi na matako
Sure mkuu, wakiwa mawaziri wanatembea na escort wala hizi akili huwa hawana ila wakivuliwa tu uwaziri ndiyo ndo wanajifanya akili zimewarudiaAngeachana nao tu km hana mbinu yyte. Km huwezi kushindana nao ungana nao tu. Alipokuwa waziri mbn alicheza rafu nyingi? Busara ni kujua useme nini wakati gani na wapi. Wazee km David Cleopa Msuya, John Malecela wana mengi sana ya kusema unafikiri kwanini wako kimya. "BUSARA"
Ni kweli kabisa kabisa π³Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ameeleza kuwa baadhi ya viongozi serikalini wamekuwa wakitumia mizengwe dhidi ya watu wanaoibua ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Soko la Idarafuma kata ya Nyakafuru Wilaya ya Mbogwe Mkoani Geita, Mpina amesema kuwa viongozi hao hutumia mbinu za kujihami dhidi ya wale wanaosema ukweli.
Mpina amefafanua kuwa kila anapojaribu kuzungumzia suala la ufisadi, hukutana na kashfa inayosema kuwa hana mapenzi na chama cha CCM.
View attachment 3258485
Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Shamba la bwana Heri na mbuzi wa bwana Heri !!??? π³ !Si awafungulie kesi?
Wacha wee. Ni sawa na kusema kitu kilichopo kwenye jalala au pipa la taka kuwa bado ni kisafi?Ni kweli kuna CCM wachache ambao ni waadilifu
CCM ni ukoo wa panya, kila mtu ni mwizi hasa wale walio juuHivi nani huko kwenye hicho Chama chao ambaye siyo mwizi?
Huyo Mpina anasema yote sababu yeye amekosa ulaji.Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ameeleza kuwa baadhi ya viongozi serikalini wamekuwa wakitumia mizengwe dhidi ya watu wanaoibua ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Soko la Idarafuma kata ya Nyakafuru Wilaya ya Mbogwe Mkoani Geita, Mpina amesema kuwa viongozi hao hutumia mbinu za kujihami dhidi ya wale wanaosema ukweli.
Mpina amefafanua kuwa kila anapojaribu kuzungumzia suala la ufisadi, hukutana na kashfa inayosema kuwa hana mapenzi na chama cha CCM.
View attachment 3258485
Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ndio katiba ya CCM inavyosema?Kama kweli ni mzalendo na anaipenda nchi yake asitafute umaarufu ambao hauna faida Ila aachane na hicho chama kwakuwa ipo wazi kuwa huko upigaji umetamalaki Sana.
Maana hauwezi kusukuma Gari ukiwa ndani ya hilo gari
Ama mavinamkunduCCM na ufisadi ni kama chupi na matako