Pre GE2025 Luhaga Mpina: Unakuta waziri mwizi, katibu mkuu mwizi ukimbana kwenye wizi anasema wewe huipendi CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwamba anatupotezea muda tu, wakati cha kufanya anakijua? ila mkuu si unajua hata hizo mahakama zenyewe zinapokea maagizo kutoka juu
Angeachana nao tu km hana mbinu yyte. Km huwezi kushindana nao ungana nao tu. Alipokuwa waziri mbn alicheza rafu nyingi? Busara ni kujua useme nini wakati gani na wapi. Wazee km David Cleopa Msuya, John Malecela wana mengi sana ya kusema unafikiri kwanini wako kimya. "BUSARA"
 
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ameeleza kuwa baadhi ya viongozi serikalini wamekuwa wakitumia mizengwe dhidi ya watu wanaoibua ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma.

Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Soko la Idarafuma kata ya Nyakafuru Wilaya ya Mbogwe Mkoani Geita, Mpina amesema kuwa viongozi hao hutumia mbinu za kujihami dhidi ya wale wanaosema ukweli.

Mpina amefafanua kuwa kila anapojaribu kuzungumzia suala la ufisadi, hukutana na kashfa inayosema kuwa hana mapenzi na chama cha CCM.

View attachment 3258485
Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Wajirudi waache ufisadi hawatutendei ipasavyo !
 
Hata yeye mwenyewe Luhaga Mpina ni mwizi ANAROPOKA hivi kwa kuwa yuko nje ya MFUMO. Ana ekari zaidi ya 1,000 Mvomero tuambieni alizipataje kama siyo ufisadi. ??

Mfumo ukiku eject basi kwisha kazi
hekali 1000 kwa mbunge mbona inawezekana si ananunua toka kwenye mamlaka ya kijiji

kuna mwamba katavi alinunua hadi josho la serikali na waziri mkuu anajua na hadi kesho mwamba yupo
 
Angeachana nao tu km hana mbinu yyte. Km huwezi kushindana nao ungana nao tu. Alipokuwa waziri mbn alicheza rafu nyingi? Busara ni kujua useme nini wakati gani na wapi. Wazee km David Cleopa Msuya, John Malecela wana mengi sana ya kusema unafikiri kwanini wako kimya. "BUSARA"
Sure mkuu, wakiwa mawaziri wanatembea na escort wala hizi akili huwa hawana ila wakivuliwa tu uwaziri ndiyo ndo wanajifanya akili zimewarudia
 
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ameeleza kuwa baadhi ya viongozi serikalini wamekuwa wakitumia mizengwe dhidi ya watu wanaoibua ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma.

Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Soko la Idarafuma kata ya Nyakafuru Wilaya ya Mbogwe Mkoani Geita, Mpina amesema kuwa viongozi hao hutumia mbinu za kujihami dhidi ya wale wanaosema ukweli.

Mpina amefafanua kuwa kila anapojaribu kuzungumzia suala la ufisadi, hukutana na kashfa inayosema kuwa hana mapenzi na chama cha CCM.

View attachment 3258485
Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ni kweli kabisa kabisa 😳
Ukijifanya kuusema ukweli kuhusu Ufisadi wewe unakuwa sio mwenzao !
Utachukiwa mpaka na wale Uvccm wa mtaani kwako ambao hawapati chochote cha maana kutoka kwa Mafisadi !

Ni ajabu sana 😳🙄😱 !
 
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ameeleza kuwa baadhi ya viongozi serikalini wamekuwa wakitumia mizengwe dhidi ya watu wanaoibua ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma.

Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Soko la Idarafuma kata ya Nyakafuru Wilaya ya Mbogwe Mkoani Geita, Mpina amesema kuwa viongozi hao hutumia mbinu za kujihami dhidi ya wale wanaosema ukweli.

Mpina amefafanua kuwa kila anapojaribu kuzungumzia suala la ufisadi, hukutana na kashfa inayosema kuwa hana mapenzi na chama cha CCM.

View attachment 3258485
Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Huyo Mpina anasema yote sababu yeye amekosa ulaji.
Naye angepewa FUPA LAKUWA Waziri basi angefanya kama hayo au zaidi.

watanzania wengi wanafikiria kufisidi badala ya kufanya kazi kwa faida ya wananchi
 
Kama kweli ni mzalendo na anaipenda nchi yake asitafute umaarufu ambao hauna faida Ila aachane na hicho chama kwakuwa ipo wazi kuwa huko upigaji umetamalaki Sana.

Maana hauwezi kusukuma Gari ukiwa ndani ya hilo gari
Ndio katiba ya CCM inavyosema?
 
Back
Top Bottom