Luhaga Mpina: Waziri Bashe na Mwigulu walitengeneza uhaba wa sukari nchini, zilikuwa njama za kuiba mapato ya nchi

Narudia tena. Naweza nikawa simkubali Mpina kwenye mambo kadhaa ila kati ya maeneo ambayo namkubali sana ni kwenye hili suala la sukari.

Cartels zinaiendesha sana nchi yetu kwenye suala la sukari. Hongera Mpina
 
Hapa kunamtu kashajigeuza chura 🐸 pamoja na point za mpina hao wahusika ni kipenz cha mamaa yaani nikama amemgusa mwanae abuduli!! Mpina ashone magwanda yakaki tuu safari ijayo ni ✌🏼...
Kikwete gang folaifu baibiii...🤟🏼
 
Weka ukweli wa gharama halisi za sukari toka nje na uhalali wa bei kuwa juu.
Bei ilianza kuwa juu toka Bashe hajawa waziri, sakata la sukari toka kipindi cha Magufuli lilikuwa pasua kichwa, nakumbuka waziri mkuu Majaliwa alitoa tamko la bei elekezi badala yake ikapanda zaidi.

Tatizo letu, tukipata watu wenye nia njema ya kutusogeza mbele wanapigwa zengwe na wafanyabiashara walaghai kupitia wanasiasa uchwara ambao hawana cha kupoteza.

Huyu Mpina hana moral authority ya kusimama popote kujifanya mzalendo wakati alipewa nafasi akavurunda zaidi.

Ninaomba Mungu kweli, na Nia njema isimame juu ya Tanzania hasa wizara ya kilimo.
 
Hivi Mpina hajui sasa sukari inaagizwa na serikali kupitia shirika la hifadhi ya chakula?
 
Achana na nakumbuka, kumbukumbu yako si ya wengine, tuwekee hali halisi ya bei.
 
Mpina unazungumza sana,nadhani toka ushindwe kusimamia uvuvi hadi Mjomba Magu akakutema,umepoteza muelekeo. Huwezi kuaminika kutokana ulivyoua uvuvi.Sasa imebakia na mock debate.
Sio suala la kuua uvuvi wala nini bali ccm haitaki watu makini, wasema kweli na wanaojielewa.

Makamba Jr aliivuruga tanesco mbona bado anapeta.
 
Kama anadanganya sio bunge lipo? Mbona akina Zitto na Lissu wakitolewa bungeni kila siku? Mbona yeye hatolewi?
 
Achana na nakumbuka, kumbukumbu yako si ya wengine, tuwekee hali halisi ya bei.
Kwamba maelezo ya waziri Bashe hujayasikia kuhusu sukari?

Hata principle ndogo ya price inakuwa determined na demand and supply wewe huwezi kuelewa?

Kama viwanda vya ndani havitoshelezi sukari, vikapewa kibali cha kuagiza bado wanaagiza kdg tu kuna shida gan kuruhusu makampuni mengine kuleta sukari ili bei ishuke?

Simple as that.
 
Majizi ya nchi hii mnajitahidi kuchafua watu.Nachosema lete ushahidi wa kupinga hoja zake basi
 
Mpina unazungumza sana,nadhani toka ushindwe kusimamia uvuvi hadi Mjomba Magu akakutema,umepoteza muelekeo. Huwezi kuaminika kutokana ulivyoua uvuvi.Sasa imebakia na mock debate.
Umetumia Nini kufirikiri na kuandika Huu uozo?.

Watu wajinga mnamatatizo
 
Huyu tangia atolewe kwenye uwaziri amekuwa zaidi ya kichaa
 
Wasukuma wengi hamnazo km yule mfu wao, wengi ni washamba, hayajitambui, yanajisahau sana
 
Msomali au siyo, kweli nchi ya wapuuzi ni ngumu sana kuendelea, Magufuli alionekana hivyo hivyo, ilivyorudi shamba la bibi ndo mnaanza kulalamika.

Kwa akili hizi hii nchi imeisha
mpuuzi ni wewe unayemfananisha the legendary Magufuli na huyo mwizi wa kisomali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…