Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Weka ukweli wa gharama halisi za sukari toka nje na uhalali wa bei kuwa juu.Bashe anachafuliwa kwa makusudi kisa nyota yake inang'aa, ni kati ya mawaziri wenye vision ya kulipeleka taifa mbele. hayeni.
