Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poapoa tumekusikia. Kama umeweza kumuattack binafsi tunaamini unaweza kuattack na hoja zake. Haya turudi kwenye mada husika.Mpina unazungumza sana,nadhani toka ushindwe kusimamia uvuvi hadi Mjomba Magu akakutema,umepoteza muelekeo. Huwezi kuaminika kutokana ulivyoua uvuvi.Sasa imebakia na mock debate.
Ccm ni ukoo wa PanyaSi ndio kula kwa urefu wa kamba yako au?
Tulisema lakini
Hakuna mwenye nafuu paleCCM WOTE NI WAPIGAJI
Poapoa tumekusikia. Haya turudi kwenye mada husika.Huyu jamaa utadhani yeye Ni Malaika.
Kumbe Ni kuwa backbencher tu
Poapoa tumekusikia. Jamaa kaja na tisiti za EFD kabisa. Tumshambulie kwa hoja basi.Bashe anachafuliwa kwa makusudi kisa nyota yake inang'aa, ni kati ya mawaziri wenye vision ya kulipeleka taifa mbele. hayeni.
Kuwa na aibu bas!Luhaga Mpina hana hoja yeyote zaidi ya WIVU dhidi ya walio kwenye madaraka. Sisi kama wananchi tulichotaka ni Bei ya Sukari iteremke.
Hapa Mpwapwa tulifika wakati tukanunua sukari kilo MOJA kwa Tsh 10,000 sasa hivi imeteremka hadi Tsh 3,000 kwa kilo.
Haya ndiyo matokeao ambayo wananchi wanataka NO MATTER Serikali imetumia njia gani kuleta sukari nchini.
Luhaga Mpina anajijua kuwa hawezi kurudi Bungeni mwaka 2025 kutokana na kufeli kufikia malengo ya wapiga kura wa jimbo lake.
Wana Kisesa hawatampa kura mtu aliyekuwa anawachomea nyavu na kupima urefu wa samaki. Luhaga Mpina afe tu ili akaungane na kichaa mwenzie Magufuli huko kuzimu
Green Guard huyo kichwani mtupu hadi sio poa.Kuwa na aibu bas!
Hujui hata unapinga nini.
Sikiliza hoja za Mpina tena au omba kwa mtu wa kawaida akufafanulie.
Unakuwa kama nguruwe bana!
Luhaga Mpina ni FAILURE!! Alichoma nyavu za wavuvi na kupima samaki kwa rula. Hii akili haitufikishi popote. Hata wana Kisesa hawamhitaji. Wivu wa madaraka umamtesaKuwa na aibu bas!
Hujui hata unapinga nini.
Sikiliza hoja za Mpina tena au omba kwa mtu wa kawaida akufafanulie.
Unakuwa kama nguruwe bana!
Sijui hii ni akili ya wapiMpina unazungumza sana,nadhani toka ushindwe kusimamia uvuvi hadi Mjomba Magu akakutema,umepoteza muelekeo. Huwezi kuaminika kutokana ulivyoua uvuvi.Sasa imebakia na mock debate.
Sawa mkuu lakini kwa hili Mimi nitasimama na Mpina.Luhaga Mpina ni FAILURE!! Alichoma nyavu za wavuvi na kupima samaki kwa rula. Hii akili haitufikishi popote. Hata wana Kisesa hawamhitaji. Wivu wa madaraka umamtesa
Amfuate tu kuchaa mwenzie tumemzika Chato
Umbwa wewe ,,sisi hatuangalii umutu wake tunajadili hoja na vielelezao.Hat Tumbili mlimtukana hivyo lakini wmisho wa siku Escrow ikawa ni issueLuhaga Mpina ni FAILURE!! Alichoma nyavu za wavuvi na kupima samaki kwa rula. Hii akili haitufikishi popote. Hata wana Kisesa hawamhitaji. Wivu wa madaraka umamtesa
Amfuate tu kuchaa mwenzie tumemzika Chato
Yupo smart tangu wakati ule yopo bungeni na marehemu Filikunjombe na Kangi Lugola 2010 - 2015.Mpina kwa sasa mwili wake ni ccm ila moyo wake ni Chadema!
Mavazi tu yanaashiria hivo!
Kikawada, maisha yetu ni mafupi sana, Mungu akikupa Nafasi ya kuongoza watu, tendea haki nafasi hiyo na uoneshe kwa dhati ya moyo Kwamba, Mungu hakukosea kukupa nafasi hiyo na ikiwezekana, itendee haki na kuwatendea haki watu wote, ilu iwe sehemu ya kumshawishi Mungu kukupa nafasi ya juu zaidi
Goo goo goo Mpina
Nanii..Hakuna mtu anajari vile mpumbavu uitumia kura yake.Luhaga Mpina hana hoja yeyote zaidi ya WIVU dhidi ya walio kwenye madaraka. Sisi kama wananchi tulichotaka ni Bei ya Sukari iteremke.
Hapa Mpwapwa tulifika wakati tukanunua sukari kilo MOJA kwa Tsh 10,000 sasa hivi imeteremka hadi Tsh 3,000 kwa kilo.
Haya ndiyo matokeao ambayo wananchi wanataka NO MATTER Serikali imetumia njia gani kuleta sukari nchini.
Luhaga Mpina anajijua kuwa hawezi kurudi Bungeni mwaka 2025 kutokana na kufeli kufikia malengo ya wapiga kura wa jimbo lake.
Wana Kisesa hawatampa kura mtu aliyekuwa anawachomea nyavu na kupima urefu wa samaki. Luhaga Mpina afe tu ili akaungane na kichaa mwenzie Magufuli huko kuzimu
Kila mbuzi hula urefu wa kamba yake
Hacha upumbavu fisadi mkubwa wewe hivi kwanini mnapenda kutetea wezi??,Hapa tunaongelea ishu ya Bashe na Mwigulu mawaziri Mizigo kabsaa inayosababisha hasara kwa taifa...Wewe unatetea nini Kenge kabsaa mshamba wa Video...Mods mnilinde huyu fala kanikela sana.Mpina unazungumza sana,nadhani toka ushindwe kusimamia uvuvi hadi Mjomba Magu akakutema,umepoteza muelekeo. Huwezi kuaminika kutokana ulivyoua uvuvi.Sasa imebakia na mock debate.
Sio lazima arudi yeye ila tushajua Bashe na Mwiguru ni watu wabaya sana kwa Taifa...alafu huyu msomali ni wa kukamata kupiga Risasi adharani mana kazidi sasa.Ninaongea kama mimi. Huyu kichaa hata ummpe wewe kura na familia yako HATOBOI. Tunza hii post yangu tutairudia November 2025