Luhaga Mpina: Waziri Bashe na Mwigulu walitengeneza uhaba wa sukari nchini, zilikuwa njama za kuiba mapato ya nchi

Mpina unazungumza sana,nadhani toka ushindwe kusimamia uvuvi hadi Mjomba Magu akakutema,umepoteza muelekeo. Huwezi kuaminika kutokana ulivyoua uvuvi.Sasa imebakia na mock debate.
Poapoa tumekusikia. Kama umeweza kumuattack binafsi tunaamini unaweza kuattack na hoja zake. Haya turudi kwenye mada husika.
 
Luhaga Mpina hana hoja yeyote zaidi ya WIVU dhidi ya walio kwenye madaraka. Sisi kama wananchi tulichotaka ni Bei ya Sukari iteremke.

Hapa Mpwapwa tulifika wakati tukanunua sukari kilo MOJA kwa Tsh 10,000 sasa hivi imeteremka hadi Tsh 3,000 kwa kilo.

Haya ndiyo matokeao ambayo wananchi wanataka NO MATTER Serikali imetumia njia gani kuleta sukari nchini.

Luhaga Mpina anajijua kuwa hawezi kurudi Bungeni mwaka 2025 kutokana na kufeli kufikia malengo ya wapiga kura wa jimbo lake.

Wana Kisesa hawatampa kura mtu aliyekuwa anawachomea nyavu na kupima urefu wa samaki. Luhaga Mpina afe tu ili akaungane na kichaa mwenzie Magufuli huko kuzimu
Kuwa na aibu bas!
Hujui hata unapinga nini.
Sikiliza hoja za Mpina tena au omba kwa mtu wa kawaida akufafanulie.
Unakuwa kama nguruwe bana!
 
Luhaga Mpina ni FAILURE!! Alichoma nyavu za wavuvi na kupima samaki kwa rula. Hii akili haitufikishi popote. Hata wana Kisesa hawamhitaji. Wivu wa madaraka umamtesa

Amfuate tu kuchaa mwenzie tumemzika Chato
 
Mpina unazungumza sana,nadhani toka ushindwe kusimamia uvuvi hadi Mjomba Magu akakutema,umepoteza muelekeo. Huwezi kuaminika kutokana ulivyoua uvuvi.Sasa imebakia na mock debate.
Sijui hii ni akili ya wapi

Mtu anazungumza kwa facts na evidence bado anaonekana kuwa anazungumza sana.

Very stupid black skin
 
Kuna ufisadi MWINGINE mwananchi wa kawaida Huwa anaguswa indirect lakini katika hili watanitafuta wote tumeguswa Moja kwa Moja.
Kwa wenzetu ambao neno kujiuzuru lipo kwenye kamsi zao wangekuwa walisha Fanya hivyo ila kwetu hili neno Bado halipo ndo maana haya majizi Bado Yako ofisini.
 
Luhaga Mpina ni FAILURE!! Alichoma nyavu za wavuvi na kupima samaki kwa rula. Hii akili haitufikishi popote. Hata wana Kisesa hawamhitaji. Wivu wa madaraka umamtesa

Amfuate tu kuchaa mwenzie tumemzika Chato
Sawa mkuu lakini kwa hili Mimi nitasimama na Mpina.
 
Luhaga Mpina ni FAILURE!! Alichoma nyavu za wavuvi na kupima samaki kwa rula. Hii akili haitufikishi popote. Hata wana Kisesa hawamhitaji. Wivu wa madaraka umamtesa

Amfuate tu kuchaa mwenzie tumemzika Chato
Umbwa wewe ,,sisi hatuangalii umutu wake tunajadili hoja na vielelezao.Hat Tumbili mlimtukana hivyo lakini wmisho wa siku Escrow ikawa ni issue
 
Mpina kwa sasa mwili wake ni ccm ila moyo wake ni Chadema!

Mavazi tu yanaashiria hivo!

Kikawada, maisha yetu ni mafupi sana, Mungu akikupa Nafasi ya kuongoza watu, tendea haki nafasi hiyo na uoneshe kwa dhati ya moyo Kwamba, Mungu hakukosea kukupa nafasi hiyo na ikiwezekana, itendee haki na kuwatendea haki watu wote, ilu iwe sehemu ya kumshawishi Mungu kukupa nafasi ya juu zaidi

Goo goo goo Mpina
Yupo smart tangu wakati ule yopo bungeni na marehemu Filikunjombe na Kangi Lugola 2010 - 2015.

Kuna mambo mawili kwa sasa:

1. Aidha anafanya wajibu wake kama mbunge, wajibu wa kuisimamia serikali. Au,
2. Ana kinyongo cha kutopewa uwaziri.

Usiamini sana hawa watu.
 
Luhaga Mpina hana hoja yeyote zaidi ya WIVU dhidi ya walio kwenye madaraka. Sisi kama wananchi tulichotaka ni Bei ya Sukari iteremke.

Hapa Mpwapwa tulifika wakati tukanunua sukari kilo MOJA kwa Tsh 10,000 sasa hivi imeteremka hadi Tsh 3,000 kwa kilo.

Haya ndiyo matokeao ambayo wananchi wanataka NO MATTER Serikali imetumia njia gani kuleta sukari nchini.

Luhaga Mpina anajijua kuwa hawezi kurudi Bungeni mwaka 2025 kutokana na kufeli kufikia malengo ya wapiga kura wa jimbo lake.

Wana Kisesa hawatampa kura mtu aliyekuwa anawachomea nyavu na kupima urefu wa samaki. Luhaga Mpina afe tu ili akaungane na kichaa mwenzie Magufuli huko kuzimu
Nanii..Hakuna mtu anajari vile mpumbavu uitumia kura yake.
Kaa kwa kutulia.
 
Mpina unazungumza sana,nadhani toka ushindwe kusimamia uvuvi hadi Mjomba Magu akakutema,umepoteza muelekeo. Huwezi kuaminika kutokana ulivyoua uvuvi.Sasa imebakia na mock debate.
Hacha upumbavu fisadi mkubwa wewe hivi kwanini mnapenda kutetea wezi??,Hapa tunaongelea ishu ya Bashe na Mwigulu mawaziri Mizigo kabsaa inayosababisha hasara kwa taifa...Wewe unatetea nini Kenge kabsaa mshamba wa Video...Mods mnilinde huyu fala kanikela sana.
 
Ninaongea kama mimi. Huyu kichaa hata ummpe wewe kura na familia yako HATOBOI. Tunza hii post yangu tutairudia November 2025
Sio lazima arudi yeye ila tushajua Bashe na Mwiguru ni watu wabaya sana kwa Taifa...alafu huyu msomali ni wa kukamata kupiga Risasi adharani mana kazidi sasa.
 
Back
Top Bottom