Luhaga Mpina: Waziri Mwigulu Nchemba anahusika na ufisadi wa trilioni 1.7 mradi wa SGR

Duh haya sasa ngoja tuone mwisho wake lakini huu upotevu wa pesa kizembe hivi unatuvunja sana moyo Sisi wananchi wa kawaida hasa katika ulipaji wa kodi.. Hivi kwanini hawa viongozi wamekosa uzalendo na wamekuwa wanajifikiria wao na matumbo yao tu ???
Watu wana taka kukata minyororo ya umasikini mkuuuu kwenye familia zao
 
Naona kama kuna kisingizio cha "hawako bungeni" kuna mambo yanaendelea kimya kimya nakosa majibu yake.

Kuanzia uchambuzi wa ile ripoti ya CAG Mnyika na wenzake kuichambua nusu sijui walikuwa na haraka za nini... na lawama wakazipeleka kwa PM kama vile ndie kiongozi wa nchi ndio nikachoka kabisa...

Hayo maridhiano uliyozungumzia sasa zinaonekana dalili yameleta mengi haswa, sijui nami niseme kweli hatuna pakukimbilia, au tumeamua tu kutulia kama kawaida yetu, hatuna pressure!.

Mimi nilishaamua kujishikilia kwa Mpina tu!.
 
Ashukuru tu ana walinzi lkn anastahili kukamatwa na kupakwa Vaseline msng huyu. Lina dharau wakati hata jamii yake inajulikana ina maisha duni
Ulizia seheku inaitwa makunda huko iramba ndo kwao mbona pamechoka sana hata barabara hakuna kipindi hiki mihela ai angetengeneza hata kiwango cha changarawe. au Amalizie basi kale ka gorofa kake pale misigiri🤪🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ccm wanatuhumiana kwa Ushoga na wizi ila bado wako wana dunda tu
Umesema neno. Bunge la ccm lakini mbunge anasimama na kukiri kuwa ndani kuna mashoga, kuna wezi... yaani kumbe tatizo la dawa hospitalini, vifaa mashuleni, barabara mbovu nk. Maadili nk sababu ni hizo.
Bunge live lilikataliwa ili kuziba wapinzani mdomo sasa likakubaliwa kuwapa hawa mdomo walane wao kwa wap!
 
Usukuma unaingia vipi apo ebooo Heshimu kabila za wengi
 
Ili suala la luaga mpina linahitaji ufatiliaji wa kina.report ya CAG uwa si ya kukurupukia. Ndo maana zinaitwa hoja za cag zinahitaji majibu.anachosema hapo ni kuacha kutumia taratibu za manunuzi na kufanya single source kwa maelekezo ya wizara. Je tumewatafuta wizara kujibu kwanini waliamua hivo?
MPINA alitakiwa ajiridhishe.single source sio njia ya manunuzi? Jibu ni njia ya manunuzi ambayo utumika kama yupo mtu mmoja tu katika eneo ilo na kazi yake kila mtu anaiona.Sasa bora utafute mtu ambaye humwoni wakati YAPI wapo site na uhalisia ugumu wa kazi au wepesi wanaujua?
Kimsingi hii mikataba ya ujenzi uwa ni cost estmate ila ukijasite yanaanza mavariation unajikuta mradi hautekelezeki kwa gharama mkandarasi halizoombea.tumeshapigwa sana watanzania.mtakumbuka kwenye meli,mpaka leo cjui kama hizo meli zimesha jengwa au la,mtakumbuka sgr ni mradi wa kimkakati.uwezi kumpa mkandarasi kisha tu kaomba.Lazima mkumbuke ilo.Kuna ujasusi wa kiuchumi hapo.wakati mwingine huu utawala bora ndo shida yake. Yaan kila mtu ni msemaji.
 
Kwani CAG amesema hivyo?Mpina aache kinyongo,asisahau enzi za Operasheni Zagamba watu walivyopata shida.Kama anaona ubunge uko shida si aache siasa
 
ukweli mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…