Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
CAG alichosema ni estimate ambazo gharama zimeongezeka kwa tsh 1.7 na Mwigulu anapewa lawama kupitisha hiyo tender bila ya ushindani.Duuuh aseee kwaiyo ni uongo na hakuna ufisadi uliofanyika hata shs 100 🤔🤔
Duuh sawa yangu macho tu
Lakini estimate zenyewe yardstick ya CAG ni miles costs za ujenzi wa awamu ya kwanza. Hilo nalo ni questionable kama gharama zinaweza kuwa sawa kwa sababu nyingi sana zinaweza pishana.
Mwisho wa siku huo ujenzi ata kuanza sidhani au kama umeanza upo hatua za mwanzo, na wanalipwa kwa certificate sasa hiyo hela Mwigulu ataichota saa ngapi yote.